SERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MCHEZO WA GOLF NCHINI

Na Lorietha Laurence- WHUSM, Arusha.Serikali imeahidi kushirikiana kwa ukaribu na wadau wa mchezo wa Golf nchini katika kuhakikisha mchezo huo unafundishwa kuanzia ngazi ya chini ili kuandaa wachezaji bora wa kimataifa wataoiwakilisha nchi katika mashindano hayo duniani.
 Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe alipokuwa akifunga mashindano ya Kili Golf Mkoani Arusha ambapo ameeleza kuwa mchezo huo ni wa muhimu  ukazingatiwa katika ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Serikali yaahidi kuendeleza mchezo wa Hockey nchini

Na: Genofeva Matemu – WHUSM
Serikali ipo tayari kuendeleza michezo yote badala ya kubaki na michezo michache ikiwemo mchezo wa mpira wa magongo (Hockey) ambao kwa miaka mingi iliyopita mchezo huo uliiletea heshima kubwa Tanzania.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ziara ya marais wa shirikisho la Mchezo wa Mpira wa Magongo Duniani na Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
“Mchezo wa mpira wa magongo ni mchezo ambao Tanzania kwa miaka mingi...

 

3 years ago

Dewji Blog

Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari

IMG_2832

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO NCHINI

 Kikundi cha wahitimu wa elimu ya juu SUJA ECO-ENERGY wakiwa na mfano wa hundi ya dola 3000 ambayo wamekabidhiwa baada ya kubuni wazo la kijasiriamali la mradi wa kutengeneza nishati kupitia kinyesi cha ng’ombe.

 Kikundi cha wahitimu wa elimu ya juu cha RECHA wakikabidhiwa mfano wa hundi ya dola 3000 kutoka kwa Mkurugenzi wa Teknolojia na Operesheni  wa Benki ya Posta Tanzania Bw.Jema Msuya . Benki ya Posta Tanzania ni moja ya waliodhamini mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana wahitimu wa elimu...

 

2 years ago

Michuzi

WADAU NCHINI WAASWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUSAIDIA KAMBI ZA WAZEE

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga imeziasa Taasisi binafsi, Makampuni, Asasi za Kiraia na watu binafsi kushirikiana na katika kutatua changamoto zinazokabili makazi ya wazee na watu wenye ulemavu nchini. 
Akiongea wakati alipotembelea Makazi ya kulea wazee na watu wenye ulemavu ya Kolandoto leo Mkoani Shinyanga Bi. Sihaba amesema kuwa ametembelea baadhi ya makazi hayo na kuona yanahitaji msaada mkubwa hasa ujenzi wa nyumba za malazi,...

 

1 year ago

Zanzibar 24

UNICEF yaahidi kushirikiana na SMZ kwamaendeleo nchini

Shirika la kimataifa linalo hudumia watoto ulimwengini UNICEF limesema kuwa litaendelea kutoa msada  katika nyanja za maji safi na salama ujenzi wavyoo mashuleni na kuimarisha familia  katika maeneo yote kisiwani pemba ikiwa pamoja na kisiwa kidogo cha kojani.

Hayo yameelezwa na Naibu Mwakilishi wa shirika la kuhudumia watoto ulimwenguni Unicef Tanzania Reniven Dongen katika ziara yake ya siku moja ilio anzia afisi ya Mkuu wa mkoa Kaskazini Pemba na kisha kuendelea katika kisiwa cha kojani...

 

11 months ago

Zanzibar 24

China yaahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Zanzibar

Serikali ya China imesema itaendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika shughuli mbalimbali za maendeleo ili kuhakikisha uchumi wa Zanzibar unaendelea kukua .

Akizungumza na waandishi wa habari  Ofisini kwake Mazizini kuhusinana na mkutano wa  kumi na tisa wa chama cha kikomunist cha China (CPC ) uliomalizika hivi karibuni, Balozi mdogo wa china hapa Zanzibar  Xie Xiaowu amesema kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya China na Tanzania maendeleo ya kiuchumi...

 

10 months ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUIMARISHA MIUNDOMBINUNa Ismail Ngayonga- MAELEZO
SERIKALI ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa la nchi hiyo (JICA) imesema itaendelea kuisadia miradi mikubwa ya maendeleo nchini ikiwemo barabara ili kuhakikisha kuwa Tanzania inapiga hatua kubwa katika kuwaletea maendeleo wananchi wake.
Hayo yamesemwa mwishoni wa wiki Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida wakati wa utoaji tuzo ya heshima ya Rais wa JICA kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROAD), Mhandisi...

 

2 years ago

Michuzi

Serikali Yaahidi kushirikiana na vyombo vya habari katika kujenga Tanzania ya Viwanda

Na: Genofeva Matemu – WHUSM
Serikali imeahidi kuendelea kutengeneza mazingira rafiki kwa kushirikiana na vyombo vya habari ili kwa pamoja kuweza kuhamasisha, kuunda na kujenga nchi ya viwanda katika kuunga mkono azma ya Rais Mhe. John Pombe Magufuli ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya Viwanda.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Mchezo Mhe. Nape Moses Nnauye alipokutana na wamiliki na watendaji waandamizi wa vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa...

 

1 year ago

Michuzi

Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wadau wa Soka Nchini Kujadili Namna ya Kuendeleza Mchezo Huo Hapa Nchini.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na baadhi ya Wadau wa mpira wa miguu kuhusu namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa mpira wa miguu nchini wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Rais wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani