Serikali ya Zanzibar yaahidi kulipa madeni ya walimu ndani ya kipindi cha miezi kumi

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuyapatia ufumbuzi  matatizo yanayoikumba sekta ya elimu ikiwemo tatizo la kuchelewa kulipwa madeni yao ndani ya kipindi cha miezi  kumi ijayo.

Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri kwenye maadhimisho ya siku ya walimu duniani katika ukumbi wa  suza  mjini Unguja.

Amesema licha ya serikali kufanya marekebisho ya mishahara kwa baadhi ya walimu, lakini bado wanaendelea na hatua za kuwatafutia...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeanza kulipa madeni ya walimu yanayofikia Sh162.1 milioni.

 

2 years ago

Mwananchi

Serikali imalize kulipa madeni ya walimu

Gazeti hili toleo la jana kulikuwa na habari iliyomnukuu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba akitishia kuwa chama hicho kitatangaza mgogoro na Serikali iwapo haitawalipa madai yao ya zaidi ya Sh800 bilioni.

 

5 years ago

Habarileo

Serikali yataja mikakati ya kulipa madeni ya walimu

SERIKALI imeweka bayana mikakati yake ya kukabiliana na deni la walimu, ambao ni sehemu kubwa ya watumishi wake.

 

5 years ago

Habarileo

Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu

FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.

 

3 years ago

Channelten

Benki Kuu ya Tanzania “BOT” imesema serikali imeanza kulipa madeni yote ya ndani na nje kwa fedha zake za ndani

screen-shot-2016-09-30-at-3-44-19-pm

Benki Kuu ya Tanzania,BoT imesema serikali imeanza kulipa madeni yote ya ndani na nje kwa fedha zake za ndani ambapo tayari imeshalipa kiasi cha shilingi bilioni 96 za deni la ndani huku ikilipa dola milioni 90 za deni lake la nje.

Akitoa taarifa ya Ukuaji wa Pato la Taifa kwa kipindi cha nusu mwaka wa 2016, Gavana wa BoT Profesa BENNO NDULU amesema kufuatia serikali kulipa shilingi bilioni 96  za deni la ndani,  deni hilo linasalia kiasi cha shilingi  trilioni 9.9 huku deni la nje...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YALIPA MADENI YA NDANI BILIONI 190 KATIKA KIPINDI KIFUPI

Benny Mwaipaja, KAGERA
Serikali imelipa madeni ya wazabuni, wakandarasi na malimbikizo ya wafanyakazi yanayofikia kiasi cha shilingi bilioni 190 katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Julai hadi Septemba mwaka huu baada ya kufanya uhakiki wa madeni halali inayodaiwa na wafanyakazi na watoa huduma mbalimbali.
Hayo yamesemwa Mjini Bukoba mkoani Kagera na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dokta Ashatu Kijaji (Mb), wakati akizungumza na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa mkoa huo akiwa katika...

 

1 year ago

Michuzi

WADAIWA SUGU WA MADENI YA “COMMODITY ORT SUPPORT (CIS) WATAKIWA KULIPA MADENI YAO NDANI YA SIKU 30

TANGAZO KWA WADAIWA SUGU WA MADENI YA “COMMODITY IMPORT SUPPORT (CIS)
Katika miaka ya 1980 hadi 2000 Wahisani walitoa fedha za kigeni kwa Serikali ya Tanzania kwa mpango maalum uliofahamika kama “Commodity Import Support (CIS)” kwa lengo la kuipa Serikali uwezo wa kuimarisha uchumi kwa kuzipatia Taasisi, Makampuni, Viwanda na wafanyabiashara uwezo wa kuagiza bidhaa na malighafi kutoka nje ya nchi, kwa kuwa wakati ule nchi...

 

2 years ago

Channelten

Shule za Nyasi Kuondoka , Serikali imenuia kuhakikisha ndani ya miezi kumi na mbili ijayo

SHULE ZA NYASI

Serikali imenuia kuhakikisha kuwa ndani ya miezi kumi na mbili ijayo, shule zote zilizoezekwa kwa nyasi nchini zinaondoka,ili kuhakikisha mtoto wa kitanzania anapata elimu iliyo bora katika mazingira rafiki.

Mpango huo wa serikali umetangazwa mjini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo, wakati alipokuwa akifungua Mkutano wa wadau wa ubora wa elimu nchini.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Mkoa wa Tabora Bw. Khamis Lissu, ameshauri...

 

3 years ago

Zanzibar 24

BoT imeanza kulipa madeni yote ya ndani na nje kwa fedha zake za ndani

Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imeanza kudhihirisha kwa vitendo, kauli kwamba deni la Tanzania nje ya nchi ni himilivu baada ya kuanza kulipa sehemu ya deni ikiwa na chini ya mwaka mmoja madarakani.

Takwimu zilizotolewa mwishoni mwa wiki na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu zimebainisha hali ya uchumi kuimarika kwa kasi, hatua ambayo imewezesha serikali kuanza kulipa madeni na kutekeleza mipango mikubwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani