Serikali Kenya yapiga marufuku maandamano miji mikuu

Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

RFI

Serikali ya Kenya yapiga marufuku maandamano ya upinzani katikati ya miji

Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku maandamano ya wafuasi wa upinzani NASA  katikati ya miji  nchini humo.

 

4 months ago

Zanzibar 24

Maandamano yapigwa marufuku katika miji mikuu Kenya

Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu.

Kaimu waziri wa usalama Dkt Fred Matiang’i amesema wanaopanga maandamano wanafaa kuwajibishwa kutokana na uharibifu wa mali unaotokea wakati wa maandamano.

Hatua ya Dkt Matiang’i imetokea huku muungano wa upinzani National Super Alliance (Nasa) unaoongozwa na bwana Raila Odinga ukiendelea na maandamano ya kushinikiza mageuzi katika Tume ya Uchaguzi (IEBC).

Jumatano, visa vya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Kenya yapiga marufuku maandamano

Serikali ya Kenya imepiga marufuku maandamano ya aina yoyote nchini humo, kufuatia vifo vya watu kadhaa, baada ya ghasia kukumba taifa hilo la Afrika Mashariki

 

4 months ago

VOASwahili

Serikali Kenya yapiga marufuku maandamano

Wakati vyama vya upinzani nchini Kenya vikiahidi kufanya maandamano wakidai kuwepo mabadiliko kabla ya marejeo ya uchaguzi wa urais kufanyika, serikali imepiga marufuku maadamano katika miji mikuu mitatu.

 

4 months ago

Channelten

Hali ya Kisiasa Nchini Kenya, Serikali yapiga marufuku maandamano baadhi ya maeneo

bomet_university_title_deed_legal_says_cs_matiangi_29089_L

Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku maandamano ya wafuasi wa upinzani NASA katikati ya miji nchini humo.

Waziri wa Usalama na Mambo ya ndani Fred Matiang’i, amesema maandamano hayo hayataruhusiwa katikati ya jiji la Nairobi, Mombasa na Kisumu.

Matiang’i ameongeza kuwa hatua hii imechukuliwa baada ya baadhi ya waandamanaji wa upinzani kupora mali ya watu katika miji hiyo siku ya Jumatano.

Aidha, Waziri huyo amefafanua kuwa serikali haiwezi kuzuia maandamano kwa sababu ni haki ya...

 

3 years ago

Habarileo

Polisi yapiga marufuku maandamano Chadema

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.

 

2 years ago

Mwananchi

Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepangwa kufanyika kwa nyakati tofauti kwa madai ya kuwepo na hali tete ya  kisiasa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Majina ya nchi na miji mikuu

Kuna tahajia tofauti ya majina ya nchi na miji mikuu. BBC ina tahajia yake, na chuo cha BBC kinatoa orodha hapo chini itayoweza kukusaidia.

 

4 months ago

BBCSwahili

Maandamano yaathiri biashara miji mikubwa Kenya

Muungano wa upinzani nchini Kenya umekuwa ukifanya maandamano katika maeneo kadhaa nchini kushinikiza mageuzi katika tume ya uchaguzi IEBC.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani