Serikali yaipongeza Timu ya Taifa ya Vijana “Serengeti Boys” walimu na viongozi wao kwa ushindi wa magoli 2 –1 dhidi ya Angola


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

Dewji Blog

VIDEO: Magoli mawili ya Taifa Stars dhidi ya timu ya taifa ya Botswana

Mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki kati ya Tanzania iliyokuwa mwenyeji wa timu ya taifa ya Botswana umemalizika kwa Taifa Stars kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa bila.

Ushindi wa Tanzania umepatikana kupitia kwa nahodha wa timu hiyo anayekipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta ambaye amefunga magoli yote mawili katika dakika ya tatu na 87 ya mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

MO Dewji Blog imekumwekea video ya magoli yote ya Taifa Stars, waweza...

 

2 years ago

Bongo5

Taifa Stars wapata ushindi dhidi ya timu ya taifa ya Chad

samattachad

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars March 23 ilikuwa katika uwanja wa Idriss Mahamat kucheza na wenyeji wao timu ya taifa ya Chad katika muendelezo wa michezo ya makundi ya kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON) itakayochezwa mwaka 2017.

goalchad

Mbwana Samatta ambaye amevaa kitambaa cha unahodha kwa mara ya kwanza, amefunga goli hilo kipindi cha kwanza akimalizia kazi nzuri iliyofanywa na Farid Musa goli ambalo limedumu hadi dakika 90 za mchezo huo.

samattachad

Stars hadi sasa imefikisha...

 

1 year ago

Dewji Blog

VIDEO: Mourinho aanza kibarua kwa ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Wigan, magoli yote yapo hapa

Safari ya kibarua cha kocha mpya wa Manchester United, Jose Mourinho imeanza kwa mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya wa 2016/2017 dhidi ya Wigan Athletic kwa ushindi wa goli mbili kwa bila.

Magoli ya Man United katika mchezo huo yalifungwa Will Keane katika dakika ya 49 baada ya kipindi cha kwanza kushindwa kufungana na goli la pili likifungwa na Andreas Pereira katika dakika ya 58.

Mchezo huo pia uliwajumuisha wachezaji wapya wa Man United, kiungo Henrikh Mkhitaryan na beki Eric...

 

2 years ago

Michuzi

UN YAIPONGEZA TANZANIA KWA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA SERIKALI KUKABILI UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.
UMOJA wa Mataifa umepongeza mashirika mbalimbali na serikali ya Tanzania kwa kuchukua hatua kukabiliana na vitendo vya kikatili vya ukeketaji.Aidha imepongeza wito kutoka katika mashirika mbalimbali ya kutaka kuwapo na mabadiliko katika sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ili kuzuia ndoa za utotoni.
Katika taarifa iliyotolewa na ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Dar...

 

3 months ago

Michuzi

Serikali yaipongeza Tulia Trust kwa kusomesha vijana mafunzo ya Sanaa Bagamoyo

Serikali yaipongeza Tulia Trust kwa kusomesha vijana mafunzo ya Sanaa Bagamoyo Serikali kupitia Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo imepongeza juhudi za Taasisi ya Kijamii ya Tulia Trust kwa kuwezesha kusomesha vijana 20 masomo ya Sanaa na Utamaduni katika taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) huku akiziomba taasisi za wadau wengine kuiga mfano huo. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya masomo kwa vijana hao 20 waliodhaminiwa na Tulia Trust, Kaim Mkurugenzi Idara ya...

 

2 years ago

Channelten

Timu ya Taifa ya wanawake “Twiga Stars” imeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Timu ya Taifa ya wanawake ya Zimbabwe katika uwanja wa karume wa jijini Dar es salaam

 

twiga-star-by-mafoto

Timu ya Taifa ya wanawake “Twiga Stars” imeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Timu ya Taifa ya wanawake ya Zimbabwe katika uwanja wa karume wa jijini Dar es salaam,

Mchezo wa twiga stars dhidi ya Zimbabwe ambao ni wa kuwania kufuzu michuano ya Afrika itakayofanyika nchini Cameroun mwaka huu utachezwa machi 4 hapa jijini Dar es Salaam.

Chanel ten imefika uwanjani mapema leo na kushuhudia wachezaji wakifanya mazoezi kwa nguvu yakiwepo ya kuruka koni kwa ajili ya kujenga...

 

2 years ago

MillardAyo

Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz)

Baada ya wapinzani wao wa jadi FC Barcelona kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya River Plate ya Argentina katika fainali ya Klabu Bingwa Dunia, Real Madrid wameamishia hasira zao katika mchezo wa Ligi Kuu Hispania dhidi ya klabu ya Rayo Vallecano. Real Madrid walikuwa katika dimba lao la nyumbani la Santiago Bernabeu huku […]

The post Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia  Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa. Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...

 

2 years ago

MillardAyo

Real Madrid yaibuka na ushindi mnono dhidi ya Sevilla, Ronaldo kapiga shuti nane, magoli je? (+Video)

2882412_heroa

Burudani ya soka la Hispania liliendelea usiku wa March 20, kwa michezo kupigwa ndani ya ardhi ya Hispania, Real Madrid ambao bado hawana matumaini ya kutwaa Ubingwa wa Ligi hiyo kutokana na kuzidiwa point kumi na wapinzani wao wa jadi FC Barcelona, wamecheza dhidi ya Sevilla. Katika mchezo huo wa Real Madrid dhidi ya Sevilla katika […]

The post Real Madrid yaibuka na ushindi mnono dhidi ya Sevilla, Ronaldo kapiga shuti nane, magoli je? (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani