Serikali, NSSF wajipanga kumaliza tatizo la uhaba wa maji jiji la Dar es Salaam.

Morogoro, June 4, 2018:SERIKALI kwa kushirikikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF wamejipanga kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Kidunda, hatua inayotajwa kuwa itatatua kabisa tatizo la uhaba wa maji katika jiji la Dar es Salaam katika kipindi chote cha mwaka.Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi huo katika kijiji cha Kidunda, kata ya Mkulazi Wilaya ya Morogoro Vijijini, Waziri wa Maji na Umwagiliaji  Mhandisi Isack Kamwelwe alisema mradi huo unalenga kufanikisha adhma ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Serikali kumaliza tatizo la maji mjini Dar

Serikali ya Tanzania imewahakikishia wakaazi wa jiji la Dar es Salaam kwamba inatatua tatizo la uhaba wa maji mjini humo na hivi karibuni tatizo hilo litakuwa historia.

 

2 years ago

Dewji Blog

Serikali yatenga bil. 251 kumaliza tatizo la uhaba wa dawa nchini

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii , Jinsia Wazee na Watoto imetenga bilioni 251 ili kuimarisha upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya na zahanati zote nchini .

Hayo yamesemwa na  Katibu Mkuu Wizara Ya Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya wakati wa mahojiano katika kipindi cha Tunatekeleza kinachoendeshwa na kituo cha matangazo TBC1 jijini Dar es salaam.

“Kutokana na taarifa zinazozagaa juu ya upungufu wa dawa katika zahanati hapa nchini...

 

3 years ago

Dewji Blog

Serikali khuduma ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.

Sharif 01

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Maji Bw. Athumani Sharif akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mikakati ya Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa maji jijini Dar es Salaam mapema  jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa. (Picha na Fatma Salum.)

Na. Georgina Misama – Maelezo

[DAR ES SALAAM] Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada...

 

3 years ago

Michuzi

Serikali Kuboresha Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

Na. Georgina Misama - Maelezo
Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada ya kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Chanzo cha Maji cha Ruvu Chini na upanuzi wa mtambo wa kusafishia maji.
Mradi huo unaotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Kimarekani la Millenium Challenge Co-operation umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 66.24 na unatarajiwa kukamilika wakati wowote baada ya kukamilika kwa kazi ya kulaza bomba linalosafirisha maji toka Ruvu chini kuja...

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI YATUMIA BILIONI 514 KUMALIZA TATIZO LA MAJI JIJINI ARUSHA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA), leo imeingia mikataba ya Dola za Marekani 233,915,581 ambazo ni takribani Shilingi 514,614,278,200 za Tanzania kumaliza kabisa tatizo la maji katika Jiji la Arusha na Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro.
Fedha hizo ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ambao wamechangia Dola za Marekani...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goodluck Mlinga kahoji serikali kutenga fedha kumaliza tatizo la maji

Residents fetch water at a water point in Amari Yewebesh Kebele in Amhara Region of Ethiopia 3 July, 2013. Photo by Jiro Ose

Dr. Peter Salama, UNICEF Ethiopia Representative, left, and Denis Thieulin, Head of EU Delegation, visit WASH project in Amahara region.

June 28 2016 bado tunazihesabu headlines za bungeni Dodoma, katika kipindi cha maswali na majibu mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga alisimama kuomba serikali kukamilisha mradi wa maji jimboni kwake ambao umekwama kutokana na ukosefu wa fedha. ‘Katika jimbo langu la Ulanga kuna mradi wa maji ambao umekamilika lakini tatizo umeshindwa kuanza kwakuwa mdara ya maji […]

The post VIDEO: Goodluck Mlinga kahoji serikali kutenga fedha kumaliza tatizo la maji appeared first on...

 

2 years ago

Mtanzania

Geita washindwa kumaliza tatizo uhaba wa madawati

upungufu-wa-madawatiNA CHRISTINA GALUHANGA-DAR ES SALAAM

MKOA wa Geita unaogoza miongoni mwa mikoa saba kwa kuwa na upungufu mkubwa wa madawati.

Jambo hilo limetajwa kuirudisha nyuma juhudi za serikali katika   kuboresha elimu nchini.

Mbali na Geita, mikoa mingine ambayo haijakamilisha madawati ni Mwanza, Mara, Kigoma, Rukwa, Simiyu na Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene, ametoa mwezi mmoja kwa viongozi wa mikoa hiyo kuondoa kero hiyo vinginevyo...

 

5 years ago

Michuzi

uhaba wa maji ya uhakika dar es salaam kuwa historia karibuni

Tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji ya uhakika linalowakabili wakaazi wa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mengine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini sasa litakuwa historia...  Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya...

 

11 months ago

Michuzi

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani