Shoti ya Umeme yakatisha uhai, Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mama mmoja mwenye umri wa miaka 35 amefariki dunia papo hapo huku mtoto wake mwenye akinusurika baada ya mama yake kunasa na shoti ya umeme.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja  Suleiman Hassan Suleiman amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema kuwa Tukio hilo limetokea jana majira ya saa tisa na dakika arobaini jioni huko Bumbwini bondeni Wilaya ya kaskazini B.

Kaimu Kamanda amemtaja Marehemu kuwa ni Taifa Mohamed Ali mkazi wa Bumbwini bondeni Mkoa wa Kaskazini...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Zanzibar 24

Shoti ya umeme yaondoa uhai wa mwanafunzi wa kidato cha tatu Unguja.

Mwanafunzi wa kidato cha tatu alietambulika kwajina la Ali Hamza Silima anaekadiriwa kuwa anaumri wa miaka 17 amepigwa na shoti ya umeme na kumripua vibaya  huko Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Marehemu  huyo alipata ajali alipokuwa na wenzake wakicheza hatimae aliamua kuchukua jiwe na kulifunga kamba nakulirusha katika laini kubwa ya waya ya umeme na kuungua mwili mzima hatimae kufikishwa Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa matibabu lakini Mungu amefanikiwa kuchukua roho yake wakati...

 

2 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Ali Abeid Karume wakati alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda hicho Kampuni ya ETG  alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

2 years ago

Mwananchi

Ajali yakatisha uhai wa mume na mke

Rajabu Mkokwa na mkewe Rukia Matii, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah walipokuwa wakisafiri kwa kutumia pikipiki.

 

2 years ago

Michuzi

Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja

Na Othman Khamis Ame, OMPRWakati kumi la mwanzo la Rehema na lile la pili la maghfira yaliyomo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan yakimalizika waumini wa Dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na ibada katika kukamilisha kumi la mwisho la mwezi huu mtukufu wa Ramadhani la kuachwa huru na moto. Ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inamuwajibikia kila muumini wa Dini hiyo aliyefikia balegh na akili timamu kuitekeleza ikiwa ni ya Nne kati ya tano ya nguzo za...

 

5 years ago

Michuzi

Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo

                     Hii ndio breaker liyoungua na kusabibisha maeneo ya mjini Ubguja kukosa umeme leo


 Mafundi kutoka ZECO wakiwa katika harakati za kutengeneza panel iliyoleta hitilafu za umeme na kupelekea maeneo yote ya mji wa Unguja kukosa umeme


Baada ya kukamilika kwa matengenezo


Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...

 

4 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa katikaviwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana jioni wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein   (katikati) akiwana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao...

 

3 months ago

Zanzibar 24

PAZA yabadilisha maisha ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mradi  wa kukuza uwajibikaji Zanzibar (PAZA) ulioundaliwa na TAMWA kwa kushirikiana na WAHAMAZA na NGENARECO pamoja na Asasi za kiraia  waibua maendeleo ya kimaisha kwa Wananchi wa Kaskazini Unguja.

Akizungumza na  Zanzibar24 blog Katibu wa Jumuia ya vijana kupambana na udhalilishaji Ali Makame Zuberi huko Gamba Wilayani Mkoa wa Kaskazini Unguja amesema katika mradi huo wamepata mafanikio makubwa ambayo kwakiasi fulani ipelekea jamii kuhamasika kwa njia tofauti za kimaisha.

Amesema...

 

4 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.(Picha na Salmin Said, OMKR)
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani