SERIKALI YATOA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MUHUNGO RWEYAMAMU


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 weeks ago

Michuzi

VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DR REGINALD MENGI KUTOA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA

 Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akitia saini katika kitabu cha Maombolezo ya Msiba wa Dk , Regnald Mengi nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole, akisaini kitabu cha Maombolezo wa msiba wa Dr. Reginald Mengi Kinondoni Jijini Dar es Salaam  Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa mmoja ya Wafiwa wa Msibani kwa Marehemu Dr. Reginald Mengi Waziri wa Mifugo...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AWAPA POLE FAMILIA YA RUBANI WA SERIKALI KAPTENI BOMANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amehudhuria msiba wa Rubani wa Ndege za Serikali, Marehemu Kapteni Dominic Bomani aliyefariki jana kwa ajali ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume . Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombelezo ya Rubani wa Ndege za Serikali Marehemu Kapteni Dominic Bomani nyumbani kwa marehemu Kinyerezi Kanisani. (Picha na Ofisi ya Makamu...

 

4 years ago

Tanzania Daima

JK atoa salamu za pole kwa wanahabari

RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku, wa kampuni ya New...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa IGP Mangu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: press@ikulu.go.tz

Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,

      IKULU,

 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa Nchini IGP Ernest Mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba...

 

4 years ago

Vijimambo

RAIS TFF ATUMA SALAMU ZA POLE KWA WAHANGA WA MAFURIKO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salaam za pole kwa wakazi wa Dar es salaam na hasa wale walioathirika na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam kwa siku ya tatu mfululizo sasa.

Katika salam zake kupitia kwa Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Mecky Sadik, Malinzi amesema familia zimepoteza makazi, miundombinu ya usafiri na michezo imeharibika na hata kuwa katika hali ya kutotumika, wanawake watoto, familia, shughuli za kiuchumi na kimichezo...

 

4 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Amtumia Kajala Salamu za Pole kwa Kuugua

Leo kupitia mtandaoni, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole  na kumtakia afya njema mwigizaji Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.

"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona na kuendelea na majukumu kama mama pole kajala pole masanjaaaaa pole sana" .

Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya kajala.

Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na mashabiki wote kukupa pole na kukuombea upone...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIPA POLE FAMILIA YA ALIYEKUWA RUBANI WA NDEGE ZA SERIKALI MAREHEMU DOMINIC BOMANI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa aliyekuwa rubani wa ndege za serikali, marehemu Dominic Bomani nyumbani kwa marehemu, Kinyerezi jijini Dar es salaam Februari 3, 2018.Bomani alifariki dunia katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea Zanzibar Feb. 1 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mmoja wa wanafamilia wa msiba wa aliyekuwa rubani wa ndege za serikali marehemu Dominic Bomani nyumbani kwa marehemu,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani