Serikali Yashauriwa kutowapuuza wawekezaji wanaotoka China

Serikali  imeshauriwa kutowapuuza wawekezaji wanaotoka China na kuja kuwekeza badala yake wawatumie kama daraja la kuweza kufikia malengo ya kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani.
Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda,   alipokuwa katika ghafla ya uzinduzi wa  pombe kali aina ya Moutai ambayo kiwanda chake kipo China.
Alisema pamoja na uhusiano mzuri uliopo baina ya Tanzania na China, lakini bado wameamua kutafuta kila mbinu ili kuweza kushirikiana katika...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashauriwa kuwabana wawekezaji

 Ujumbe kutoka Tanzania ukiwa Chuo Kikuu cha Calgary katika jimbo la Alberta nchini Canada.Katika picha kutoka kushoto ni, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa saba), Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa tano), Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Ummy Mwalimu (wa sita). Wabunge, Richard Ndasa (wa nne), Deogratias Ntukamazina (wa tatu), Murtaza Mangungu  (wa pili) na Shafin Sumar (wa kwanza kushoto. Wengine (kulia) ni wataalam kutoka Wizara ya Nishati na...

 

2 years ago

Michuzi

Serikali Yawakaribisha wawekezaji kutoka China kuja kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ya madini nchini.

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki ametoa wito huo Novemba 16, 2017 Jijini Dar es Salaam alipokutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Wang Ke na ujumbe alioambatana nao Wizarani hapo kutoka kwenye Ubalozi huo ili kujadiliana masuala mbalimbali ya madini ikiwemo fursa za uwekezaji.
Waziri Kairuki alisema Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za madini na hivyo zipo fursa lukuki za uwekezaji ambazo zinaweza kutumiwa na kampuni za nchini China kwa manufaa ya pande zote...

 

4 years ago

Dewji Blog

Jamii yashauriwa kuendeleza miradi inayoanzishwa ili kuvutia wawekezaji

DSC04364

Dwani wa kata ya Ihanja (CCM) Ayubu Noah, akizungumza kwenye hafla ya kata hiyo ya Ihanja, kukabdhiwa  ili wauendeleze mradi wa ushiriki wa wanaume katika afya ya uzazi ni chanzo cha mabadiliko katika afya ya mama na mtoto.Kulia ni Afisa tathimini na ufuatiliaji TMEP, George Mutasingwa John na kushoto ni Afisa wa shirika la HAPA, Joseph Mnyambi.

Na Nathaniel  Limu, Ikungi

WAKAZI wa  vijijini tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoani Singida,wamehimizwa  kujenga utamaduni wa kuendeleza miradi...

 

5 years ago

Michuzi

Sekta binafsi yakaribisha wawekezaji wa China

  Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (kushoto) akielezea jambo kwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (katikati) na Mkurugenzi Mstaafu wa TIC na pia Balozi wa heshima wa Botswana hapa nchini, Eng. Emmanuel Ole Naiko wakati wa kongamano la pili la biashara kati ya Tanzania na China lililomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

 

1 year ago

Michuzi

KIGWANGALLA APOKEA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

Kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali kutafuta wawekezaji wa Kimataifa kwa ajili ya kuwekeza katika sekta utalii hapa nchini, Kampuni ya Kimataifa ya Tibet Dexin Financia Leasing kutoka nchini China imejitokeza kwa lengo la kuwekeza katika utoaji wa huduma za kitalii zenye ladha na mandhari ya Kichina.
Mwenyekiti wa Kampuni hiyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Tony, amesema kampuni hiyo imepanga kujenga hoteli za kitalii za kichina katika mji wa Karatu jijini Arusha na...

 

5 years ago

Mwananchi

EPZ Bagamoyo yawavutia wawekezaji kutoka China

Naibu Gavana wa Jimbo la Ji Lin China, ZhongCheng Sui amesema eneo la uwekezaji lililopo Kijiji cha Kerege wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ni kivutio cha wafanyabiashara wa nje.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kufunza ujasiriamali

ILI kuondoka na wimba la ukosefu wa ajiri kwa vijana, Serikali imeshauriwa kuingiza somo ya ujasiriamali katika mitaala yake katika ngazi za elimu ilitolewayo hapa nchini. Ushauri huo ulitolewa mwishoni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Iraq yashauriwa iunde serikali

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa aishauri Iraq ifanye haraka kuunda serikali ya pamoja

 

5 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kupunguza kodi

SERIKALI imeshauriwa kupunguza kodi katika huduma za usafiri wa anga ili watanzania wengi wamudu kuutumia usafiri huo katika shughuli zao za kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa jana na Meneja Mkuu wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani