Serikali ya Japan yamruhusu mfalme Akihito kujiuzulu

Serikali ya Japan, imeidhinisha mpango wa kumruhusu mfalme Akihito wa nchi hiyo, ajiuzulu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Mfalme Akihito wa Japan

Mfalme wa Japan Akihito ameeleza mapenzi yake ya kutaka kung'atuka. Akihutubia taifa hilo kupitia runinga, amesema ana wasiwasi kwamba umri na udhoofu wa afya yake huenda vikamfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Japan Akihito aomba kung’atuka

Mfalme wa Japan Akihito ameeleza mapenzi yake ya kutaka kung’atuka kutokana na umri wake na matatizo ya kiafya.

 

2 years ago

Bongo5

Mfalme Akihito wa Japan ataka kung’atuka

Mfalme wa Japan Akihito ameeleza mapenzi yake ya kutaka kung’atuka.

_90708160_4d9a31e3-2da1-4b7a-a5b3-dc56698c1516
Mfalme Akihito

Akihutubia taifa hilo kupitia runinga, amesema ana wasiwasi kwamba umri na udhoofu wa afya yake huenda vikamfanya ashindwe kutekeleza majukumu yake.

_90708159_eeb9aef5-344e-49d7-9dd9-a3d3b3f8025f
Wananchi waonekana kushangaa baada ya Mfalme Akihito kutangaza matamanio yake ya kung’atuka

Kwa sasa, hakuna nafasi kisheria kumruhusu mfalme kuondoka madarakani Japan.

Lakini muda mfupi baada ya hotuba yake, Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe, amesema atathmini...

 

3 years ago

Vijimambo

WATANZANIA JAPAN WAKUTANA NA BALOZI BURIANI BAADA YA KUWAKILISHA HATI YA UTAMBULISHO KWA MFALME AKIHITO

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani akiongea na Watanzania waishio nchini humo mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan. Picha na Mariam mwakilishi wa Vijimambo Japan. Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani akigonganisha glasi na mmoja wa Watanzania waishio Japan siku alipowakaribisha nyumbani  mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan. Maafisa,...

 

2 years ago

Habarileo

Malkia Elizabeth, Mfalme Akihito wampongeza JPM

RAIS John Magufuli ameendelea kupokea salamu za pongezi kutoka kwa viongozi mbalimbali duniani kutokana na kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, safari hii akiwamo Malkia Elizabeth II wa Uingereza.

 

4 years ago

Michuzi

Dk. Shein Akutana na Mwana Mfalme wa Japan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino alipowasili Ikulu mjini Zanzibar leo akifuatana na Mkewe Princess Akishino na baadae kufanya mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akifuatana na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

4 years ago

Michuzi

MWANA WA MFALME WA JAPAN NA MKEWE WATEMBELEA MUHIMBILI

Mwana wa Mfalme wa Japan Prince Akishino na mkewe Princess Kiko leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili ili kuona jinsi inavyotoa huduma zake kwa Watanzania. 
Akitoa salamu za pongezi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bi. Agnes Mtawa amesema Hospitali imekuwa na uhusiano wa muda mrefu na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo la JICA katika maeneo mbalimbali ya huduma ikiwemo ujenzi wa maabara maalumu ya watoto, ujenzi wa Kituo cha Maelezo ya Afya Muhimbili...

 

2 years ago

MillardAyo

Mfalme wa Japan aonyesha nia ya kuondoka madarakani, katoa sababu zake

mfalme

Mtu wangu taarifa inayogonga vichwa vya habari kwa sasa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa ni hii ya Mfalme wa Japan kuonyesha nia ya kutaka kuondoka madarakani wakati katika sheria za nchi hiyo hakuna nafasi inayomruhusu mfalme kuondoka madarakani.  Mfalme wa Japan Akihito amelihutubia taifa hilo kupitia runinga ambapo ameeleza kuwa ametaka kung’atuka kutokana na kwamba ana […]

The post Mfalme wa Japan aonyesha nia ya kuondoka madarakani, katoa sababu zake appeared first on...

 

4 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko leo Ikulu, Dar

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino alieambatana na Mkewe Princess Kiko walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mbelwa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazunzumzo na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani