Shambulizi la al-Shabaab laua watu 18

Magari mawili yenye mabomu yameripuka katika mji mkuu wa Somalia Ijumaa na kuuwa watu 18 na wengine 20 kujeruhiwa, idara ya huduma za ambulance imesema.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Shambulizi sokoni Gaza laua watu 15

Shambulizi la majeshi ya Israeli kwenye soko moja huko Gaza limewaua watu 15.

 

3 years ago

BBCSwahili

Shambulizi laua watu kadha Kabul

Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani anasema kuwa watu kadha wameuawa kwenye shambulizi la kujitoa mhanga mjini Kabul.

 

2 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la bomu laua watu 10 Mogadishu

Polisi kwenye mji mkuu wa Somali Mogadishu wanasema kuwa bomu la kutegwa ndani ya gari limelipuka kwenye mtaa mmoja wenye shughuli nyingi karibu na mgahawa mmoja.

 

1 year ago

VOASwahili

Shambulizi la bomu laua watu 8 Burundi

Afisa wa Serikali ya Burundi amesema watu wanane wameuawa katika shambulizi la bomu la mkono lililotupwa ndani ya baa katika eneo la kijijini la nchi hiyo upande wa kaskazini.

 

2 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la anga laua watu 25 Idip Syria

Wanaharakati nchini Syria wanasema shambulizi la anga limegonga jengo lililokuwa likitumiwa na waasi wa kundi la jihadi kaskazini mwa jimbo la Idlip na kuuwa watu ishirini na tano.

 

1 year ago

VOASwahili

Shambulizi la kigaidi laua watu wanne Kenya

Bomu lililokuwa limetengenezwa kienyeji limeua watu wanne waliokuwa wanasafiri kwenye gari la abiria kaskazini ya Kenya katika kile kilichoelezwa kuwa inadhaniwa ni shambulizi la kigaidi,

 

2 years ago

Channelten

Watu 10 wauawa kwenye shambulizi la Al Shabaab kusini mwa Somalia

sd

Watu 10 wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kwenye shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa kundi la Al Shabaab kusini mwa Somalia.

Mkuu wa Wilaya ya Barawe Bw Aden Omar Madobe amesema wapiganaji watatu, wanajeshi wanne wa serikali na raia watatu ndio waliouawa kwenye shambulizi hilo. Bw Madobe amesema kundi la Al Shabaab halijaweza kutwaa udhibiti wa wilaya hiyo, lakini amesema lilijipanga vizuri kwenye shambulizi lao.

Shambulizi hilo limetokea wakati Somalia inaendelea kukumbwa na...

 

4 years ago

BBCSwahili

Shambulizi laua 45 Nigeria

Wanawake na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani