SERIKALI YATAJA SASABU ZA WABUNGE WA VITI MAALUM KUTOSHIRIKI VIKAO VYA FEDHA

Serikali imesema wabunge wa Viti Maalum hawaingii katika vikao vya kamati za fedha za halmashauri wanazotoka kwa sababu ya kutotajwa kwenye sheria iliyoainishwa na kifungu cha 41(1) na kifungu cha 40 (2)cha kanuni za kudumu za Serikali za Mitaa.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Joseph Kakunda ameliambia Bunge leo Mei 16, 2018 kuwa kanuni za Serikali za Mitaa za mwaka 2014, zinafafanua mahitaji ya sheria za Serikali za Mitaa (Mamlaka ya wilaya) sura 287, kifungu cha 75 na sheria...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

UWT YAANZA VIKAO VYA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM KUPITIA CCM

JUMUIYA ya Umoja wa Wanawake Tanzania iliyo chini ya Chama Cha Mapinduzi CCM, imeanza vikao vya uteuzi wa wanaogombea ubunge viti maalum huko makao makuu ya CCM Dodoma. Mkutano huo unaongozwa na mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Sophia Simba. Pichani Baadhi ya Wapambe wa Wagombea kupitia Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) wakipita na mabango yenye picha za Wagombea wao nje ya ukumbi wa mikutano wa NEC Dodoma kabla ya kuanza mkutano wa uchaguziMwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM AIPONGEZA SERIKALI KWA KUFUNGUA VITUO VYA BENKI YA WANAWAKE MKOANI IRINGA

Na Ripota wa Globu ya Jamii, Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum Iringa Rose Tweve ameipongeza serikali kwa kuweza kufungua vituo vya benki wa wanawake mkoani humo na kutaka kupeleka huduma hiyo kwenye maeneo mengine kwani wanawake wameamua kujiwezesha kimaisha kwa kujihusisha na ujasiriamali.

Rose alisema hayo baada ya kujibiwa swali bungeni na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk Hamis Kigwangalla kuhusiana na kufungua kituo kwenye wilaya...

 

2 years ago

CCM Blog

WABUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA PWANI WASAIDIA UJENZI WA DARAJA

mgal1Wabunge Viti Maalum Mkoa wa Pwani Zaynab Matitu Vullu na Subira Khamis Mgalu wakikagua Ujenzi wa Daraja la Usimbe -Maparoni - Msala wilaya mpya ya Kibiti.
Wabunge Viti Maalum Mkoa wa Pwani Zaynab Matitu Vullu na Subira Khamis Mgalu wamefanya Ziara ya Kukagua Ujenzi wa Daraja la Usimbe -Maparoni - Msala lililopo Wilaya Mpya ya Kibiti na kukabidhi kiasi cha milioni moja 1.000.000/= huku shilingi milioni Nne na elfu Hamsini zikiwa zimeingizwa kwenye ...

 

3 years ago

Michuzi

NEC KUTEUA WABUNGE WA VITI MAALUM WALIOBAKI BAADA YA UCHAGUZI KIJITOUPELE

Na Lydia Churi-NEC
Tume ya Taifa ya uchaguzi imeamua kuwa  viti vitatu(3) vya wabunge wanawake wa Viti Maalum vilivyobaki uteuzi wake utafanyika mara baada ya kukamilika kwa uchaguzi katika jimbo la Kijitoupele Zanzibar.
Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kilichokutana Januari 14 na 15, 2016 kimefikia uamuzi huo kwa sababu ya kuahirishwa uchaguzi katika jimbo hilo. 
Kwa mujibu wa mgawanyo wa viti Maalum uliofanywa na Tume, kuna jumla ya viti maalum 113 ambavyo ni asilimia 40 ya wabunge wote...

 

2 years ago

Michuzi

Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF

Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi, CUF linaloongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba limewavua uanachama wabunge nane wa chama hicho kwa madai ya utovu wa nidhamu, yakiwemo kukisaliti chama hicho.
Mwenyekiti huyo wa CUF, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, amesema, baraza pia limewavua uanachama madiwani wawili wa viti maalumu mkoani Dar es Salaam kwa makosa kama hayo.
 Profesa Lipumba ametangaza uamuzi huo leo wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika makao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani