SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZAFANA ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar Dk.  Ali Mohamed Shein akiingia Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar kuongoza Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar Dk.  Ali Mohamed Shein akikagua gwaride katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar alipongoza Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar Dk.  Ali Mohamed Shein akipokea salam za heshima za gwaride katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar alipoongoza Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Ippmedia

Sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zafana.

Day n Time: Alhamisi Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

4 years ago

Dewji Blog

Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi zafana Uwanja wa Taifa

D92A1902

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa anaingi uwanja wa Uhuru leo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Pembeni ni Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.

D92A2008

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

D92A2053

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

 

3 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Mapinduzi zafana visiwani Zanzibar

IMGS8363

Rais wa Zanzibar Dkt, Ali Mohammed Shein akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Aman akiwa mgeni Rasmi katika sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS8433

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohaed Shein akaikagua gwaride katika sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12,2016.

IMGS8790

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia katika sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amani mjini...

 

5 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo Januari 12, 2014.
Vijana wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha…

 

4 years ago

GPL

RAIS DK KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein.…

 

2 years ago

Dewji Blog

Sherehe za miaka 71 ya UN zafana visiwani Zanzibar (Picha)

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akitoa salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, wakati wa maadhimisho ya miaka 71 ya UN waliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.Waziri Vijana Uwezeshaji Wanawake na Watoto Mhe. Moudline Castico akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 71 ya Umoja wa Mataifa akimuwakilisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe,...

 

3 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 51 ya Muungano zafana jijini Dar es salaam leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo  kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akienelea kuwapungia mkono kwa furaha kuwasalimia wananchi Rais wa Zanzibar Dkt...

 

4 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM ZAFANA SANA MJINI SONGEA LEO


Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya MrishoKikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais JakayaMrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha shereheza kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCMMwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Hotuba ya Rais wa Zanzibar katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan;

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

 

Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa;

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

 

Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi;

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar,

 

Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi;

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

wa Awamu  ya Pili,

 

Mheshimiwa  Benjamin Wiliam Mkapa;

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

wa Awamu  ya Tatu,

 

Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete;

Rais Mstaafu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani