Serikali yakatusha tuhuma zilizochapishwa na Gazeti la Dira ya Mtanzania dhidi ya Balozi Sefue

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Serikali yalitaka Dira ya Mtanzania kukanusha tuhuma dhidi ya Balozi Ombeni Sefue

PIX 1

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw.Assah Mwambene (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizotolewa na Gazeti la Dira ya Mtanzania la tarehe 29/02/2016 kuhusu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Uratibu wa Vyombo Habari, Bw.Jamal Zuberi na Mkurugenzi Msaidizi Habari Bw.Vicent Tiganya wote kutoka Idara ya Habari (MAELEZO).

PIX 2
Pix 2:Baadhi ya waandishi wa habari...

 

3 years ago

Michuzi

IPTL YAKANUSHA TUHUMA ZA RUSHWA NA TAARIFA ZA UONGO ZILIZOCHAPISHWA NA GAZETI LA MWANAHALISI

Kaimu Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited Bwn. Joseph O. R. Makandege (katikati), akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa inayodiwa ni ya upotoshaji iliyochapishwa na gazeti la MwanaHALISI ikihusisha IPTL kutoa rushwa kwa viongozi waandamizi wa ikulu na watendaji waandamizi wengine serikalini. Kulia ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa IPTL Bw. Parthiban...

 

2 years ago

Michuzi

2 years ago

Bongo5

Serikali yalichimbwa mkwara mzito gazeti la Mtanzania

Kaimu Msajili wa Magazeti, Patrick Kipangula ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kutoa onyo kali kwa gazeti la Mtanzania baada ya siku za hivi karibuni kuandika habari zilizomhusu rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.

20160928_044555

Magazeti hayo yalibeba vichwa ‘Safari ya JK yazuiwa uwanja wa ndege ‘ na ‘Ukweli wa safari ya JK Uarabuni.’ Taarifa hiyo inadai kuwa huo ni udhalishaji kwa rais huyo mstaafu.

Hii ni taarifa yake:

1-e303a58c1a-1

Magazeti yenye nukuu hizo yalitolewa Novemba 20 mwaka 2016...

 

3 years ago

Mwananchi

Balozi Sefue: Hii ni Serikali ya mabadiliko

Baada ya kudumu Ikulu kwa takribani siku 127zikiwamo 67 tangu aongezewe muda wa mwaka moja akiwa na Serikali ya Awamu ya Tano, Balozi Ombeni Sefue ameshukuru heshima aliyopewa na Rais John Magufuli kwa muda wote aliomsaidia kutekeleza majukumu yake ya ukatibu mkuu kiongozi na kueleza kuwa  Serikali ya sasa ni ya mabadiliko.

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKANUSHA MADAI MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA GAZETI LA MTANZANIA KUHUSU KUJIUZULU KWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014.Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud akichangia mada wakati wa mkutano na waandishi wa habari Gazeti hilo.Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakifutailia kwa makini taarifa toka Balozi Seif Ali Idd. (Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma. 
MAKAMU wa...

 

3 years ago

MillardAyo

Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuhuma zilizotolewa na gazeti la ‘THE ECONOMIST’ la Uingereza

seri

Serikali imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotoka kila wiki lililodai kuwa Rais John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma. Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively” Akizungumza na waandishi […]

The post Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuhuma zilizotolewa na gazeti la ‘THE ECONOMIST’ la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani