Serikali kumaliza uhaba wa watumishi wizara ya Afya

Serikali ya Tanzania imeazimia kufikia asilimia 70 kutoka 48 ya uhaba wa watoa huduma za afya kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ifikapo mwaka 2022. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akifungua kikao cha kujadili changamoto ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Uhaba watumishi afya waitesa Lindi

Upungufu wa watumishi wa sekta ya afya mkoani hapa unadaiwa kuchangia huduma duni katika hospitali, zahanati na vituo vya afya vya Serikali na kuhatarisga maisha ya wagonjwa.

 

5 years ago

Habarileo

Uhaba wa watumishi waathiri hospitali, vituo vya afya

UHABA wa watumishi katika hospitali na vituo vya afya mkoani Rukwa umetakiwa kutatuliwa haraka kuleta ufanisi katika utekelezaji wa kampeni ya kukomesha vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.

 

3 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Wizara ya Afya akutana na Watumishi wa Wizara yake

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya amekutana na watumishi wa Wizara yake katika tukio lililofanyika mapema leo Novemba 18.2016 Jijini Dar  es Salaam.

whatsapp-image-2016-11-18-at-17-07-28Katibu Mkuu Dkt.Mpoki Ulisubisya(kulia)akimsikiliza mmoja wa watumishi wake(hayupo pichani)kushoto ni kaimu Mganga Mkuu wa Serikali Prof.Ayub Magimba

whatsapp-image-2016-11-18-at-17-09-08Afisa toka kitengo cha elimu ya afya kwa Umma Agrey Mshana akiuliza swali kwa katibu mkuu

whatsapp-image-2016-11-18-at-17-13-54Baadhi ya wakurugenzi na wakuu wa Vitengo...

 

3 years ago

Michuzi

TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUFUATIA WANANCHI KUSHAMBULIA WATUMISHI WA AFYA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO 

TAMKO LA MHE. UMMY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU WANANCHI KUSHAMBULIA WATUMISHI WA AFYA HASA MADAKTARI NA WAUGUZI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA NCHINI, TAREHE 29 MACHI, 2016 
 
Ndugu Wananchi, 
Nachukua fursa hii nikiwa Waziri mwenye dhamana ya masuala ya afya nchini, kutoa tamko kuhusiana na matukio ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kwenye vyombo vya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya yatoa tamko kufuatia Wananchi kushambulia watumishi wa Afya nchini

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO   

 TAMKO LA MHE. UMMY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU WANANCHI KUSHAMBULIA WATUMISHI WA AFYA HASA MADAKTARI NA WAUGUZI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA NCHINI, TAREHE 29 MACHI, 2016

Ndugu Wananchi,

Nachukua fursa hii nikiwa Waziri mwenye dhamana ya masuala ya afya nchini, kutoa tamko kuhusiana na matukio ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kwenye vyombo...

 

1 week ago

Michuzi

TANZANIA KUFIKIA ASILIMIA 70 YA KUONDOA UHABA WA WATUMISHI KATIKA SEKTA YA AFYA


waziri wa afya Ummy Mwalimu akifungua kikao cha kujadili changamoto za rasiliamali watu katika sekta ya afya kilichofanyika leo jijini Dodoma

Dkt.Dan Brun Peterson mshauri mwelekezi masuala ya afya idara ya sera ya mipango wizara ya afya akiwasilisha mada katika kikao hicho
waziri wa afya pamoja na katibu mkuu wake Dkt.Zainab Chaula(kulia)wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa
Viongozi mbalimbali wakifuatilia uwasilishaji wa mada kwenye kikao hicho ambacho kitaweka mikakati ya kuboresha...

 

2 years ago

Dewji Blog

Serikali yatenga bil. 251 kumaliza tatizo la uhaba wa dawa nchini

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii , Jinsia Wazee na Watoto imetenga bilioni 251 ili kuimarisha upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya na zahanati zote nchini .

Hayo yamesemwa na  Katibu Mkuu Wizara Ya Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya wakati wa mahojiano katika kipindi cha Tunatekeleza kinachoendeshwa na kituo cha matangazo TBC1 jijini Dar es salaam.

“Kutokana na taarifa zinazozagaa juu ya upungufu wa dawa katika zahanati hapa nchini...

 

12 months ago

Michuzi

Serikali, NSSF wajipanga kumaliza tatizo la uhaba wa maji jiji la Dar es Salaam.

Morogoro, June 4, 2018:SERIKALI kwa kushirikikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF wamejipanga kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Kidunda, hatua inayotajwa kuwa itatatua kabisa tatizo la uhaba wa maji katika jiji la Dar es Salaam katika kipindi chote cha mwaka.Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi huo katika kijiji cha Kidunda, kata ya Mkulazi Wilaya ya Morogoro Vijijini, Waziri wa Maji na Umwagiliaji  Mhandisi Isack Kamwelwe alisema mradi huo unalenga kufanikisha adhma ya...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Serikali kukabili uhaba watumishi mahakamani

KUTOKANA na uhaba wa watumishi katika mahakama nchini, Serikali inakusudia kutatua na kumaliza adha hiyo ambayo ni kero kwa wananchi. Hayo yalisemwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani