SERIKALI KUTENGA KILA MWEZI MILIONI 55 KWA JIJI LA TANGA KUHAKIKISHA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WANAPATA ELIMU BORA-WAZIRI UMMYWAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu amesema serikali kila mwezi imekuwa ikitenga fedha kiasi cha sh.milioni 55 kwenye Jiji la Tanga kwa ajili ya shule za msingi ili kuhakikisha wanafunzi wanasoma bila kuwepo kwa vikwazo na hivyo kupata elimu bora.
Aliyasema hayo wakati ufunguzi na kukabidhi vyumba vya madarasa 11 kwenye shule ya Msingi Bombo kwa halmashauri ya Jiji hilo ambavyo ujenzi wake ulichukua zaidi ya mwaka mmoja na kulazimika wanafunzi kuwepo nje...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora - Balozi Seif Ali Iddi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha kwamba watoto wao wanawasimamia vyema katika kupata elimu bora itakayotoa mwanga wa kimaisha katika hatma yao ya baadaye. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo wakati akizunghumza na Uongozi wa Kamati ya Skuli, walimu, Wazazi na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A “ mara baada ya kuikagua na kuangalia maendeleo na changamoto zinazoikabili skuli hiyo. 
Balozi Seif alisema elimu...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AMTAKA DED TANGA KUTENGA ENEO KWA AJILI YA TAASISI YA GIFT OF HOPE

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kutenga eneo la hekari 10 kwa ajili ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Gift of Hope Foundation ambayo inasimamia kituo cha Sober House.
Hayo ameyazungumza alipotembelea kituo hicho kinacho wasaidia waat hirika wa madawa ya kulevya kilichopo eneo la Kange kata ya Maweniambapo alikabidhi pikipiki 1 kwa ajili ya kituo hicho.Waziri Ummy alisema jambo linalofanywa na taasisi hi yo lazima liungwe mkono na Serikali...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KUTENGA FEDHA KILA MWAKA KWA AJILI YA UKARABATI WA SHULE KONGWE YA ILBORU

Na Woinde Shizza,Arusha.SERIKALI imeombwa kuendelea kutenga fedha za ukarabati kila mwaka kwa shule kongwe ya wanafunzi wenye vipaji maalum ya Ilboru ili walau kuzirudisha katika hali yake nzuri na kuzijengea mazingira mazuri ya kujifunzia na kufundishia, ili zionekane tofauti na shule zingine hatimaye ziwafanye wanafunzi wajitume zaidi katika masomo.
Hayo yalisemwa jana na mkuu wa shule kongwe ya Ilboru sekondari JuliusShulla alipokuwa akizungumza na wadau wa elimu na walezi katika...

 

11 months ago

Malunde

Picha : WAZIRI UMMY ATOA ZAWADI YA VYAKULA KWA TAASISI 10 TANGA KWA AJILI YA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI


Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu kupitia taasisi yake ya Odo Ummy Foundation leo Jumatatu Mei 28,2018 amekabidhi vyakula mbalimbali kwa taasisi 9 za kiislamu na Magereza zilizopo Jijini Tanga ili viweze kuwasaidia wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. 

Taasisi zilizopata zawadi ya vyakula ni Maawal Islam, Shamsiya (Tamta),Zaharau ,Shamsul Maarifa,Swalihina Islamic Centre, Sahare ,Kituo cha Yatima cha Answar Muslim Youth Makorora ,Kituo...

 

2 years ago

Channelten

Serikali imetoa miezi sita kuanzia sasa kwa Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari kuhakikisha hili

pic+drugs

Waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu ametoa miezi sita kuanzia sasa kwa wakuu wa shule za msing bna sekondari kuhakikisha wanaanzisha madawati ya ulinzi na usalama kwa ajili ya kuwasikiliza wanafunzi pindi wanapokuwa na shida kwa kutenga waalimu watakaoweza kuwasikiliza na kutatua changamoto zao.

Maagizo hayo ameyatoa wilayani Tarime mkoani mara wakati wa kilele cha cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani ambapo amesema mara nyingi watoto wa shule...

 

2 years ago

Ippmedia

Serikali yabaini uwepo wa wanafunzi hewa 52783 kwa shule za msingi,12415 kwa shule za sekondari

Serikali imebaini uwepo wanafunzi hewa 52,783 kwa shule za msingi na 12,415 kwa sekondari ambao wangeliingizia taifa hasara ya zaidi ya shilingi milioni 931 ambazo zingepelekwa mashuleni kwa ajili ya ruzuku kwa mwaka wa fedha 2016/17 huku ikitamka kuwachukulia hatua kali kwa watumishi watakaobainika kufanya njama za mchezo huo mchafu unaoliingizia taifa hasara.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Michuzi

NMB yatoa elimu ya kifedha kwa wanafunzi Shule ya Msingi Wailes

Ofisa wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Latifa Ayoub Dadah (kushoto) akimkabidhi mpira wa miguu mmoja wa viongozi wa michezo wa Shule ya Msingi Wailes kwa ajili ya shule hiyo. Mpira huo umetolewa na Benki ya NMB kama zawadi kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Wailes mara baada ya elimu ya masuala ya fedha na akiba iliyotolewa na benki hiyo. Wa kwanza kusho to ni Mwalimu wa Taaluma wa Shule ya Msingi Wailes, Zabibu Wasia akishuhudia. Ofisa wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Latifa Ayoub Dadah...

 

2 years ago

Michuzi

TBS WATOA ZAWADI KWA WAANDISHI BORA WA INSHA ZA MAZINGIRA KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SHIRIKA la Viwango Nchini (TBS) limewatangaza washindi wa shindano la uandikaji wa insha lililoandaliwa na Shirika la Mazingira Duniani (UNEP) lililoshirikisha shule za msingi na sekondari Tanzania nzima.
Akizungumza kabla ya utoaji tuzo hizo,Kaimu mkurugenzi mkuu wa TBS Egid Mubofu amesema hatua hii itasaidia sana kuweza kutoa elimu kwa wananchi hasa baada ya wanafunzi hawa kuonesha jitihada kubwa za kuondokana na suala zima la uchafuzi wa mazingira.


Katika...

 

3 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU ARDHI CHAWAPA MWONGOZO WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI ZA JIJI LA DAR ES SALAAM KUHUSU NAMNA BORA YA KUJIUNGA NA MASOMO YA ELIMU YA JUU KULINGANA NA UFAULU WAO JUU


Mtaalam wa Jiografia kutoka Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Mlenge Fanuel Mgendi  akiwahamasisha wanafunzi wa kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani  kupenda kusoma na kuweka bidii katika masomo ambayo wana uwezo nayo ili yawasaidie kuendelea na Elimu ya Juu katika chuo Kikuu Ardhi na vyuo vingine leo jijini Dar es salaam. Chuo Kikuu Ardhi kinaendesha Programu ya utoaji elimu kwa wanafunzi wa sekondari katika shule mbalimbali kwa lengo la kuwasaidia  kufanya uchaguzi sahihi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani