SERIKALI YATOA MAAGIZO KWA WAMILIKI WA VITUO VYA AFYA NA MAABARA BINAFSI

Wamiliki wa maabara na vituo vya afya nchini wametakiwa kutimiza wajibu wao mara moja bila shurti kabla ya Januari 15 2019 kwa kuhakikisha wanakamilisha vigezo vyote vya umiliki maabara hizo kwa kuwa muda wa kutoa elimu umepita na sasa ni muda wa kazi tu.

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Tiba wa Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto na Mkurugenzi wa bodi ya usajili wa maabara Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa hadi kufikia Septemba 2018...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

JK AFUNGUA MKUTANO WA WATOA HUDUMA ZA AFYA NA WAMILIKI WA VITUO VYA AFYA NA WATAALAMU WA AFYA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI DAR LEO

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi...

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI YATOA BIL. 1.4 KUBORESHA VITUO VYA AFYA RUANGWA


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 1.4 kwa ajili ya uboreshaji wa vituo vitatu vya afya katika wilaya Ruangwa mkoani Lindi.
Ameyasema hayo leo (Jumapili, Machi 04, 2018) wakati alipotembelea kata ya Mandawa kwa ajili ya kukagua mradi wa uboreshaji wa kituo cha afya cha kata hiyo.“Serikali imeamua kuimarisha sekta ya afya kwa kujenga na kuboresha vituo vya afya ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya karibu na makazi yao.”Waziri Mkuu amesema kati ya fedha...

 

1 year ago

Malunde

SERIKALI YATOA SH. BIL. 2.6 KUBORESHA VITUO VYA AFYA JIJINI MWANZA

SERIKALI imepeleka sh. bilioni 2.6 katika Jiji la Mwanza kwa ajili ya kugharamia uboreshaji wa vituo vya afya ili kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.

Hayo yalibainika jana (Jumanne, Februari 20, 2018) wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokagua na kuweka jiwe la msingi la kituo cha afya cha Karume.

Waziri Mkuu alikagua ukarabati wa kituo hicho kilichopo kwenye kata ya Bugogwa wilayani Ilemela akiwa katika siku ya sita ya ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza.

Alisema...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA MIEZI 3 KUONDOA MAKAZI YALIYOJENGWA KARIBU NA SHULE,VITUO VYA AFYA,MAENEO YA MASOKO

Na Bakari Issa Madjeshi,Globu ya Jamii
Serikali imeagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kusimamia zoezi la kuondoa makazi ya Watu waliojenga karibu na Shule za Msingi, Sekondari, Zahanati, Vituo vya Afya na Maeneo ya Masoko kwa kile kilichoelezwa kuwa ni usumbufu na kuondoa utulivu katika maeneo hayo.Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mhe. George Simbachawene (pichan) amesema katika maeneo hayo kuna uvamizi tofauti ikiwa ujenzi wa Nyumba za Kufanyia...

 

1 year ago

Michuzi

Serikali kutoa leseni kwa hospitali na vituo vya afya vya Umma vitakavyokidhi vigezo vya ubora

Na.WAMJW,Mtwara
Serikali inatarajia kutoa leseni kwa hospitali na vituo vya afya vya Umma vitakavyokidhi vigezo vya ubora wa kutoa huduma za afya ili mwananchi wajue kituo atakachoenda kina ubora gani wa huduma hivyo nchini
Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile wakati akiongea na Viongozi na Watendaji wa afya wa Mkoa na Wilaya zake kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara wakati wa zoezi la kutoa ngao kwa wilaya...

 

3 years ago

Michuzi

NMB yatoa neema kwa Hospitali na vituo vya Afya Nchini

Benki ya NMB leo imesaini makubaliano na shirika lisilo la kiserikali la STICHTING MEDICAL CREDIT FUND (MCF) la nchini Uholanzi kwaajili ya kutoa fursa za mikopo nafuu kwa hospitali, vituo vya Afya na maduka ya dawa nchini kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma bora na nafuu za afya nchini.
Mkopo huu utatolewa kwa hospitali za binafsi (zisizo za serikali) ambapo hospitali na vituo vya afya vitaweza kukopa kuanzia shilingi milioni 30 mpaka bilioni 2.
NMB inategemea kuwa fedha hizo...

 

3 years ago

Mwananchi

Vituo binafsi vya afya vinara utoaji mimba

Kahama. Baadhi ya vituo vya afya vinavyomilikiwa na watu binafsi vinadaiwa kutumika kutoa mimba badala ya kufanya kazi iliyokusudiwa.

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA UJENZI WA VITUO VIPYA VYA AFYA VINAVYOJENGWA KWA USHIRIKIANO WA SERIKALI YA ZANZIBAR NA UHOLANZI KUPITIA MRADI WA ORIO


Na Ramadhani Ali – Maelezo 
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendeleza dhamira yake ya kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya afya kwa kuimaisha huduma za afya na kujenga vituo vyenye hadhi vijijini.Dhamira hiyo inaendelea kutekelezwa kwa pamoja na wafadhili wa maendeleo wanaunga mkono juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kufikiaq malengo hayo.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo ameeleza hayo alipotembelea vituo vitatu vipya vya afya vya Kiboje, Kijini Matemwe na Chaani kubwa na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani