Serikali ya Kenya yaapa kuwakabili waandamanaji wahalifu

Kaimu waziri wa usalama nchini Kenya Fred Matiangi amesema kuwa polisi hawatasita kulinda maisha ya Wakenya na mali yao kufuatia kukamilika kwa uchaguzi uliokumbwa na utata.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Serikali yaapa kufyeka ufisadi  

Kassim MajaliwaNA BAKARI KIMWANGA, DODOMA

SERIKALI imetoa kauli ya kiapo bungeni kuwa itapambana hadi iviangamize vitendo vyote vya rushwa na ufisadi vinavyofanywa na watumishi wa umma wasio waaminifu.

Imesema sambamba na hilo pia itaendelea kuisafisha Mamlaka ya Bandari (TPA) na imewataka wafanyabiashara watambue kuwa ipo na inaendelea kuboresha huduma katika bandari zote hususani ya Dar es Salaam.

Kauli hiyo imetolewa bungeni jana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokuwa akiwasilisha bajeti ya Sh...

 

2 years ago

BBCSwahili

Serikali yaapa kumaliza ugaidi Bangladesh

Waziri mkuu wa Bangladesh ameahidi kuangamiza ugaidi, baada ya shambulizi la wapiganaji wanaodaiwa kuwa wa Islamic state katika mgahawa mmoja wa mji mkuu Dhaka.

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI

SERIKALI wilayani Korogwe Mkoani Tanga imepania kuhakikisha wanakomesha vitendo vya mimba za utotoni kwa kuwachukulia hatua kali watakaobinika kuhusika na matukio hayo ili kuweza kuondosha hali hiyo kwenye jamii.
Lakini pia imesema watakaohusika kuwa kichocheo cha ndoa hizo zifanyike wakiwemo wazazi kutoka pande zote mbili watafikishwa mahakamani ili sheria zichukue mkondo wake zaidi kwa lengo la kukomesha vitendo vya namna hiyo kwenye jamii.
Hayo yalibainishwa na Mkuu wa wilaya ya Korogwe...

 

2 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wawili wauawa Kenya

Waandamanaji wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine kadha kujeruhiwa katika mji wa Kisumu nchini Kenya.

 

6 months ago

VOASwahili

Polisi wawatawanya waandamanaji nchini Kenya

Polisi nchini Kenya Jumatatu wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wanashinikiza kuondolewa marufuku ya kutopeperusha matangazo vituo vitatu vya televisheni nchini humo.

 

2 years ago

Mwananchi

CUF yaitaka Serikali kuwakabili wanaoua wanasiasa

Chama cha Wananchi (CUF), kimedai kuwa mauaji ya Diwani wa Kimwani ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Sylvester Muliga ni mwendelezo wa matukio yanayowalenga wanasiasa wa upinzani.

 

2 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wateketeza kituo cha polisi Kenya

Waandamanaji waliojawa na hasira wameteketeza kituo kimoja cha polisi kinachoshukiwa kutumika kuwashika waathiriwa watatu waliouawa kikatili na maafisa wa polisi

 

9 months ago

RFI

Polisi ya Kenya yashtumiwa kuwaua kwa makusudi waandamanaji

Mashirika mawili ya Haki za Binadamu yameiomba serikali ya Kenya kuchunguza na kuwachukulia hatua za kisheria maafisa wa polisi wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu wengi wakati wa maandamano yaliyoitishwa na upinzani wiki iliyopita kutaka kufanyike mageuzi katika Tume ya Uchaguzi IEBC.

 

6 months ago

BBCSwahili

Polisi watumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji Kenya

Wanaharakati walikuwa wanaandamana kushinikiza kufunguliwa kwa vituo vya utangazaji

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani