Shamba la Yusuf Manji latiwa nguvuni na Serikali

Serikali imelifuta shamba la mfanyabiashara Yusuf Manji, lenye ukubwa wa eka 714, na waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema leo Jumatano kuwa, shamba hilo litapangiwa matumizi mengine. Lukuvi amesema shamba lingine la kampuni ya Amadori lenye ukubwa wa eka 5,400 pia limefutwa na kwasasa mashamba hayo yapo mikononi mwa Serikali na yatapangiwa matumizi mengine. Hivyo Lukuvi amewaonya wananchi kuto kuvamia maeneo hayo na endapo mtu akivamia  na kujenga...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Malunde

YUSUPH MANJI ANYANG'ANYWA SHAMBA NA SERIKALI

Serikali imelifuta shamba la mfanyabiashara Yusuf Manji, lenye ukubwa wa eka 714.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema leo Jumatano kuwa, shamba hilo litapangiwa matumizi mengine.

Lukuvi amesema shamba lingine la kampuni ya Amadori lenye ukubwa wa eka 5,400 pia limefutwa.

Waziri amesema mashamba hayo sasa yako mikononi mwa Serikali na yatapangiwa matumizi mengine.

Lukuvi amewaonya wananchi wasivamie maeneo hayo kwa kuwa watakaokamatwa watashitakiwa.

"Muyaache...

 

1 year ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Who is Yusuf Manji?


Tanzania: Who is Yusuf Manji?
AllAfrica.com
Cape Town — Yusuf Manji, is a name which has been trending in the Tanzanian news recently. Although he is well-known for his successful business life, right now it's happening for all the wrong reasons. A series of scandals led us to ask - who is this ...

 

3 years ago

Daily News

Dar disqualifies Yusuf Manji


Dar disqualifies Yusuf Manji
Daily News
CHAMA Cha Mapinduzi in Dar es Salaam region announced names of candidates for councillorship in its ten constituencies. The ruling party also disqualified two candidates -- businessman Mr Yusuf Manji and Mr Abuu Juma who was a long-serving ...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Yusuf Manji avuliwa udiwani

Mfanyabiashara Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu. Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Chaurembo amesema hayo leo Jumatano wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema kutokana na Yusuf  Manji kutoonekana katika vikao hivyo wameamua kumuondoa kwenye nafasi ya udiwani kwa kukosa sifa.

The post Yusuf Manji avuliwa udiwani appeared first...

 

9 months ago

MwanaHALISI

Makubwa ya Yusuf Manji mahakamani

DAWA zinazotumikia kwenye matibabu ya ugonjwa wa moyo wa mfanyabiashara, Yusuf Manji zimezua mjadala kwenye ushahidi wa kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Mbele ya Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha upande wa utetezi ulileta mashahidi wake. Shahidi wa kwanza alikuwa mtuhumiwa mwenyewe Manji na kufuatiwa na Wakili wa utetezi. Wakili wa ...

 

3 years ago

Michuzi

2 years ago

Mwananchi

Mali za Yusuf Manji hatarini kukamatwa

Siku moja baada ya mfanyabiashara Yusuf Manji kuhama kwenye jengo la Quality Plaza, uongozi wa kampuni ya udalali ya Yono umesema kinachosubiriwa ni mfanyabiashara huyo kulipa deni au kukamatwa kwa mali zake.

 

1 year ago

Global Publishers

Yusuf Manji Apelekwa Hospitali na Ambulance

DAR ES SALAM: Mfanyabiashara Yusuf Manji ametolewa kwenye Kituo Kikuu cha Polisi muda mfupi uliopita na kupandishwa kwenye gari la wagonjwa ambalo lilipita Barabara ya Sokoine kuelekea Posta Mpya.

Mwanahabari aliyekuwa eneo hilo ameshuhudia Manji akipanda gari hilo la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) lakini hawakufahamu mara moja alikoelekea.

Manji alikuwa amevaa fulana, suruali na viatu vya wazi vyote vya rangi nyeusi.

Save

The post Yusuf Manji Apelekwa Hospitali...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani