Sheikh Ponda kimenuka, apewa siku tatu kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda kujisalimisha mikononi mwa Polisi ndani ya siku tatu kuanzia leo, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema Sheikh Ponda ametenda makosa ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Channelten

Jeshi la Polisi kanda Maalum Dsm limetoa siku tatu Sheikh Ponda Issa Ponda kujisalimisha Polisi

b2

Jeshi la Polisi kanda Maalum Dsm limetoa siku tatu kwa katibu wa kutetea haki za waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda kujisalimisha Polisi kanda Maalum ili ahojiwe kwa tuhuma za kutoa lugha za Uchochezi wakati akizungumza na waandishi wa habari jana.

Kamanda wa Polisi kanda Maalum dsm Lazaro mambosasa akizungumza na waandishi wa habari jijini dsm amesema wanamtafuta sheikh Ponda kumhoji kutokana na kauli zake wanazodai za Uchochezi ambapo jana katika hotel ya Iris polisi walishindwa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Sheikh Ponda apewa siku 3 kujisalimisha kwa polisi Tanzania

Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamempatia katibu mkuu wa baraza la mashirika ya kiislamu siku tatu kujisalimisha kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi

 

11 months ago

Zanzibar 24

Shekh Ponda apewa siku 3 zakujisalimisha kwa Polisi

Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamempatia katibu mkuu wa baraza la mashirika ya kiislamu siku tatu kujisalimisha kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi yake, afisa mkuu wa polisi anayesimamia maeneo maalum bwana Lazaro Mambosasa amesema kuwa Sheikh Ponda alifanya makosa hayo siku ya Jumatano wakati wa mkutano na wanahabari .

The Citizen limenukuu kamanda huyo wa polisi akisema kuwa...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Mkutano wa Sheikh Ponda wavamiwa na Polisi

Jeshi la Polisi limevamia na kuzuia mkutano wa Sheikh Issa Ponda uliokuwa amepangwa kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la kushambuliwa kwa risasi, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, mara baada ya Sheikh Ponda kurejea kutoka Nairobi ambako alikutana na kuzungumza na Lissu.

Mkutano huo ulikuwa umepangwa kufanyika katika Hoteli ya Iris, iliyopo eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro...

 

11 months ago

Malunde

SHEIKH PONDA AACHIWA POLISI KWA DHAMANA

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemwachia kwa dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda.
Pondà ameachiwa leo Jumamosi jioni baada ya kushikiliwa na Jeshi hilo tangu jana Ijumaa asubuni akituhimiwa kutoa lugha za kichochezi katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumatano iliyopita.
Msemaji wa Jumuiya hiyo, Sheikh Rajabu Katimba amesema: "Sheikh Ponda ameachiwa kwa dhamana na atatakiwa kuripoti tena polisi."
Awali, Kamanda wa Kanda...

 

11 months ago

MwanaHALISI

Sheikh Ponda atii sheria bila shuruti, ajisalimisha Polisi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania amethibitisha kuwa anaheshimu mamlaka na sheria kutokana kutii wito wa Jeshi la Polisi, anaandika Faki Sosi. Sheikh Ponda amewasili Kituo kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam majira ya saa nne asubuhi. Wito huo ulitolewa Jana na Kamanda wa Polisi Kanda ...

 

11 months ago

BBCSwahili

Sheikh Ponda ajisalimisha katika kituo cha polisi Tanzania

Katibu mkuu wa baraza la mashirika ya kiislamu nchini Tanzania Sheikh Issa Ponda amejisalimisha katika kituo cha polisi cha Central

 

11 months ago

Zanzibar 24

Sheikh Ponda afunguka sababu ya nyumba yake kupekuliwa na Polisi

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye alishikiliwa na polisi kwa takribani siku mbili ametoa sababu ya kupekuliwa nyumbani kwake Ubungo Kibangu na polisi hao, kuwa ni kutafutwa kwa nyaraka za uchochezi.

”Kuhusu upekuzi uliofanyika nyumbani kwangu Ubungo – Kibangu, polisi walidai wanatafuta kama kuna nyaraka zozote za uchochezi, lakini hawakuzikuta”. Amesema Sheikh Ponda

Sheikh Ponda alishikiliwa na polisi kutokana na kuzungumza na waandishi wa...

 

2 years ago

Habarileo

Mbatia apewa siku tatu ajiuzulu

MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amepewa siku tatu na mwanachama wa chama hicho akitakiwa kujiuzulu mwenyewe wadhifa huo ndani ya chama kwa madai ya kupora mali za chama na kujimilikisha.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani