Serikali yapata gawio la Sh23 bilioni

Serikali imepata  Sh23 bilioni kama gawio la hisa zake ilizowekeza katika taasisi za fedha na kampuni za mafuta nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA SH. BILIONI 23 KUTOKA KAMPUNI ZA PUMA ENERGY, TIPER (T) na NMB BANK PLC

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea hundi kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,...

 

3 months ago

Michuzi

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 10.1 KUTOKA NMB

Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaBenki ya NMB imetoa gawio la Sh. bilioni 10.1 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 32 ya hisa za Benki hiyo baada ya kupata faida ya Sh. bilioni 94.8 baada ya kodi kwa mwaka 2017/2018.Tukio hilo la kukabidhi hundi kifani ya gawio hilo limefanyika Makao Makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dodoma, kati ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango, kwa niaba ya Serikali, na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ineke Bussemaker. Dkt. Mpango...

 

5 years ago

Dewji Blog

Tiper yaikabidhi Serikali gawio la zaidi ya shilingi bilioni 1

DIGITAL CAMERA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia).

Serikali imepokea shilingi bilioni moja kutoka TIPER ikiwa ni gawio...

 

2 years ago

Malunde

KAMPUNI YA PUMA YAKABIDHI GAWIO KWA SERIKALI SH. BILIONI 7Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania Limited, Dk. Ben Moshi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. bilioni 7 ikiwa ni gawio la serikali yenye hisa ya asilimia 50 katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma. Anayeshuhudia katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Philippe Corsalettti.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akimshukuru Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...

 

2 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YATOA GAWIO KWA SERIKALI SH. BILIONI 7

SERIKALI imekubali kulifanyia kazi ombi la Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy la kutaka taasisi za umma ziweze kununua mafuta ya kampuni hiyo yenye ubia wa asilimia 50 kwa 50 na Serikali ili faida inayopatikana itumike kwenye kutatua changamoto za Watanzania.
Kauli hiyo imetolewa Mjini Dodoma mapema leo baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Puma Dk Ben Moshi kutoa ombi hilo kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango wakati wa tukio la kampuni hiyo kutoa gawio la Sh bilioni 7...

 

1 year ago

Zanzibar 24

BoT yatoa gawio la Tsh bilioni 300 kwa Serikali

Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo Desemba imeidhinisha gawio la tsh bilioni 300 kwa Serikali iliyotokana na faida kwa mwaka wa fedha wa 2016/17.

Kiasi hicho cha fedha kinafanya gawio la miaka mitatu kuongezeka hadi kufikia bilioni 78o kuanzia kuanzia mwaka 2014/15 hadi 2016/17.

BoT mwaka jana 2015/16 ilitoa gawio la Tsh bilioni 300 ikiwa ni ongezeko la bilioni 12o kutoka mwaka juzi 2014/15 ambapo ilitoa gawio la bilioni 180.

Kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania...

 

3 years ago

Mwananchi

Baraza dogo la Dk Magufuli laokoa Sh23 bilioni

Uamuzi wa Rais John Magufuli kupunguza idadi ya mawaziri kutoka 55 waliokuwepo katika Serikali ya Awamu ya Nne hadi 34 aliowateua jana, ikiwa ni punguzo la mawaziri 21, kutaifanya Serikali yake kuokoa Sh22.9bilioni.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kampuni ya puma imetoa bilioni 4.5 kwa serikali kama gawio la ubia kwa mwaka 2015

IMG-20160609-WA0025

June 9 2016 kampuni ya puma energy imetoa gawio la shillingi billioni 4.5 kwa seriali kwa mwaka 2015 ikiwa ni gawio linalotokana na ubia wa asilimia uliopo kati ya kampuni hiyo na serikali. akikabidhi hundi hiyo mwenyekiti wa bodi ya puma Beni Moshi amesema>>>’kufikia mwisho wa mwaka ulioishia december 31 2015 kampuni ilitengeneza faida kabla […]

The post VIDEO: Kampuni ya puma imetoa bilioni 4.5 kwa serikali kama gawio la ubia kwa mwaka 2015 appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani