SERIKALI YATOA WITO KWA WALIMU WA MICHEZO MIPYA KUJITOKEZA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA MASUALA YA UWEKEZAJI

WATANZANIA wametakiwa kujitokeza katika masuala ya uwekezaji kwani fursa hiyo wanayo kama ilivyo kwa baadhi ya watu kutoka nje. Hayo yalisemwa na Ofisa Habari Idara ya Masoko, Waziri Ramadhani, wakati wa maonesho ya kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.Alisema hivyo kutokana na baadhi ya watu hapa nchini kudhani kuwa ili mtu awe muwekezaji ni lazima atoke nje ya nchi wakati sio kweli. “Nawaomba Watanzania wenzangu watambue kuwa wao pia ni...

 

4 years ago

Michuzi

SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea msaada wa hundi ya milioni kumi kutoka Zantel kwa ajili ya Chama cha Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) leo jijini Dar es Salaaam, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose (kushoto) pamoja na ...

 

2 years ago

Ippmedia

Serikali yatoa wito kwa wadau kuwasaidia waathirika wa tetemeko la Ardhi.

Day n Time: Jumanne Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

1 year ago

Malunde

News Alert!! SERIKALI YATOA AJIRA KWA WALIMU 3,081....ANGALIA HAPA MAJINA AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017

Serikali imesema jumla ya walimu 3,081 wakiwemo walimu 7 wa shule ya Sekondari Omumwani Kagera, wameajiriwa, hivyo bado kuna nafasi ya walimu 1.048 kati ya nafasi 4,129 za walimu wa Sayansi na Hisabati zilizotolewa kibali cha ajira.

Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene alipokuwa akizungumza na Waandishi Habari,ofsini kwake ambapo amewataka walimu wote walioajiriwa wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAMKO KWA WATUMISHI WA UMMA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA KABLA YA OKTOBA 31, 2016

Serikali imewataka watumishi wote nchini walioajiriwa na Serikali, yakiwemo mashirika ya Dini na Taasisi  nyingine ambazo haziko kwenye orodha ya malipo ya mishahara ya Serikali lakini zinapata ruzuku kutoka Serikalini; kuwa wamesajiliwa katika zoezi  la Vitambulisho vya Taifa kwa Watumishi wa Umma linaloendelea kote nchini, kufikia Oktoba 31, 2016.

Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah J. Kairuki (Mb)...

 

1 year ago

Channelten

Serikali yatoa maagizo kwa walimu na maafisa Elimu Geita

SERKALI Mkoani Geita imeagiza walimu na maofisa Elimu kata,tarafa na wilaya kubainisha shule zote ambazo zimefanya vibaya kwenye matokeo ya mitihani ya Kitaifa ya mwaka jana ili kuzipa misaada ya karibu ili nazo ziweze kufanya vizuri katika mitihani hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga ametoa kauli hiyo Ofisini kwake wakati akitoa pongezi kwa shule binafsi ya Taasisi ya Waja kwa kufanya vizuri sanana kwenye mitihani yao ya kitadoto cha pili na darasa la saba...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Serikali yatoa onyo kali kwa walimu wa Madrasa wataojihusihsa na vitendo vya Udhalilishaji

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  imesema haitafumbia macho vitendo vya udhalilishaji ambavyo vinahusishwa na baadhi ya  walimu wa madrasa  na badala yake itawachukulia hatua za kisheria watakao husika na vitendo hivyo.

Akizungumza katika Semina kwa walimu wa Madrasa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais katiba,sheria,utumishi wa umma na utawala bora Khamis Juma Mwalimu amesema kumezuka tatizo la walimu wa madrasa kujihusisha na vitendo  vya udhalilishaji kwa kuwalawiti na kuwadhalilisha...

 

2 years ago

Michuzi

Serikali yatoa wito wafanyabiashara wa Mauritius kuwekeza nchini

Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo akipokea maelekezo ya bidhaa kutoka kwa mwakilishi wa kampuni ya SLK Gold Taste wakati wa Mkutano na Maonyesho ya kibiashara ya kimataifa ya Mauritius jana Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi wa huduma za kibiashara wa Tantrade, Fidelis Mugenyi (kushoto) na Balozi wa heshima wa Mauritius, Abbas Rizvi. Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani