Sheria kali yawekwa kwa watakaotoa mimba Jimbo Georgia

Jimbo la Georgia lapitisha sheria kali ya utoaji mimba kuanza kutumika mwaka 2020

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

Watanzania wa jimbo la Georgia na Alabama wakutana kwa hafla ya nyama choma Atlanta, GA

DJ. Dullah akiburudisha wakati wa nyama choma hiyo.Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI

 

2 years ago

VOASwahili

Jimbo la Georgia lafanya uchaguzi maalum Marekani

Wapiga kura wa jimbo la kusini mwa Marekani, Georgia, wanachaguwa muwakilishi wao katika uchaguzi maalumu wa baraza la wawakilishi Jumanne.

 

1 year ago

The Telegraph

Georgia Baptists to encourage evangelism and mission at Middle Georgia conference


The Telegraph
Georgia Baptists to encourage evangelism and mission at Middle Georgia conference
The Telegraph
The Georgia Baptist Mission Board is inviting pastors and church leaders to attend a free evangelism conference Jan. 29-30 in Warner Robins. Organizers said the gathering will feature speakers experienced in practical matters congregations face as they ...

 

2 years ago

Malunde

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AWAPA ONYO KALI WANAOPINGA KAULI YA RAIS KUHUSU MIMBA KWA WANAFUNZI

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amezionya taasisi zisizo za Serikali zinazohamasisha kudai haki ya mtoto anayepata mimba kurejeshwa shuleni kuacha mara moja na zikiendelea atazifutia usajili.

Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumapili wakati alipomwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Parokia ya Kisasa Mjini hapa.

Amesema Serikali haitaomba ushauri wala maoni kwa sababu maelezo yaliyotolewa na Rais, John Magufuli ni maagizo ya Serikali.

Waziri huyo...

 

5 years ago

Mwananchi

Zitungwe sheria kali kwa wapora ardhi

Niliwahi kuandika katika moja ya makala zangu kuhusu Serikali kukosa mwarobaini wa migogoro ya ardhi nchini.

 

3 years ago

Mtanzania

Sheria ya mimba kwa wanafunzi ifunzwe kwa wote

Said Meck Sadiki

Said Meck Sadiki

TANGU wiki iliyopita kumekuwapo na habari kuhusu uzembe katika kushughulikia wale wanaowapa mimba wanafunzi na kuwafanya wanafunzi hao wasiendelee na masomo.

Kwa mfano, iliripotiwa kuwa wanafunzi 238 wa shule za msingi na sekondari mkoani Kilimanjaro wamekatisha masomo baada ya kubainika kuwa ni wajauzito tangu Januari hadi Agosti, mwaka huu. Idadi hii ni kwa mkoa mmoja tu kwa muda wa miezi minane tu!

Serikali mkoani humo imeliagiza jeshi la polisi kuacha kufanyakazi kwa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Sheria kali kutungwa kwa watakaomaliza kesi za udhalilishaji kienyeji

 

WARATIBU wa wanawake na watoto wa shehia sita za wilaya ya Wete kisiwani Pemba, wamezitaka mamla husika kutunga sheria kali, itakayowaandama wazazi na walezi wenye tabia ya kuzimaliza kienyeji, kesi za udhalilishaji zikiwemo za ubakaji.

Walisema serikali na asasi za kiraia, zimekuwa zikitumia nguvu kubwa katika kutoa elimu na kuzifuatilia kesi za aina hiyo, ingawa kikwazo sasa kimekuwa kwa wazazi na walezi, kwa kuzimaliza kienyeji kesi hizo.

Wakizungumza na mwandishi wa habari kwa nyakati...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Onyo kali la tolewea kwa wachimbaji mchanga wasio fuata sheria

Wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi imetoa onyo kali kwa wanaochimba mchanga ovyo ambao huikosesha mapato serikali kwa kutofuata sheria na taratibu za nchi  zilizowekwa.

Hayo yameelezwa huko WAWI katika Ukumbi wa Makonyo Chake Chake Kisiwani Pemba na Waziri wa Wizara hiyo HAMAD RASHID MOHAMMED Wakati akizungumza na wafanya kazi na wachimbaji wa mchanga.

Amesema  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haizuii uchimbaji huo bali wanacho kizuia ni kuwepo kwa baadhi ya watendaji hao kuzikiuka na...

 

1 year ago

Malunde

RAIS KENYATTA ASAINI SHERIA KALI KWA WANAOSAMBAZA HABARI ZA UZUSHI MTANDAONI


Haki miliki ya picha
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha Mswada wa Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 kuwa Sheria, hatua itakayotoa adhabu kali kwa watakaopatikana na makosa ya mtandaoni.

Sheria hiyo inatoa adhabu ya faini ya Sh5 milioni (dola 50,000 za Marekani) au kifungo cha miaka miwili jela, au adhabu zote mbili, kwa atakayepatikana na kosa la uenezaji wa habari za uzushi.
Mtu atakayepatikana na kosa la kueneza taarifa ambazo zinaweza kuzua taharuki au kuzua vurugu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani