Serikali yatoa neno mechi Simba vs Yanga

KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga utakaochezwa Jumamosi ya wiki hii, serikali imetoa tahadhari kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhakikisha wanapanga waamuzi wazuri wenye maadili ya kutosha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

TBL YATOA JEZI KWA MECHI YA SIMBA NA YANGA DMV AUG 29, 2015 UWANJA WA KAPETI HYATTSVILLE

Rais wa DMV ndugu Iddi Sandaly akikabidhiwa jezi za Simba na Yanga na mmoja ya wafanyakazi wa TBL Tanzania tayari kwa mpambano unaosubiliwa kwa hamu wa Simba na Yanga DMV
Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 kwa mara ya kwanza DMV itafanyika pambano kabambe la Simba na Yanga katika uwanja wa Heurich turf field uliopo Hyattsville, Maryland nyuma ya Home Depot anuani ni 6001 Ager Rd, Hyattsville, MD 20781, Mpambano huo ni kwa wachezaji wa DMV tu

 

4 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

4 years ago

Vijimambo

2 years ago

Habarileo

Serikali Zanzibar yatoa neno timu ya baseball

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itakuwa karibu na wachezaji wa timu ya baseball ambayo inatarajiwa kushiriki mashindano ya shule za sekondari yanayotarajiwa kuanza keshokutwa Dar es Salaam.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Serikali yatoa neno suala la kutangaza nyongeza za mishahara hadharani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi kuwa suala la kutangaza nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma hadharani husababisha athari kwa jamii nzima na kwa wale ambao siyo watumishi.

Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwa bungeni kwenye kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge Suzani Lyimo aliyehoji ni kwa nini serikali ya awamu ya tano inakiuka sheria ya utumishi wa umma ya kutoa nyongeza kwa watumishi...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Serikali yatoa neno kuhusu kushambuliwa kwa afisa ubalozi wa Syria

Baada ya kuwepo kwa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu kushambuliwa kwa afisa wa ubalozi wa Syria nchini Tanzania na watu watatu wasiojulikana na kupigwa ikiwa pamoja na kuporwa pesa, simu na gari aliyokuwa akiitumia kwa shughuli za ubalozi.

Kufuatia taarifa hizo Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abasi amefunguka na kukiri kupata taarifa hizo na kudai kuwa serikali inafuatilia suala hilo na itatoa taarifa kamili kuhusu jambo hilo.

“Umma unaarifiwa kuwa vyombo vya...

 

2 years ago

Habarileo

Klabu ya Simba yaipa neno serikali

KLABU ya Simba imeishauri serikali kuvutia uwezekaji katika sekta ya michezo kwa kuwa ni kiwanda kikubwa ambacho kina uwezo wa kuzalisha ajira nyingi za vijana.

 

5 years ago

GPL

MECHI YA WABUNGE: YANGA 1, SIMBA 1

Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Ahmed Ngwali katika kipindi cha kwanza. Mfungaji wa bao la Yanga akishangilia. …

 

1 year ago

Malunde

MATOKEO YA MECHI YA SIMBA NA YANGA


Dakika 90 za mtanange wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara kati ya Simba na Yanga zimemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana goli 1-1

Simba wamejipatia goli kupitia kwa Shiza Ramadhan Kichuya dakika ya 55,huku Yanga wakisawazisha katika dakika ya 57 kupitia kwa Obrey Chirwa.

Mechi ya miamba hao miwili ya soka Tanzania, Simba na Yan­ga imefayika leo Jumamosi Oktoba 28,2017 katika Uwanja wa Uhu­ru jijini Dar es Salaam.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani