Serikali yatangaza msimamo wake kuhusu mafao ya waliokuwa na vyeti feki

Serikali imetangaza msimamo wake kwa watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki na wasiokuwa na vyeti vya kidato cha nne kwamba hawana madai yoyote serikalini.

Watumishi waliokosa sifa na vyeti feki, waliagizwa kujiondoa kwenye utumishi wa umma mwaka 2016 na Rais John Magufuli alitangaza kufanyika kwa uhakiki na takriban watumishi 10,000 walibainika.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean Ndumbaro, kwenye kikao cha Kazi cha kujadili...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

KUHUSU WENYE VYETI FEKI KULIPWA MAFAO TANZANIA

Watumishi waliobainika na vyeti feki, watalazimika kusubiri mafao yao hadi utaratibu wa kuwalipa utakapofanyika.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki alitoa kauli hiyo jana bungeni wakati akijibu swali la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Amina Mollel.
Amina alitaka kujua ni hatua gani zitachukuliwa ili kuwalipa mafao yao wafanyakazi waliobainika na vyeti feki.
Waziri Kairuki alisema, ofisi yake itaandaa utaratibu wa...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kauli ya serikali kuhusu wanaodai kusingiziwa vyeti feki

Baada ya serikali kutangaza majina ya watumishi wa Umma waliobainika kutumia vyeti feki vya taaluma, baadhi ya watu wameilalamikia serikali wakidai katika majina yaliyotolewa wapo watu   ambao wameorodheshwa kimakosa. Leo May 3, 2017 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki ametolea majibu bungeni Dodoma. Waziri Kairuki amesema…>>>‘Tumetoa nafasi kwa […]

The post VIDEO: Kauli ya serikali kuhusu wanaodai kusingiziwa vyeti feki appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ombi la TUCTA DSM kwa Serikali kuhusu wenye vyeti feki

Leo May 1, 2017 Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa sherehe hizo zimefanyika Kilimanjaro. Katika kuadhimisha siku hiyo, TUCTA Mkoa wa Dar es Salaam imetoa ombi kwa serikali kuhusu wafanyakazi walioghushi vyeti wakisema kuwa kuna wajibu wa kuwatetea watu hao. Akizungumza katika maadhimisho hayo Mwenyekiti wa TUCTA Dar […]

The post VIDEO: Ombi la TUCTA DSM kwa Serikali kuhusu wenye vyeti feki appeared first on millardayo.com.

 

11 months ago

Malunde

KUHUSU WALIOFUKUZWA KWA VYETI FEKI, WENYE VYETI VYA DARASA LA 7

HATIMA ya mafao ya wafanyakazi wa serikali walioondolewa kwenye ajira kutokana na kubainika kuwa na vyeti feki itajulikana kabla ya Bunge la Bajeti, imefahamika.

Hatua hiyo inatokana na serikali kujibu hoja nane za Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) na kwamba suala la kulipwa au kutolipwa haki zao litafahamika Machi au Aprili, mwaka huu.

Hoja zingine ni ajira ya waliomaliza darasa la saba, kupandishwa madaraja, madeni ya wafanyakazi, nyongeza za mishahara, kutofanyika vikao...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA MSIMAMO WAKE KUHUSU BENKI YA TWIGA BANCORP


MSAJILI wa Hazina Ndugu Lawrence Mafuru ametolea ufafanuzi taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari kuhusu msimamo wa Serikali kwa Benki ya Twigabancorp.
Taarifa hiyo ilieleweka vibaya kuhusu msimamo wa Serikali kwa benki hii ya Twiga Bancorp. Naomba nieleze kwamba kwa hivi sasa Serikali inasubiri mapendekezo ya kitaalamu yatakayowezesha kutatua changamoto za kimtaji za Twiga Bancorp. 
Ninaposema changamoto za kimtaji sijasema kwamba benki hiyi ipo kwenye hali mbaya ya kushindwa...

 

11 months ago

Michuzi

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

Na Anitha Jonas – WHUSM
Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia suala la uwekezaji kwa Klabu zilizoanzishwa na wanachama ambapo wanachama wanachukua 51% na mwekezaji anachukua 49%.
Msisitizo huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe alipokutana na uongozi wa Klabu ya Simba na kuzungumza nao kufuatia kutoa asilimia 50% kwa mwekezaji wa klabu hiyo Bw.Mohamed Dewji...

 

2 years ago

Bongo5

Serikali yatangaza kiama kwa waliogushi vyeti

Kiama cha walioghushi vyeti ama kutumia vyeti vya watu wengine kwa lengo la kujitafutia ajira serikalini, kinakaribia baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), kubainisha kuwa liko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhakiki wa vyeti vya watumishi hao.

fpu_grad_cert_x20

Akizungumza na gazeti la Habarileo kwa simu Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ofisa Habari wa Necta, John Nchimbi, alisema mpaka sasa maofisa wa baraza hilo waliosambazwa mikoani kufanya uhakiki huo, wengi wao wamerejea na wachache...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Meya DSM, Mkurugenzi wake walivyoathirika na operation ya vyeti feki

Hivi kariburi Rais JPM alikabidhiwa ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma ambapo ilibainika watumishi 9,932 walighushi vyeti ili kupata ajira katika ofisi za umma. Kutokana na ripoti hiyo ofisi kadhaa za umma katika jiji la Dar es Salaam zimekuwa zikishuhudia watumishi wakianza kuondoka. Ayo TV na millardayo.com imemtafuta Meya wa jiji la […]

The post VIDEO: Meya DSM, Mkurugenzi wake walivyoathirika na operation ya vyeti feki appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Global Publishers

Jeshi Linawasaka Walioeneza Uzushi Kuhusu Vyeti Feki vya Polisi

Msemaji-wa-Jeshi-la-Polisi-Advera-John-BulimbaMsemaji wa Jeshi la Polisi,  SSP-Advera John Bulimba.

Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi.

Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari ‘chujio Jesho la polisi, vyeti feki vyawaonndoa askari...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani