Serikali yaanza Kujenga Mitambo ya FM Kuimarisha Usikivu Redio ya Taifa

Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma
Serikali imeanza kutekeleza Mpango wa kujenga mitambo ya FM nchini kuimarisha usikivu maeneo mbalimbali ili wananchi waweze kupata matangazo kutoka redio yao ya Taifa (TBC).
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kyerwa Innocent Sebba Bilakwate kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, lililohoji ni lini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

Serikali Imeanza Kujenga Mitambo ya FM Kuimarisha Usikivu Redio ya Taifa


Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma
Serikali imeanza kutekeleza Mpango wa kujenga mitambo ya FM nchini kuimarisha usikivu maeneo mbalimbali ili wananchi waweze kupata matangazo kutoka redio yao ya Taifa (TBC).
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kyerwa Innocent Sebba Bilakwate kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, lililohoji ni lini...

 

2 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WILAYA 81 KUONGEZEWA USIKIVU WA REDIO YA TAIFA

Na: Lilian Lundo – MAELEZO.Zaidi ya Wilaya 81 ambazo zimekuwa hazipati usikivu wa redio ya Taifa nchini kuongezewa usikivu kwa mwaka wa fedha 2016/17 na kuendelea.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Nape Nnauye(Pichani) leo Mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nachingwea Mhe. Hasani Eliasi Masala juu ya kutokusikika redio ya Taifa katika jimbo lake.
Aidha Mhe. Nape amesema kuwa kutosikika kwa redio ya Taifa katika Wilaya hiyo kumetokana na uchakavu wa...

 

2 years ago

StarTV

Serikali kutumia Dola bilioni 30 kujenga mitambo ya usindikaji gesi:

Wizara ya Nishati na Madini inatarajia kutumia Dola za kimarekani bilioni 30 kujenga mitambo ya kusindika gesi na kuisafirisha kwenda kuiuza nchi za nje.

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesema mradi huo mkubwa ni wa tatu katika historia ya Tanzania na unatarajiwa kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi ili kuufikia uchumi wa kati.

Waziri  Muhongo akizungumza na wawekezaji wa kuchimba mafuta na gesi na  kuwataka kuhakikisha miradi yao inakwenda na kasi ya Serikali ya awamu ya...

 

2 years ago

Michuzi

Serikali yaahidi kuboresha usikivu wa shirika la utangazaji la taifa Mikoa ya pembezoni.

 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Zelote Stephen (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Mhe. Mathew Sedoyeka (kushoto) wakiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye baada ya kuwasili katika Mkoa wa Rukwa jana kuzungumza na wadau wa sekta anazosimamia.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelekezo kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kanda TBC nyanda za juu kusini Bw. Hosea Cheyo baada ya kukagua minara ya digitali ya kupitishia...

 

8 months ago

Michuzi

SERIKALI KUJENGA MABWAWA 10 YA KUOGELEA, TANZANIA YAANZA KWA VISHINDO

Waogeleaji kutoka nchi mbalimbali pamoja na Tanzania waki-dive katika mashindano ya Cana Kanda ya tatu yaliyoanza jana kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Hopac ya jijini.

Kocha wa timu ya Tanzania, Michael Livingstone akisimamia mazoezi ya timu ya Tanzania katika mashindano ya Cana Kanda ya tatu yaliyoanza jana kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Hopac ya jijini.

Na Mwandishi wetu
SERIKALI imeahidi kujenga mabwawa 10 ya kisasa ya kuogelea kwa ajili ya...

 

2 years ago

Michuzi

HUDUMA YA UPANDIKIZWAJI WA VIFAA VYA USIKIVU YAANZA RASMI NCHINI

Na Ally Daud-MAELEZOHUDUMA ya upandikizwaji wa vifaa vya usikivu kwa watoto imeanza kutolewa rasmi nchini  katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili  baada ya wataalamu wa huduma hiyo kurejea wakitokea mafunzoni nchini India ili kuweza kusaidia watanznia hususani watoto wenye matatizo ya kusikia .Akizindua huduma hiyo kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Uisubisya amesema kuwa  Huduma hiyo...

 

2 months ago

Michuzi

UNESCO YAWANOA MAFUNDI MITAMBO WA REDIO ZA JAMII 25

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limeanza kutoa mafunzo ya siku saba kwa mafundi mitambo wa radio za jamii 25 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo katika utendaji kazi wao.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Shirika hilo jijini Dar es salaam, mafunzo hayo yanagusa masuala yanayozunguka jamii namna ya kuyafanya kifanisi na kitaalamu ili kuweza kurusha matangazo yaliyomazuri kwa jamii ambayo yameanza Aprili 19...

 

2 years ago

Dewji Blog

Tanzania yapiga hatua Sekta ya Afya,Huduma ya upandikizwaji vifaa vya usikivu yaanza rasmi

HUDUMA ya upandikizwaji wa vifaa vya usikivu kwa watoto imeanza kutolewa rasmi nchini katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya wataalamu wa huduma hiyo kurejea wakitokea mafunzoni nchini India ili kuweza kusaidia watanznia hususani watoto wenye matatizo ya kusikia.

Akizindua huduma hiyo kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Uisubisya amesema kuwa Huduma hiyo imekua hadimu nchini hivyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani