Serikali kuhakiki Taasisi za Kidini na Jumuiya za Kijamii
Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Serikali imetoaonyo kali kwa Jumuiya za kidini zinazo kiuka kanuni ya 7 ya Msajili wa jumiya za kidini

Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kidini Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi chini ya Sheria ya Jumuiya, Sura ya 337 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2002 (Societies Act) inazikumbusha Jumuiya zote zilizosajiliwa chini ya Sheria hii, kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria pamoja na masharti ya usajili waliopewa wakati wa usajili. Miongoni mwa masharti yanayopaswa kuzingatiwa na Jumuiya hizo ni pamoja na kutoa taarifa za mabadiliko ya Katiba zao ambazo pamoja na mambo mengine hueleza malengo ya...

 

3 years ago

Channelten

Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi ametoa wito kwa taasisi za kijamii na Kidini

Screen Shot 2016-08-01 at 3.23.29 PM

Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi ametoa wito kwa taasisi za kijamii na Kidini kujikita katika uwekezaji katika Sekta ya Afya ili kusaidiana na Serikali katika kurahisisha Upatikanaji wa Huduma nafuu kwa wananchi wa kawaida.

Alhaji mwinyi ametoa wito huo wakati wa Uzinduzi wa hospitali ya Kisasa ya J.P.M  inayomilikiwa na taasisi ya Tanzania Charitable Trust Fund ya jijini dsm  iliyopo magomeni kagera jijini dsm ambayo inatarajia kutoa huduma mbali mbali kwa gharama nafuu huku ikitoa...

 

3 years ago

Michuzi

MASAUNI AZITAKA TAASISI ZA KIDINI NCHINI KUPAMBANA NA MAOVU, AFUNGUA MKUTANO WA 47 WA JUMUIYA YA WAISLAMU WA AHMADIYYA.

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakiwapungia waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya (hawapo pichani) wakati walipokuwa wanawasili katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masaunia ambaye alikuwa mgeni maalum katika mkutano huo wa 47 wa jumuiya hiyo nchini, aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini...

 

5 years ago

Dewji Blog

Serikali kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii

Pix 059

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Na Frank Mvungi

Serikali imedhamiria kuanza zoezi la kuhakiki vyama  vya kijamii ili kuboresha huduma zinazotolewa na vyama hivyo hapa nchini tangu kuanzishwa kwake.

Hayo ya mesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Bw. Isack Nantanga wakati wa mkutano na waandishi wa habari .

 Katika  kuboresha huduma na usimamizi wa vyama vya...

 

4 years ago

Mwananchi

Serikali kuzifuta taasisi za kidini zinazojihusisha na Katiba,Uchaguzi mkuu

>Serikali imetishia kuanza kutekeleza sheria inayodhibiti asasi za kijamii na kidini, ikizitaka taasisi hizo kuacha mara moja kutoa matamko yanayolenga kuwashawishi waumini wao waikatae Katiba Inayopendekezwa na pia kuwapangia nini cha kufanya katika Uchaguzi Mkuu ujao na kusema watakaobainika watachukuliwa hatua kali.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Viongozi wa kidini na kijamii wapinga marupurupu ya wabunge Kenya

Viongozi wa mashirika ya kijamii Mombasa , na viongozi wa kidini walalamikia nyongeza za marupurupu wanayopata wabunge na maseneta . Hussen Khalid mkurugenzi wa haki Afrika, Mwarua Nziwi afisa wa Human Rights Agenda, pamoja na Sheikh Juma Ngao walikuwa ni baadhi ya viongozi waliozungumza na VOA

 

3 years ago

Channelten

Wito kwa taasisi za serikali kuhakikisha zinatumia alama za jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Alama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Alama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa imetoa wito kwa taasisi za serikali kuhakikisha zinatumia alama za jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo ni Bendera na wimbo wa jumuiya hiyo, kwenye ofisi zake sambabamba na alama za Taifa ikiwemo Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wimbo wa Taifa.

Hatua hiyo ni utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji wa jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo kifungu cha 7(a)...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani