SERIKALI YATOA UFAFANUZI UJIO WA BOMBADIER

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Mwananchi

Serikali yatoa maelekezo ujio wa ndege ya Askofu Gwajima

Serikali kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imekana kuwa na taarifa ya ndege iliyonunuliwa na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima nchini Marekani.

 

3 years ago

Mwananchi

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Siku ya Uhuru

 Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu namna ya kuadhimisha siku ya Uhuru ya tarehe 9/12/2015 na kusema kuwa siku hiyo sio siku ya mapumziko.

 

2 years ago

Global Publishers

Serikali yatoa ufafanuzi udhalilishwaji wa Mtanzania India

Waziri Mahiga

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashiriki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga.

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashiriki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, ametolea ufafanuzi suala la wanafunzi wa Tanzania walioko nchini India, waliovamiwa na kujeruhiwa na msichana kudhalilishwa.

Waziri Mahiga ametoa ufafanuzi huo leo bungeni, na kuthibitisha ni kweli wanafunzi hao wamefanyiwa vitendo hivyo, ambavyo Watanzania walikuwa wanavisikia...

 

5 months ago

Michuzi

SERIKALI YATOA UFAFANUZI WA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI

Na:  WFM.
Serikali haijazuia matumizi ya fedha za kigeni nchini bali imechukua hatua ya kudhibiti matumizi ya fedha hizo ili kulinda thamani ya Shilingi ya Tanzania.

Hayo yalielezwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (MB) alipokutana na wawakilishi wa wafanyabiashara mkoani Arusha kujadiliana mambo mbalimbali kwa ajili ya kukuza sekta ya  biashara nchini. 
Amesema kuwa sheria haijazuia matumizi ya fedha za kigeni nchini lakini inasisitiza kuwa watu wanapaswa kutambua...

 

2 years ago

BBCSwahili

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu masomo maalum Tanzania

Waziri wa elimu wa Tanzania muhandisi Stellah Manyanya amezungumza na BBC kuhusu masomo maalum ya kujiunga na chuo kikuu

 

7 months ago

Zanzibar 24

Serikali yatoa ufafanuzi juu ya uingizwaji wa mifugo nchini

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imeripoti kuwa baadhi ya wanasiasa wanaishutumu Serikali ya Tanzania kufuatia hatua ya kukamata na kupiga mnada mifugo iliyoingizwa nchini bila kufuata sheria, hivyo serikali imeufahamisha umma kuwa uingizwaji wa mifugo na bidhaa zake nchini  huongozwa na sheria za nchi, makubaliano ya kikanda na kimataifa.

Soma taarifa kamili:

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa katika baadhi ya vyombo vya habari na kutoka kwa baadhi...

 

4 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3

Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.

Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo operation”, ikiwa na maana kuwa wanajeshi wastaafu wanadai kulipwa dola za Marekani milioni tatu kwa kushiriki operesheni ya siri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Inadaiwa katika habari hiyo kwa zaidi ya wanajeshi 400...

 

4 years ago

Michuzi

Serikali yatoa ufafanuzi malipo ya mishahara ya watumishi ya mwezi Julai

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai mwaka huu leo jijini Dar es salaam ambapo ameonya mamlaka husika ziwe na taarifa sahihi za idadi ya watumishi ili kuondoa makosa ya kulipa mishahara hewa, endapo kutatokea makosa ya ulipaji wa mishahara hewa watachukuliwa hatua za kisheria na kufikishwa mahakamani. (Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO)

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani