Serikali yawaonya wanaoshirikiana na OGP

Serikali imesema italivunja baraza la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ikiwa litaendelea kushirikiana na Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP) wa kimataifa ambao nchi imejitoa.

Onyo hilo lilitolewa bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni mstaafu George Mkuchika alipokuwa anajibu swali la nyongeza lililoelekezwa wizarani kwake na Zitto Kabwe.

Katika kujenga hoja yake, Mbunge huyo wa Kigoma...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

Na Mwandishi wetu.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeonya kwamba haitamvumilia mtendaji ye yote wa Serikali  au Taasisi zake za Umma atakayebainika anazorotesha ufanisi wa kazi pamoja na kuendeleza makundi katika sehemu za kazi.
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...

 

4 years ago

Habarileo

Serikali yawaonya makandarasi

SERIKALI imeonya makandarasi wenye tabia ya kuhonga watumishi wa Serikali ili wapatiwe zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali kuacha mara moja.

 

4 years ago

Mwananchi

Serikali yawaonya wavuvi haramu

>Serikali imewaonya wavuvi na kuwataka mara moja kuacha matumizi ya baruti kuvua samani.

 

2 years ago

Mtanzania

Serikali yawaonya wanaokeketa wasichana

ukeketajiNa TIMOTHY ITEMBE

SERIKALI imewaonywa wazee wa  mila na wakazi wa Wilaya ya Tarime kuwa yeyote atakaebainika kukeketa mtoto wa kike atachukuliwa hatua kali.

Hatua hizo ni pamoja na  kushtakiwa kwa kutenda ukatili ili liwe fundisho kwa wengine.

Onyo hilo lilitolewa  na Mkuu wa Wilaya Tarime mkoani Mara, Glorius Luoga wakati akifungua semina ya siku moja iliyoandaliwa na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF) kwa udhamini wa Shirika la  Faundation For Civil Socierty.

Luoga alisema kuendelea...

 

2 years ago

Mtanzania

SERIKALI MOSHI YAWAONYA WAVAMIZI

Na UPENDO MOSHA, MOSHI

Kippi WariobaSERIKALI wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, imewataka wananchi waliovamia  na kufanya shughuli mbalimbali za kibinadamu ikiwamo kilimo, ufugaji na kujenga nyumba za makazi katika maeneo ya  msitu wa kuzunguka  Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa), wahame.

Agizo hilo limetolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba,  wakati akizungumza na viongozi wa Vijiji vya Uri na Omarini, vilivyopo Kata ya Kibosho Kati wilayani hapa.

Kippi alikuwa akizungumza...

 

2 years ago

Mwananchi

Serikali yawaonya wakimbizi Katumba

Serikali imewaonya na kuwatahadharisha  raia wake wapya ambao awali walikuwa wakimbizi  wanaoishi  katika  makazi  ya  Katumba  wilayani Mpanda mkoani Katavi kuwa itawachukulia hatua za kisheria wale wote ambao wanaingiza silaha na kufanya  vitendo vya ujambazi na ujangili.

 

1 year ago

MwanaHALISI

Serikali yawaonya watumishi, madiwani

SERIKALI imewataka madiwani na watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea ikiwemo kukubali na kufunga hoja zinazohusu namna fedha za miradi zilivyotumika kitendo kinachosababisha washindwe kuzitolea ufafanuzi, anaandika Moses Mseti. Imesema hali hiyo imesababisha mambo mengi na ya msingi kushindwa kufanyika kwa wakati na kusababisha mkaguzi wa nje kuzikuta hoja zinazoelezea matumizi ya fedha kurundikana kuanzia ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani