Shkodran Mustafi: Mchezaji wa Arsenal aumia akichezea Ujerumani

Beki wa Arsenal Shkodran Mustafi aliumia kipindi cha kwanza katika mechi ambayo mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Ujerumani walikamilisha rekodi ya asilimia 100 katika Kundi C.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Arsenal kumnasa Mustafi wa Valencia

Arsenal inatarajia kukamilisha usajili wa Pauni 30 milioni wa beki wa kati wa  Valencia, Shkodran Mustafi saa 24 zijazo.

 

2 years ago

Dewji Blog

Arsenal yakaribia kuipata saini ya Mustafi

Baada ya mabeki wa kati wa Arsenal wa kati, Per Mertesacker na Gabriek kupata majeraha, kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameingia sokoni kwa ajili ya kutafuta mchezaji mpya ambaye atakuja kucheza nafasi za wachezaji walio majeruhi.

Katika kutimiza azma yake, tayari inaripotiwa Arsenal ipo katika mazungumzo ya kukamilisha uhamisho wa beki wa Valencia, Shkodram Mustafi kwa kitita cha Pauni Milioni 30.

Mustafi, 24 ambaye ni raia wa Ujerumani kwa sasa yupo katika maandalizi ya msimu mpya na klabu...

 

2 years ago

Dewji Blog

Arsenal yakaribia kuipata saini ya beki Mustafi

Baada ya mabeki wa kati wa Arsenal wa kati, Per Mertesacker na Gabriek kupata majeraha, kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameingia sokoni kwa ajili ya kutafuta mchezaji mpya ambaye atakuja kucheza nafasi za wachezaji walio majeruhi.

Katika kutimiza azma yake, tayari inaripotiwa Arsenal ipo katika mazungumzo ya kukamilisha uhamisho wa beki wa Valencia, Shkodram Mustafi kwa kitita cha Pauni Milioni 30.

Mustafi, 24 ambaye ni raia wa Ujerumani kwa sasa yupo katika maandalizi ya msimu mpya na klabu...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mustafi na Sanchez wameiwezesha Arsenal kutoka na point 3 vs Burnley

Michezo ya Ligi Kuu England bado inaendelea kama kawaida leo Jumapili ya January 22 2017, katika uwanja wa Emirates ambao unatumiwa na Arsenal kama uwanja wao wa nyumbani, walicheza dhidi ya Burnley katika mchezo wao wa 22 wa Ligi Kuu England. Katika mchezo huo wa 22 Arsenal wamefanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1, magoli ambayo […]

The post VIDEO: Mustafi na Sanchez wameiwezesha Arsenal kutoka na point 3 vs Burnley appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mchezaji Nicolai Muller aumia akisherehekea kufunga bao

Winga wa klabu ya Hamburg ya Ujerumani Nicolai Muller hataweza kucheza kwa miezi saba ijayo baada yake kuumia kwenye goti akisherehekea kufunga bao.

 

3 years ago

Dewji Blog

Arsenal yasajili kifaa kipya kutoka Afrika, picha za mwanzoni za mchezaji huyo akiwa Arsenal zipo hapa

Mohamed-Elneny-main

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Maneno aliyoyasema kocha wa Arsenal, Arsene Wenger wikiendi iliyopita kuhusu klabu hiyo kusajiri mchezaji mpya ndani ya siku 10 yamekamilika baada ya kumsajili mchezaji raia wa Misri, Mohamed Elneny kwa kitita cha Pauni Milioni 5, kwa mkataba wa miaka 3 akitokea Basel ya Uswisi na atakuwa akipokea mshahara wa Pauni 60,000 kwa wiki.

Modewjiblog imekuandalia picha za mwanzoni za mchezaji huyo mara baada ya kusaini mkataba na washika bunduki wa London, Arsenal.

New-Arsenal-signing-Mohamed-Elneny (3)

New-Arsenal-signing-Mohamed-Elneny (7)

New-Arsenal-signing-Mohamed-Elneny (1)

New-Arsenal-signing-Mohamed-Elneny

New-Arsenal-signing-Mohamed-Elneny (6)

 

3 years ago

BBCSwahili

Usingizi wamponza mchezaji Ujerumani

Mshambuliaji wa Wolfsburg Nicklas Bendtner, ambaye zamani alichezea Arsenal, amepigwa faini kwa sababu ya usingizi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Aubameyang ndiye mchezaji bora Ujerumani

mshambulizi wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang ametawazwa kuwa mshindi wa tuzo la mwaka huu la mchezaji bora katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga

 

2 years ago

Bongo5

Aubameyang awa mchezaji bora Ujerumani

Mchezaji bora barani Afrika wa mwaka huu Pierre-Emerick Aubameyang ametawazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mwaka huu ya mchezaji bora katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga.

101215-Soccer-Dortmund-Pierre-Emerick-Aubameyang-PI-SW.vresize.1200.675.high.51

Aubameyang ambaye ni raia wa Gabon na mshambulizi wa Borussia Dortmund alimpiku mshambulizi wa Bayern Munich Robert Lewandowski kwa asilimia 0.2%.

Tuzo hilo hutolewa na shirikisho la wachezaji nchini humo VDV.
”Ni furaha kubwa kutambuliwa na wachezaji wenzangu ” alisema Aubameyang
”Tuzo hii naipokea kwa niaba ya mashabiki...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani