Serikali ya awamu ya nne yafanikiwa kuimarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi

1

Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya serikali ya nne ikiwamo kujenga umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi.

2

Mkurugenzi wa Muungano, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Serikali kuimarisha amani, utulivu Zanzibar

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema imejipanga kuhakikisha inaimarisha amani na utulivu kwenye marudio ya uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwezi ujao na kukamilisha uchaguzi huo kwa ufanisi.

 

3 years ago

Michuzi

Rais Magufuli awasihi watanzania kudumisha amani, umoja na utulivu asisitiza serikali kuhamia Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma mapema leo asubuhi waliojitokeza kushuhudia maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa, mjini Dodoma.PICHA NA MICHUZI JR-DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasihi watanzania kuwaenzi Mashujaa kwa kudumisha Amani, Umoja na Utulivu uliojengwa na mashujaa hao.Rais Magufuli ametoa rai hiyo leo tarehe...

 

2 years ago

Mwananchi

Alizeti liwe miongoni mwa mazao ya kipaumbele kuimarisha kilimo

Baada ya kupata historia ya alizeti duniani, leo tutaangalia umuhimu na haja ya zao hili kupewa kipaumbele cha ziada.

 

4 years ago

GPL

MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA JULIUS NYERERE-DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa amani, umoja na utulivu wa nchi utakaofanyika kuanzia leo na kesho ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, serikali, dini, asasi za kiraia na wazee. Kulia ni Msaidizi wa mkurugenzi...

 

4 years ago

GPL

VIONGOZI MBALIMBALI WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungungumzwa katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu ulioanza leo ambao utamalizika kesho. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo asubuhi.  Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye...

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI YAFANIKIWA KATIKA UKUSANYAJI MAPATO KIELEKTRONIKI

Tangu kuzinduliwa Dirisha la Ukusanyaji Kodi kidigitali June mosi 2017 (Electronic Revenue Collection System - eRCS) ambalo lilizinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu wa Rais Mhe. Mama Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mohamad Shein,  mawaziri kadhaa wa serikali za Muungano na serikali ya Mapinduzi; Kwa mara ya kwanza serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipatia bila bugudha Ushuru mkubwa wa bidhaa na...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI JIMBO LA DIMANI, ZANZIBAR WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU.


Na. Aron Msigwa – NEC, Zanzibar.
Hatimaye wananchi wa Jimbo la Dimani visiwani Zanzibar waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga leo wamejitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali kupiga kura kumchagua Mbunge atakayewawakilisha kwa kipindi cha miaka miaka 4.
Zoezi la upigaji wa Kura katika vituo mbalimbali lilianza majira ya saa 1 asubuhi  likifanyika kwa hali ya Amani na Utulivu huku baadhi ya wananchi waliojitokeza kupiga kura wakipongeza maandalizi mazuri yaliyofanywa na Tume ya...

 

3 years ago

Michuzi

SIMU TV: Kupotea kwa sarafu ya shilingi 500 kumeonekana kuleta mkanganyiko mkubwa miongoni mwa wananchi na kusema ina vito vya thamani

SIMU.TV:  Timu ya mpira wa miguu Kawawa imeibuka kidedea dhidi ya Jitimaye katika mashindano ya kuadhimisha miaka 39 ya CCM;https://youtu.be/ojTgaWtzl_Y SIMU.TV:  Ligi kuu Vodacom yazidi kushika kasi kufuatia timu 3 za juu katika michuano kuweza kushinda katika michezo yao mitatu iliyochezwa; https://youtu.be/z-l_Ar83XWESIMU.TV:  Vilabu  vya DARTS Dar es salaam  vyaingia kambini kuanza mazoezi kwajili ya mashindano ya taifa huku wakiomba udhamini kutoka kwa...

 

4 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa amani, umoja na utulivu wa nchi utakaofanyika kuanzia leo na kesho ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, serikali, dini, asasi za kiraia na wazee. Kulia ni Msaidizi wa mkurugenzi huyo, Gallus Abedi na Ofisa Mipango, Edger Atubonekisye. Mkutano...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani