SERIKALI YAWAASA VIONGOZI WA DINI KUEPUKE MIGOGORO

SERIKALI imewaasa viongozi wa dini waeuepuke migogoro ya mara kwa mara katika Makanisa yao na badala yake waendelee kuwajenga waumini wao wakue kiroho na kujenga dhana ya umoja na upendo katika Taifa.
Pia imesema inawashukuru viongozi wa dini na madhehebu yote ya dini kwa kuendelea kuiombea nchi amani, mshikamano na utulivu, jambo ambalo linaongeza chachu kubwa kufikia mafanikio ya maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 20, 2018) na Waziri Mkuu Kassim...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuondoa migogoro ya ardhi

VIONGOZI wa dini wametakiwa kusaidiana na Serikali, kuondoa migogoro ya ardhi inayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema makanisa na misikiti itumike vizuri kutatua matatizo ya migogoro ya ardhi.

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE NA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI KUDUMISHA AMANI,UTULIVU NA UADILIFU NCHINI

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akionyesha tuzo yake mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),aliyotunukiwa kwa mchango wake mkubwa kwa shughuli mbalimbali za kijamii,katika tamasha la pasaka.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika tamasha la 15 la Pasaka lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex...

 

4 years ago

Dewji Blog

Membe atoa rai kwa viongozi wa dini zote pamoja serikali kuhimiza vijana waipende dini ili kudumisha amani, utulivu na uadilifu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG. Askofu David Mwasota wa Kanisa la Naioth Gospel Assembly akisoma hotuba amempongeza Mhe. Bernard Membe kwa kujumuika na Watanzania katika Tamasha la kumi na tano la...

 

2 years ago

Channelten

Waziri Mkuu aonya watumishi ataka wazee maarufu na viongozi wa dini washiriki kutatua migogoro ya ardhi Kiteto

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amewataka watumishi wa idara mbalimbali serikalini katika wilaya kiteto na tanzania kwa ujumla kushirikisha wananchi, viongozi wa kidini ,wazee maarufu katika maeneo husika katika kusaidia kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi katika maeneo yao ikiwemo migogoro ya ardhi .

Kassim Majaliwa ameyatoa hayo akiwa wilaya kiteto mkoa wa manyara wakati akizungumza na watumishi wa wilaya hii ya kiteto ambapo majaliwa yupo mkoani hapa katika ziara yake ya kikazi...

 

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI MHE. BERNARD MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE PAMOJA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri viongozi kusababisha migogoro

SERIKALI imekiri kuwapo kwa baadhi ya viongozi wa serikali ambao wamekuwa ni sehemu ya migogoro katika Wilaya ya Meatu. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa, alitoa kauli hiyo...

 

4 years ago

Habarileo

Serikali iwachunguze viongozi wa dini

Naibu Kadhi Mkuu Tanzania Bara, Sheke Abubakari ZuberiSERIKALI imetakiwa ichunguze viongozi wa madhehebu ya dini ya Kikristo na Kiislamu nchini, ili ijiridhishe na mienendo ya utume wao wa kuhubiri injili na sala kwa wananchi.

 

4 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini waionya Serikali

Siku chache baada ya vurugu kulikumba kongamano la kujadili mambo ya msingi katika Katiba Mpya lililofanyika katika Ukumbi wa Blue Pearl jijini na kuzuka kwa madai ya kupigwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Jaji Joseph Warioba viongozi wa dini wameonya kuwa kuna hatari ya nchi kuingia katika machafuko.

 

4 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini waaswa kuisaidia Serikali

MADHEHEBU ya dini mkoani Manyara yameombwa kuisaidia Serikali katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii hivi sasa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani