SERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA

Na Hassan Mabuye, Wizara ya ArdhiSerikali yamaliza mgogoro wa mpaka kati ya mkoa wa Manyara na Tanga katika wilaya za Kiteto na Kilindi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi ambaye amesema moja ya sababu kubwa za kuwepo kwa mgogoro huo ni baadhi ya wapimaji mipaka waliokuwepo wakati huo kuhongwa na kupindisha mpaka.
Mgogoro huu uliwasilishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali yamaliza mgogoro Hifadhi ya Saadani


NA CHRISTOPHER LISSA
HATIMAYE serikali imeumaliza  rasmi mgogoro wa ardhi  uliodumu kwa kipindi kirefu  baina ya Wizara ya Maliasiali na Utalii  na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, unaohusisha eneo Hifadhi ya  Taifa ya Saadani.
Aidha  serikali  imeiagiza Halmashauri  ya Wilaya ya Bagamoyo , kukaa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  na wadau,  kurejea  mipaka ya zamani  ya eneo hilo, ili kuepusha mgongano usio na tija.
Mgogoro huo uliibuka mwaka  mwaka 2005,  baada ya serikali kuipandisha...

 

2 years ago

Channelten

Mgogoro wa Ardhi Manyara, Kamati ya ulinzi na Usalama yaingilia kati

jangwa-1024x562

Kamati ya ulinzi na usalama mkoani manyara imeingilia kati na kufanikiwa kuirejeshea eneo lenye ukubwa wa hekari 10 pamoja na kuijengea nyumba ya kudumu familia ya Pascalina Michael iishiyo eneo la ayalagaya wilayani babati ambalo limekuwa kwenye mgogoro kwa muda mrefu baina ya ndugu wa upande wa mwanaume wa familia hiyo pamoja na kutoa vitisho vya kuchomea nyumba na kuuwawa kwa wanafamili hao endapo wataendelea kubaki kwenye eneo hilo.

Familia hii iliyakimbia makazi yake kwa muda kutokana...

 

4 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA JUU YA MATUMIZI YA EFDs

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja wafanyabiashara alipotoa Taarifa ya muafaka uliofikiwa kati ya wafanyabiashara na serikali juu ya Matumizi ya Mashine za kielektroniki (EFDs) leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabishara Bw. Johnson Minja na Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mzee Benard Mchovu (Picha na Regnihaldah Mpete-TRA)
Na Anitha Jonas – MAELEZO.
Serikali yafikia muafaka...

 

3 years ago

Michuzi

Serikali yamaliza mgogoro wa timu ya soka ya Shinyanga Stand United

un2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hatua zilizofikia katika kutatiua mgogoro baina ya Timu ya Stand Unite ya mjini Shinyanga na kamati ya uendeshaji ya timu hiyo iliyopo chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHUSM.un1Baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya timu ya Stand United ya mjini Shinyanga wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Habaroi,...

 

3 years ago

Mtanzania

RC Shigella aingilia kati mgogoro wa umeya Tanga

11NA OSCAR ASSENGA, TANGA

WAZEE wa Jiji la Tanga wametakiwa kuwasihi madiwani kuondoa tofauti zao badala yake wajitafakari ili kuona uchungu wa maendeleo ya wananchi ambao waliwapa ridhaa wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka jana ili kumaliza mgogoro wa nafasi ya meya uliopo hivi sasa.

Ombi hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella juzi wakati akizungumza na wazee wa Manispaa ya Tanga kwa lengo la kujitambulisha kwao baada ya kuteuliwa na Rais Dk. John Magufuli...

 

3 years ago

Ippmedia

Waziri Mbarawa aingilia kati mgogoro wa mpaka wa uwanja wa ndege wa KIA na wananchi Hai.

Waziri Mbarawa aingilia kati mgogoro wa mpaka wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro KIA na wananchi wilayani Hai.

Day n Time: Jumamosi Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

Channelten

CUF imemtaka Waziri mkuu Majaliwa kuingilia kati mgogoro wa Umeya Tanga

Screen Shot 2016-04-07 at 3.13.07 PM

Chama cha wananchi CUF Kimemtaka Waziri Mkuu kassim Majaliwa kassim Kuingilia kati Mgogoro wa Umeya katika jiji la Tanga ambao umechukua takriban miezi minne sasa na Kuzorotesha mipango ya maendeleo ya wananchi katika jiji hilo.

Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Magdalena Sakaya akizungumza na waandishi wa habari jijini dsm amesema Ombi hilo la kuingilia kati Mgogoro huo linatokana na Kushindwa kwa Waziri wa Tamisemi kutatua mgogoro huo licha ya kuahidi kuupatia Ufumbuzi.

Amesema bila...

 

2 years ago

Michuzi

MGOGORO WA WAFUGAJI NA MWEKEZAJI WA SHAMBA LA MKONGE MARUNGU MKOANI TANGA WAONGILIWA KATI NA DC

 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa mkutano wa wananchi wa Kijiji cha Marungu ambao ni sehemu ya waathirka na mgogoro huo sambamba na muwekezaji wa shamba hilo na kusema kuwa makubaliano yaliyofikiwa baina ya serikali na wafugaji hao lazima yatekelezwe kwa wakati ili kuepusha vurugu za uvunjifu wa amani uliokuwa ukijitokeza mara kwa mara. Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga(DAS),Faidha Salim akizungumza katika mkutano huo Diwani wa Kata ya Marungu (CCM) Mohamed...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani