SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amesema Serikali ya Rais Magufuli kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji imetoa kipaumbele kwa viwanda vya ndani vinavyozalisha bidhaa zinazotumika kutekeleza miradi mikubwa ya maji inayoendelea kujengwa nchini kote.
Aweso ametoa kauli hiyo mjini Kahama alipotembelea kiwanda cha Kahama Oil Mills, mkoani Shinyanga ambacho moja ya shughuli zake ni kutengeneza mabomba na vifaa mbalimbali vinavyotumika kutekeleza miradi ya maji na kutoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MwanaHALISI

Zitto: Serikali inaua viwanda vya ndani

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kusimamia ipasavyo sekta ya viwanda ili kuhakikisha kinachozalishwa nchini kinakuwa na maana kwa faida ya Watanzania, anaandika Dany Tibason. Amehimiza serikali kuvilinda viwanda vya ndani dhidi ya kuvurugwa na bidhaa za nje ambazo zinaingizwa kinyemela, vinginevyo ikubali kuwa inaviua makusudi. Zitto ambaye ni kiongozi mkuu wa Chama ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mama Mwanamwema: Serikali kuvipa hadhi daadhi ya vituo vya afya Nchini

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, ameitaka jamii kupokea mabadiliko yanayofanyika katika sekta ya Afya katika kuzipa hadhi baadhi ya hospitali na Vituo vya afya ziliopo nchini kwa kuzipandisha dajara.

Mama Shein, ameyasema hayo wakati akizungumza na watendaji wa sekta ya afya,na Wananchi wa Wilaya ya Micheweni katika Hospitali ya Cottage Micheweni.

Amesema uamuzi wa Serikali kuvipandisha hadhi baadhi ya Vituo vya Afya na kuongezewa madaraja ni sehhemu ya utekelezaji wa Ilani ya...

 

2 years ago

Channelten

Maonyesho ya Viwanda vya Ndani Serikali iko mbioni kuanzisha hili

screen-shot-2016-12-11-at-5-08-30-pm

Serikali iko mbioni kuanzisha Benki ya kuwasaidia wajasiliamali wenye viwanda vidogo vidogo ili kuwainua kimitaji na kuzalisha bidhaa bora kupitia viwanda vidogo vidogo.

Aidha Serikali imesema kuna Umuhimu wa kuiongozea uwezo pamoja na Mtaji Shirika la kuhudumia viwanda Vidogo vidogo Sido ili iendelee kutoa elimu na utaalam kwa wajasiriamani nchini.

Katibu Mkuu wizara ya Viwanda na Biashara Dk. Adelhem Meru amezungumza hayo wakati akikagua bidhaa mbali mbali zinazotengenezwa na...

 

2 years ago

Dewji Blog

Serikali yatenga Mil. 900 kuzalisha dawa katika viwanda vya ndani

Serikali imetenga milioni 900 ili kuzalisha dawa za binadamu katika viwanda vya ndani ili kufanya asilimia 80 ya dawa zinazoagizwa nje zipatikane nchini.

Akizungumza hayo wakati wa Uzinduzi wa Bodi mpya ya ushauri kutoka Mamlaka ya Chakula na dawa nchini (TFDA), Waziri wa Afya Waziri wa Afya ,Maendeleo ya jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Mhe.

Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali imetenga fedha hizo kuhakikisha viwanda vya ndani vinatengeneza dawa hapa nchini na kupiga hatua katika uchumi wa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Serikali yapanga kuzuia uagizwaji wa mitumba ili kuinua viwanda vya ndani

Serikali imezimia kuachana na biashara ya kuingiza nguo za mitumba kutoka nje ya nchi ifikapo mwaka 2018.

Maazimio hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika uzinduzi wa mafunzo ya uanagenzi ya ushonaji nguo katika kiwanda cha Tanzania Tooku Garments Company, Ltd.

Mhe. Jenista Mhagama amesema kuwa katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kwamba ifikapo mwaka 2018 soko la Afrika...

 

2 years ago

Michuzi

TASWIRA KATIKA MABANDA YA MAONESHO YA VIWANDA VYA NDANI KATIKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR

Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Gaudensia Simwanza (kulia) akitoa maelezo kwa wateja wa waliofika katika banda la TFDA katika maonesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja Sabasaba jijini Dar es Salaam.Kaimu Meneja huduma kwa wateja na Elimu kwa Umma Ndugu Jemes Ndege( kulia)akitoa elimu kwa wananchi waliofika katika banda la TFDA katika maonesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja Sabasaba jijini Dar es Salaam.Mwalimu wa Umeme VETA...

 

2 years ago

Channelten

Watumiaji wa maji nchini wameshauriwa kutumia vifaa maalum vya kuhifadhia maji

poly-water-tank-for-orchard

Watumiaji wa maji nchini wameshauriwa kutumia vifaa maalum vya kuhifadhia maji hali itakayowafanya kuepukana na magonjwa mbalimbali ya milipuko na kuepuka adha ya kutafuta maji wakati wa kiangazi.

Akizungumza wakati wa kukabidhi pikipiki tano kwa washindi watano wa shindano la Simtank Uza Ushinde, meneja mauzo wa kampuni ya SIL Afrika Salman Khan amesema washindi hao wamepatikana kutokana na mchango wao mkubwa katika kuuza na kuhamsisha jamii kuhusu matumizi na umuhimu wa kuhifadhi maji...

 

5 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA JWTZ NA VIWANDA VYA MAJI NA USHONAJI VYA SUMA JKT MGULANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu wakifunua pazia kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa kituo cha uwekezaji cha JWTZ kupitia SUMA-JKT kilichopo Mgulani jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2018. Kituo kicho kina viwanda vya ushonaji na maji ya kunywa pamoja na Shule ya Sekondari ya Jitegemee...

 

2 years ago

Michuzi

WHO NA JUMUIA YA ALYAMIN WATOA VIFAA VYA KUCHUNGUZIA MAJI NA MAJI YA KUNYWA KATIKA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU ZANZIBAR.

MWENYEKITI wa Jumuia ya Alyamin Dkt. Omar Swaleh akimkabidhi Waziri  wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Msaada wa Maji na vidonge vya kutibu maji ya kunywa kwa ajili ya wagonjwa wa kipindupindu, (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Juma Malik Akili. MWAKILISHI wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Andemichael Ghirmay, akizungumza na Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo alipofika ofisini kwake kukabidhi Vifaa vya kuchunguzia Maji.MWAKISHI wa WHO Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani