Serikali yatakiwa kuweka nafasi maalum za ajira kwa watu wenye ulemavu

Wizara ya nchi ofisi ya raisi Katiba , Sheria ,Umishi wa Uma na utawala a Bora imesisitizwa kuangalia kwa kina suala la nafasi ndogo za uajiri wanazopewa Watu wenye ulemavu katika taasisi za serikali ili waweze kujumuika katika shughuli za kuleta maendeleo Nchini.

Akichangia  hutuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2017 -2018 ya wizara hiyo mwakilishi wa nafsi za wanawake kupitia watu wenye ulemavu Zainab Adallah amesema mbali na osifi ya utumishi kuwa mstari wa mbele...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SERIKALI KUBORESHA MAKAZI YA WATU WENYE ULEMAVU NA WENYE MAHITAJI MAALUM

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe Dkt. Abdallah Possi akiwasilisha hoja za masuala ya Watu wenye Ulemavu wakati wa Mkutano wa Bunge wa kujadili Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/17 kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Antony Mavunde tarehe 25 Aprili, 2016. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Antony Mavunde akiwasilisha hoja zinazohusu masuala ya Kazi na Ajira wakati wa mkutano wa Bunge wa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Possi: Serikali kuboresha Makazi ya Watu wenye Ulemavu na wenye mahitaji maalum

Serikali imeahidi kuboresha Makazi ya watu wenye ulemavu na wenye mahitaji maalum ili kutatua changamoto wanazokabiliana nazo katika maisha yao ya kila siku.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt Abdallah Possi wakati akichangia hoja katika Mkutano wa Bunge wa kujadili Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/17 Bungeni mjini Dodoma.

Naibu Waziri aliwaeleza Wabunge umuhimu wa Serikali kuboresha makazi ya Watu wenye Ulemavu na wenye mahitaji...

 

2 years ago

Mtanzania

TBL KUTOA AJIRA KWA WATU WENYE ULEMAVU

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL Group, David Magesse.

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL Group, David Magesse.

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

 KAMPUNI ya TBL Group imeeleza dhamira yake ya kuendelea kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu ikiwamo kuwajengea mazingira rafiki sehemu za kazi badala ya kuwabagua na kuwafanya wakose kujiamini na kujiona si sehemu ya jamii.

Mkakati huo umeelezwa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL Group, David Magesse, alipokuwa anaeleza sababu za kuanzishwa kwa mkakati huo.

Alisema kampuni inao mtazamo wa kutoa...

 

5 months ago

Michuzi

KABATI ATOA MSAADA WA MAFUTA MAALUM YA KUPAKA KWA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI MKOA WA IRINGA


Na Fredy Mgunda,Iringa
JAMII imetakiwa kuwalea, kuwatunza na kuwajali watu wenye ulemavu wa ngozi albino kwa kuhakikisha kwamba wanaishi katika mazingira mazuri, yenye usalama na sio kuwanyanyapaa pale wanapohitaji mahitaji yao ya msingi.
Aidha Chama cha walemavu wa ngozi (TAS) mkoa wa Iringa kimeshauriwa kuendelea kushirikiana na serikali, ili walemavu hao pia waweze kupata elimu juu ya afya ya usalama wa ngozi pamoja na kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili katika maisha yao.
Hayo...

 

2 years ago

Michuzi

JAMII YATAKIWA KUHESHIMU HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU - DKT. POSSI

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Mhe. Dkt. Abdallah Possi ameitaka jamii kuzingatia haki na usawa kwa watu wenye ulemavu nakuondokana na imani potofu za kuona watu wenye ulemavu hawana uwezo wa kufanya shughuli za maendeleo.
Mhe. Possi ameyasema hayo kwa nyakati tofauti alipotembelea Vituo na Shule zinazohudumia watu wenye mahitaji maalum vya Nandanga, Rasi Bula, Shule ya msingi Nyangao mkoani Lindi pamoja na makazi ya wenye ulemavu na Ukoma ya...

 

5 months ago

Michuzi

SERIKALI KUBORESHA MAFUNZO KWA WATU WENYE ULEMAVU

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA
Serikali kwa kushirikiana na wadau imeendelea kuboresha Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi vya Watu wenye Ulemavu ili kuwawezesha kuajiriwa na kujiajiri na kupata ujuzi mbadala wa kumudu maisha yao.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Walemavu) Stella Ikupa leo Mjini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi Mhe. Oscar Mukasa lililohusu umuhimu wa kuwatazama vijana wenye ulemavu mbalimbali kwa namna ya kipekee.

Mhe. Ikupa...

 

3 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi laombwa kuweka ulinzi maalumu kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino)

 

Chama watu wenye ulemavu wa ngozi Albino Mkoa wa Tanga kimeliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi maalumu kwenye maeneo yenye walemavu hao kama sehemu ya kukabiliana na ukataji wa viungo na mauaji ya watu hao.

Kauli ya chama hicho imekuja baada ya mlemavu mwenzao wa ngozi Ester Maganga mkazi wa wilaya ya Lushoto kukatwa kidole chake cha mkono wa kusoto kwa imani za kishirikina.

Katibu wa chama cha Albino Mkoa wa Tanga, Mahmud Salekhe amesema kitendo cha Mwenzao Ester Maganga mkazi wa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Watu wenye ulemavu wameiyomba serikali kuzisimamia kwa umakini kesi zao

Watu wenye ulemavu wameiyomba serikali  kuzisimamia kwa umakini kesi zinazofikishwa Mahakamani ambazo zinawakabili kwani baadhi hazifikii mwisho katika kupatiwa maamuzi  nakupelekea  kukosa haki zao.

Wakizungumza na Zanzibar24 Sabra Zubeir Makame na Halima Juma Ali wamesema watu wenye ulemavu wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya udhalilishaji na kesi inapofikishwa mahakamani  hukosekana ushahidi  kutokana na  hushindwa kujielezea kulingana na ulemavu wao.

Akijibu malalamniko hayo Mrajis wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani