Shahidi kesi ya Mbowe: Nilipigwa jiwe, nikazimia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya uchochezi, inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Leo tarehe 15 Mei 2019, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, upande wa Jamhuri umewasilisha shahidi wake wa tatu. Wakili wa Jamhuri kwenye kesi hiyo ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

MwanaHALISI

Shahidi:Sina mahaba na Mbowe

SHABANI Hassani  Shahidi kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameweka wazi kuwa hana mahaba na Freeman Mbowe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Freeman Mbowe mshitakiwa namba moja kwenye kesi hiyo ni mwenyekiti wa Chadema Taifa. Wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ni pamoja na Dk. Vincent ...

 

7 days ago

MwanaHALISI

Kibano: Shahidi Serikali Vs Mawakili wa Mbowe, wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu inaendele na usikilizwaji wa kesi namba 112, ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kwenye kesi hiyo watuhumiwa ni Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema-Taifa; Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema-Taifa; John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Chadema-Bara; Salum Mwalimu, Naibu ...

 

6 days ago

MwanaHALISI

Mbowe alishika mawe, kushambulia polisi – Shahidi

SHAHIDI wa upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amedai kuwa kiongozi huyo alibeba mawe ili kuwashambulia polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Shaban Khassan Abdallah, ameeleza kuwa, alimuona Mbowe na washitakiwa wengine tisa, wakiwa na mawe mkononi na marungu kwa lengo la kuwashambulia polisi. “Niliwaona wakiwa ...

 

2 years ago

Mwananchi

Shahidi akwamisha kesi ya Scorpion

 Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njetwe maarufu ‘’Scorpion’’  imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya upande wa mashtaka  kudai shahidi ambaye walimtegemea kuendelea kuulizwa maswali na wakili anayemtetea Scorpion, kuwa  bado ni mgonjwa.

 

6 days ago

MwanaHALISI

Shahidi ‘fundi magrili’ amng’ang’ania Mbowe, Matiko, Mdee kuhusika

LEO tarehe 14 Mei 2019, shahidi wa pili upande wa serikali kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ametoa ushahidi wake. Jopo la mawakili wa serikali linaongozwa na Faraja Nchimbi, Wankyo Simon na Paul Kadushi. Huku upande wa utetezi ukiongozwa na Profesa Abdallah Safari, Peter Kibala na John Malya. Shahidi wa pili ni Shabani ...

 

3 years ago

Habarileo

Shahidi akana miamala kesi ya bil. 7/-

SHAHIDI wa 17 katika kesi inayowakabili wafanyakazi 13 wa Benki ya Exim, tawi la Arusha, Abrahamu Shahidi (47), amesema hakufanya miamala ya fedha za kigeni katika benki hiyo wala malipo kwa ajili ya kupeleka watalii katika hifadhi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA).

 

2 years ago

Habarileo

Shahidi kesi ya Exim aendelea kuhojiwa

SHAHIDI wa 24 katika kesi ya wizi, kughushi na kutakatisha fedha zaidi ya Sh bilioni saba inayowakabili waliokuwa wafanyakazi 13 wa benki ya Exim, tawi la Arusha, Inspekta John Mwakalenga (40) ameendelea kuhojiwa na mawakili wa upande wa washitakiwa baada ya kuahirishwa wiki mbili zilizopita.

 

2 years ago

Habarileo

Shahidi amtaja Malinzi kesi ya rushwa

MASHAHIDI wawili katika kesi ya kushawishi kuomba rushwa ya Sh milioni 25, inayowakabili vigogo wawili wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wamesema walishauriana kurekodi sauti baada ya vigogo hao kuwaomba fedha ili kushawishi kusikiliza rufaa ya mchezaji Mohammed Jingu.

 

4 days ago

MwanaHALISI

Shahidi kesi ya Zitto amtaja Lissu

SHAHIDI wa tatu, Shabani Hamis (40) kwenye kesi  Na. 327/2018 ya uchochezi inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameieleza mahakama kwamba, tukio la kushambuliwa Tundu Lissu limefanya azidi kulichukia Jeshi la Polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, alishambulia ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani