Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na ukikua kwa asilima 7.1 ikilinganishwa na miaka miwili iliyopita. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na kuwa uchumi unaendelea kukua, serikali imeeleza kwamba washirika wa maendeleo wamekuwa wakisuasua kutoa fedha kwa ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CCM Blog

TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18

Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ofisi ndogo za Hazina jijini Dar es salaam, kuelea hali ya uchumi kwa kipindi cha mwaka 2017-2018 na changamoto zilizojitokeza.

IFUATAYO NDIYO TAARIFA YENYEWE

TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI  NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18

29 DESEMBA, 2017

UTANGULIZI

Nashukuru sana kupata fursa nyingine ya kuzungumza nanyi leo tunapokaribia mwisho wa mwaka 2017. Lengo la Serikali ni kuwapatia...

 

1 year ago

Malunde

TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18

UTANGULIZINashukuru sana kupata fursa nyingine ya kuzungumza nanyi leo tunapokaribia mwisho wa mwaka 2017. Lengo la Serikali ni kuwapatia Watanzania taarifa rasmi kuhusu (i) mwenendo wa uchumi wa Taifa kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2017 na kwa miezi ya hivi karibuni pale ambapo tunazo takwimu, (ii) utekelezaji wa bajeti ya Serikali 2017/18 hadi sasa, (iii) changamoto zilizopo mbele yetu na matarajio mpaka Juni 2018. Aidha, nitatoa ufafanuzi kwa lugha nyepesi katika baadhi ya maeneo...

 

3 years ago

Michuzi

1 year ago

VOASwahili

3 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Zifanyike tafiti halisi za hali ya uchumi nchini

Kumekuwa na viashiria vingi vya kuyumba kwa uchumi hapa nchini. Watu mbalimbali wamekuwa wakitafsiri hali hiyo wakihusisha na utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano tangu ilipoingia madarakani, mwishoni mwa mwaka jana.

 

5 years ago

Mwananchi

Lipumba: Hali ya uchumi ni mbaya, Serikali ichukue hatua

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa matatizo ya kiuchumi, kwa kuwa hali ilivyo sasa ni mbaya.

 

2 years ago

CCM Blog

KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI WA TAIFA

KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU MWENENDOWA HALI YA UCHUMI  WA TAIFA


UTANGULIZI


Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge Na. 49 (1 ) ya Kanuni za Bunge toleo la Januari mwaka 2016, naomba kuwasiisha taarifa kuhusu hali ya uchumi  wa Taifa, hususan mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi, ikiwemo ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, mwenendo wa sekta ya nje na akiba ya fedha za kigeni, mwenendo wa sekta ya fedha ikiwa pamoja na hali ya ukwasi na deni la Taifa.
Mheshimiwa Spika, Serikali...

 

2 years ago

Michuzi

KAULI YA SERIKALI BUNGENI DODOMA KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI WA TAIFA


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasilisha kauli ya Serikali kuhusu Mwenendo wa Hali ya Uchumi wa Taifa, Bungeni Mjini Dodoma.Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (Katikati) akitoka nje ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), kuwasilisha kauli ya Serikali kuhusu Mwenendo wa Hali ya Uchumi wa Taifa, Bungeni Mjini Dodoma.Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani