SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA SH. BILIONI 23 KUTOKA KAMPUNI ZA PUMA ENERGY, TIPER (T) na NMB BANK PLC

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea hundi kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,...

 

2 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YATOA GAWIO KWA SERIKALI SH. BILIONI 7

SERIKALI imekubali kulifanyia kazi ombi la Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy la kutaka taasisi za umma ziweze kununua mafuta ya kampuni hiyo yenye ubia wa asilimia 50 kwa 50 na Serikali ili faida inayopatikana itumike kwenye kutatua changamoto za Watanzania.
Kauli hiyo imetolewa Mjini Dodoma mapema leo baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Puma Dk Ben Moshi kutoa ombi hilo kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango wakati wa tukio la kampuni hiyo kutoa gawio la Sh bilioni 7...

 

2 years ago

Malunde

KAMPUNI YA PUMA YAKABIDHI GAWIO KWA SERIKALI SH. BILIONI 7Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania Limited, Dk. Ben Moshi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. bilioni 7 ikiwa ni gawio la serikali yenye hisa ya asilimia 50 katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma. Anayeshuhudia katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Philippe Corsalettti.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akimshukuru Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kampuni ya puma imetoa bilioni 4.5 kwa serikali kama gawio la ubia kwa mwaka 2015

IMG-20160609-WA0025

June 9 2016 kampuni ya puma energy imetoa gawio la shillingi billioni 4.5 kwa seriali kwa mwaka 2015 ikiwa ni gawio linalotokana na ubia wa asilimia uliopo kati ya kampuni hiyo na serikali. akikabidhi hundi hiyo mwenyekiti wa bodi ya puma Beni Moshi amesema>>>’kufikia mwisho wa mwaka ulioishia december 31 2015 kampuni ilitengeneza faida kabla […]

The post VIDEO: Kampuni ya puma imetoa bilioni 4.5 kwa serikali kama gawio la ubia kwa mwaka 2015 appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPATA MKOPO WENYE MASHARTI NAFUU WA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 300 KUTOKA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (afdb) NA SERIKALI YA KOREA

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (katikati) akiwa na Mawaziri wenzake kutoka nchi za Kenya, Uganda na Ethiopia (wengine hawako Pichani) wakionesha kwa waandishi wa habari (hawako pichani pia) nyaraka za makubaliano ya uteuzi wa mradi utakao fadhiliwa kwa pamoja kati ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Serikali ya Korea, wenye thamani ya dola Milioni 50 za Marekani sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 100.18 zitakazotumika kujenga njia ya usafirishaji umeme kwa njia...

 

4 years ago

Michuzi

NMB Yapata Faida shilingi bilioni 77

Mkurugenzi  Mtendaji  wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas.

 

4 years ago

GPL

NMB YAPATA FAIDA SHILINGI BILIONI 77‏

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB-Ineke Bussemaker akitangaza matokeo ya kifedha ya nusu mwaka mbele ya Waandishi wa Habari katika Ofisi Mpya za NMB Makao Makuu jana. NMB ilitanganza faida baada ya kodi ya shilingi bilioni 77 ikiwa zaidi ya faida ya mwaka jana kipindi hicho hicho ambayo ilikua shilingi bilioni 72/-. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB-Waziri Barnabas. ...

 

11 months ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 34 KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA KIUCHUMI WA KUWAIT

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma

Serikali ya Kuwait kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Kiuchumi wa Kuwait (Kuwait for Arab Economic Development Fund), na Serikali ya Tanzania zimetiliana saini rasimu ya mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa dola milioni 15.3, sawa na zaidi ya shilingi bilioni 34, kwa ajili ya mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika Bonde la Luiche, mkoani Kigoma, lenye ukubwa wa hekta 3,000.

Rasimu hiyo ya Mkataba imesainiwa na Kiongozi wa ujumbe wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Serikali yapata gawio la Sh23 bilioni

Serikali imepata  Sh23 bilioni kama gawio la hisa zake ilizowekeza katika taasisi za fedha na kampuni za mafuta nchini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani