Sharti la Pep Guardiola kwa Toure kama anataka kuichezea Man City

during the pre season friendly match between Bayern Muenchen and Manchester City F.C at the Allianz Arena on July 20, 2016 in Munich, Germany.

Septemba 20 2016 kocha wa Man City ya England Pep Guardiola ameweka wazi kwa nini hamchezeshi kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast Yaya Toure, kocha huyo ambaye amejiunga msimu huu akitokea Bayern Munich ameandamwa na maneno kuhusiana na kuonesha dalili za kutomuhitaji nyota huyo. Guardiola ametoa kauli katika vyombo vya habari kuwa Yaya Toure hawezi […]

The post Sharti la Pep Guardiola kwa Toure kama anataka kuichezea Man City appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBC

Man City: Pep Guardiola v Yaya Toure's agent - Who said what?

Watch the war of words between Manchester City boss Pep Guardiola and Yaya Toure's agent Dimitri Seluk.

 

2 years ago

MillardAyo

Majibu ya wakala wa Toure kuhusu sharti la Pep Guardiola

dimitri-seluk-representante-toure-yaya-1452418458342

Septemba 20 2016 jina la kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea Man City Yaya Toure amerudi kwenye headlines baada ya kutangaza kustaafu timu ya taifa, lakini kubwa linalofanya jina lake liandikwe sana leo ni pamoja na mabishano ya wakala wake Dimitri Seluk na kocha Pep Guardiola. Guardiola alianza kuongea leo kwenye vyombo vya habari […]

The post Majibu ya wakala wa Toure kuhusu sharti la Pep Guardiola appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

BBC

Pep Guardiola: Man City boss awaits Yaya Toure agent's apology

Manchester City manager Pep Guardiola wants to recall midfielder Yaya Toure into his side but is still waiting for an apology from the player's agent.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Liverpool wamefunga mwaka kwa kuiadhibu Man City ya Pep Guardiola

3bbcef5400000578-4078642-image-a-62_1483206274329

Baada ya shauku na presha za mashabiki wa soka waliyokuwa wanasubiria kwa hamu mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Englnd kwa mwaka 2016 kuchezwa, usiku wa December 31 mchezo huo uliyokuwa unazikutanisha timu za Liverpool aliyekuwa nyumbani dhidi ya Man City ndio ulichezwa. Liverpool wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani Anfield na kocha wao Jurgen […]

The post VIDEO: Liverpool wamefunga mwaka kwa kuiadhibu Man City ya Pep Guardiola appeared first on millardayo.com.

 

3 months ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Liverpool huenda ndio bora zaidi duniani kwa sasa, asema mkufunzi wa Man City

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kwamba Liverpool huenda ''ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa''

 

2 years ago

BBCSwahili

Guardiola: Man City sharti tufunge mabao mengi Monaco

Manchester City "wataondolewa" kwenye michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya iwapo hawatafunga katika mechi ya marudiano hatua ya 16 bora dhidi ya Monaco.

 

3 years ago

MillardAyo

CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City

Dejecha

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, February 1 ameingia kwenye headlines baada ya muda mrefu kuthibitisha kuwa ataondoka FC Bayern Munich lakini hakuwa ameweka wazi klabu gani atanenda kujiunga nayo. February 1 ikiwa zimesalia saa kadhaa kabla ya […]

The post CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City

Leroy-Sane

Bado headlines za usajili barani Ulaya zinazidi kuchukua nafasi kila kukicha, leo August 2 2016 klabu ya Man City ya England imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji ambaye pia ana uwezo wa kucheza nafasi ya winga Leroy Sane kutoka Schalke 04. Man City wanaofundishwa na kocha wao Pep Gurdiola wamethibitisha kumsajili Leroy Sane kutoka Schalke 04 […]

The post DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Kama Guardiola akijiunga na Man City, kocha wa Man City Manuel Pellegrini anatajwa kuamua hivi …

Ni siku kadhaa zimepita toka kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola atangaze kuwa hatoendelea kuifundisha FC Bayern Munich, baada ya msimu kumalizika, bali ataendelea kutafuta changamoto mpya sehemu nyingine ila sana ana husishwa kwenda kujiunga na klabu ya Man City ya Uingereza, kwani ndio nchi ambayo ana mpango wa kwenda […]

The post Kama Guardiola akijiunga na Man City, kocha wa Man City Manuel Pellegrini anatajwa kuamua hivi … appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani