SERIKALI IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO KUIDHINISHA BILIONI 1.6 KUTOKA MFUKO WA GEPF KWA AJILI YA KUJENGA KINU CHA KUYEYUSHIA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KMTC

 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama,wa pili kulia  jana alipata fursa ya kutembelea  kiwanda cha kutengeneza vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools Limited (KMTC),wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh.Anna Mghwira na wa kwanza kulia ni Meneja mkuu Kilimanjaro Machine Tools Eng.Adriano Nyaluke akitoa taarifa za uzalishaji wa kiwanda hicho(Picha na Pamela Mollel Arusha)
 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

SERIKALI IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO KUHIDHINISHA BILIONI 1.6 KUTOKA MFUKO WA GEPF KWAAJILI YA KUJENGA KINU CHA KUYEYUSHIA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA (KMTC)-WAZIRI MHAGAMA


Serikali ipo katika hatua za mwisho katika kuhidhinisha bilioni 1.6 kutoka katika mfuko wa hifadhi za jamii GEPF kwaajili ya kujenga kinu cha kuyeyushia vyuma katika kiwanda cha kutengeneza vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools Limited (KMTC).

Akizungumza jana katika kiwanda hicho mara baada ya kutembelea Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Joakim Mhagama,alisema kuwa fedha hizo zitatumika kwaajili ya kuboresha kiwanda hicho kwa lengo la ...

 

1 year ago

Michuzi

KMTC YAJIPANGA KUJENGA JIKO LA KUYEYUSHIA CHUMA


Na. Benedict Liwenga-WHUSM, Moshi.

Kiwanda cha Utengenezaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC) iko mbioni kujenga mtambo utakaotumika katika kuyeyusha chuma kwa ajili ya kuendeleza shughuli zake za utenegenezaji wa dhana mbalimbali za mashine ikiwemo kukarabati mifumo ya umeme ya kiwanda hicho ambaye ilikua haijatumika kwa muda mrefu,

Kauli hiyo imetolewa jana na Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho, Mhandisi Adriano Nyaluke wakati alipokutanana Waandishi wa habari na kueleza mikakati ya...

 

2 years ago

Channelten

Mgogoro wa wafanyakazi zaidi ya 300 katika kiwanda cha SBC umeingia katika hatua nyingine

Kiwanda cha SBC

Kiwanda cha SBC

Mgogoro wa kiwanda cha SBC ilichopo barabara ya nyerere jijini dsm uliokuwa ukiwahusisha wafanyakazi zaidi ya 300 kugoma pamoja na vibarua walioingia mkataba na kampuni ya uwakala ya Alpha  umeingia katika hatua nyingine baadhi yao kukubali kurejea kazi huku wafanyakazi wengine zaidi ya 56 wakitaka mikataba ya ajira.

Mkuu wa wilaya ya Ilala Raymond Mushi akizungumza katika kiwanda hicho amesema wafanyakzi wote wamerejea kazini baada ya makubaliano yaliyoingiliwa kati na...

 

10 months ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATIA SAINI MKATABA WA UWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA MACHINJIO NA USINDIKAJI NYAMA CHA NGURU MKOANI MOROGORO

MFUKO wa Pensheni wa LAPF umefanya uwekezaji wa Dola za kimarekani  Milioni 3.90 katika kiwanda cha machinjio  na usindikaji nyama cha Nguru ‘Nguru Hills Ranch Limited’ kilichoko nje kidogo ya Morogoro Wilaya ya Mvomero.
Akizunguza katika  uwekaji wa saini kwenye mkataba wa uwekezaji, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliud Sanga, alisema uwekaji wa saini umefikiwa baada ya tathini ya kina iliyofanywa na mfuko huo.Alisema mfuko umejiridhisha  kuhusu usalama wa rasilimali za...

 

2 years ago

Michuzi

WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KATIKA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA CHAKUWAMA WAPATA MSAADA WA VYAKULA KWA AJILI YAKUSHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA

 Meneja  Mkuu wa Maduka ya  nguo ya Woolworths Tanzania, Joehans Bushir (Kushoto)  akiongea na  mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto Yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha Chakuwama, kilichopo Sinza jijini Dar es Salaa, wakati kampuni hiyo ilipopeleka misaada mbalimbali ya vyakula ,ikiwemo mchele,mafuta na sabuni, ili watoto wakituo hicho waweze kusherehekea sikukuu ya pasaka kwa furaha.
 Meneja  Mkuu wa Maduka ya  nguo ya Woolworths Tanzania, Joehans Bushir...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa ofisini kwake kabla ya kupokea magari mawili ambayo yamekabidhiwa kwa chuo hicho na Shirika la Transaid la nchini Uingereza, hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika leo asubuhi katika viwanja vya NIT. Taswira ya tanker trailer la futi 40 na Folk Lift ambayo yamekabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) na Kampuni ya...

 

2 years ago

Michuzi

CHINA KUJENGA UWANJA WA KISASA WA MPIRA WA MIGUU KWA AJILI YA VIJANA WADOGO KATIKA KIJIJI CHA MSOGA BAGAMOYO

NA VICTOR MASANGU, MSOGA .KATIKA kukuza sekta ya michezo hapa nchini hususan soka la vijana wadogo wa shule Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na serikali ya chini watarajia kujenga kiwanja cha michezo cha kisasa katika Kijiji Cha msoga kilichopo halmashauri ya mji mdogo Chalinze Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Akizungumza katika halfa maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya kwenda kutembelea eneo ambalo litajengwa uwanja huo Kikwete amesema kwamba uwanja huo wa wa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Zanzibar ipo katika hatua za mwisho za kukodi meli ya Uvuvi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt Ali Mohammed Shein amesema kuwa mashirikiano ya pamoja na nchi ya Djibouti  yatasaidia  kuimarisha a uchumi wa Zanzibar .

Hayo aliyasema wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari huko Uwanja wa Ndege wa Zanzibar  mara tu aliporudi katika ziara yake ya siku tatu nchini Djibouti.

Alisema katika mazungumzo yao  na Rais wa Djibouti Ismail Omari Guelleh ambae alimualika rasmi kutembelea katika nchi yake walikubaliana...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani