Serikali yahofiwa kuburutwa ICC

KAULI za viongozi wa serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli kwa wananchi, zinaweza kusababisha kufikishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Anaandika Faki Sosi … (endelea). Hayo yameelezwa leo na Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mbele ya waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

Serikali Kijiji cha Makorora kuburutwa mahakamani

Wananchi wa Kata ya Makorora, Tarafa ya Magoma Wilayani Korogwe mkoani Tanga wanatarajia kuufikisha mahakamani uongozi wa Serikali ya kijiji baada ya kushindwa kuitisha mkutano wa wananchi na kuwasomea mapato na matumizi kwa zaidi ya miaka miwili.

 

4 years ago

Mwananchi

ATCL kuburutwa mahakamani

Waliokuwa wafanyakazi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kapteni Msami Mmari na Kapteni Suel Mjungu wamefungua madai ya kuomba kukazia hukumu katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Kazi, wakiomba kukamata na kuliuza jengo la ATC House ili wafidie malimbikizo yao ya mishahara.

 

3 years ago

Mwananchi

Bunge, Magereza kuburutwa kortini

Taasisi ya Bunge na Jeshi la Magereza mkoani Dodoma, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa madai ya kushindwa kuwalipa Sh850 milioni makandarasi wa ujenzi wa jengo la utawala.     

 

2 years ago

Mwananchi

Sakaya, wenzake kuburutwa kortini

Bodi ya wadhamini ya CUF imefungua kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Magdalena Sakaya, Thomas Malima na wenzao sita ikiomba itoe zuio la muda ili wasiweze kujihusisha na uongozi wa chama na kufanya mikutano.

 

3 years ago

BBCSwahili

Ubelgiji yahofiwa kushambuliwa

Ubelgiji imesitisha sherehe za kijadi za kuwasha fataki mjini Brussels katika mkesha wa mwaka mpya, kwa hofu ya shambulizi.

 

5 years ago

Habarileo

Mali yahofiwa kuvunja Taifa

Askofu Damian Dallu wa Kanisa Katoliki Jimbo la GeitaWATANZANIA wametakiwa kuwa makini na mali na rasilimali za nchi, ikiwemo gesi, mafuta, pembe za ndovu na dhahabu kwani zimeanza kuonesha dalili za kugawa Taifa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya Albino yahofiwa Malawi

Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International, limeonya kutokea kwa wimbi jipya la mauwaji dhidi ya Albino nchini Malawi.

 

4 years ago

StarTV

Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.

Na Ramadhan Mvungi,

Arusha.

 

Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.

 

Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.

 

Katika mdahalo uliofanyika jijini...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ajali ya boti yahofiwa kuua saba

BOTI ya Kilimanjaro II imekumbwa na dhoruba katika mkondo wa Nungwi ikitokea Pemba kwenda Unguja, na abiria saba wanahofiwa kufa. Dhoruba hiyo ilitokea jana mchana na boti hiyo ilielezwa kuwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani