SHULE ZA MKIANI ZAMKERA RAIS
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesikitishwa na shule saba za Zanzibar kuwa mkiani katika matokeo ya Kidato cha Nne mwaka jana, na kuuagiza uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali uandae mkutano maalumu na walimu wa shule hizo saba zilizofanya vibaya kwa Tanzania nzima.
Dk Shein aliyasema hayo jana katika Ukumbi wa Baraza la Zamani la Wawakilishi, Kikwajuni mjini Unguja katika hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Sitawa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU).
Licha ya kuipongeza...
Malunde
Habari Zinazoendana
3 years ago
Habarileo04 Aug
Serikali yapania kuziondoa mkiani shule zake
SERIKALI imesema itahakikisha shule zake hazishiki mkia katika matokeo mbalimbali ya mitihani, na moja ya mikakati yake ni kutatua changamoto katika sekta ya elimu.
4 years ago
Habarileo25 Dec
Nanyumbu wachekelea kujiondoa mkiani
HALMASHAURI ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara imefanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2014, baada ya kushika nafasi ya tatu kimkoa ikilinganishwa na mwaka 2013 ambapo ilishika nafasi ya mwisho kati ya halmashauri saba zinazounda mkoa huo.
5 years ago
Habarileo20 Mar
Serikali 3 zamkera Kingunge
MWANASIASA wa siku nyingi na muumini wa siasa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba imeangaliza zaidi kero za Muungano katika kudai Serikali tatu, hali ambayo inavunja Muungano.
3 years ago
Mtanzania01 Apr
Mkakati wa Malinyi kujinasua kutoka mkiani
Na Mwandishi Wetu, Malinyi
WILAYA ya Malinyi iliyoko mkoani Morogoro ni miongoni mwa wilaya mpya iliyogawanywa kutoka Wilaya ya Ulanga.
Miongoni mwa shule za sekondari zilizoko wilayani humo ni Malinyi, Igawa na Sofi ambazo ni zimekuwa za mwisho katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2015.
Shule zingine za mwisho katika matokeo hayo ni Pande (Lindi), Korona (Arusha), Kurui ya (Pwani), Patema (Tanga), Saviak (Dar es Salaam), Gubali (Dodoma) na Kichangani (Morogoro).
Kufuatia...
3 years ago
Dewji Blog29 Jun
Medeama na Mo Bejaia waipeleka Yanga mkiani
Maumivu ya mashabiki wa Yanga baada ya kupokea kipigo kutoka kwa TP Mazembe yamezidi kuongezeka baada ya kumalizika kwa mchezo mwingine wa Kundi A wa kombe la Shirikisho la CAF kati ya Medeama na Mo Bejaia, mchezo ambao matokeo yake yameipeleka Yanga mkiani.
Mchezo huo kati ya Medeama na Mo Bejaia umemalizika kwa sare ya bila kufungana hivyo kugawana alama kila timu ikiondoka na alama moja.
Kwa matokeo hayo, sasa TP Mazembe inaongoza ikiwa na alama sita, Mo Bejaia inafuata ikiwa na alama...
3 years ago
Dewji Blog16 Jul
Medeama yaibakiza Yanga mkiani Kundi A
Mchezo wa tatu wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) kwa wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Yanga umemalizika kwa Yanga kukubali sare ya goli moja kwa moja.
Yanga ilianza mchezo huo kwa kasi na kufanikiwa kupata goli la kwanza katika dakika ya pili kupitia kwa Donald Ngoma goli lililodumu kwa dakika 16 pekee kabla ya Medeama kusawazisha kupitia Bernard Ndaso.
Matokeo ya mchezo huo yanaibakisha Yanga mkiani kwa kundi hilo ikiwa na alama moja na ikibakiza michezo mitatu,...
3 years ago
Mtanzania14 Dec
Nyasi U/Taifa zamkera Kerr
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema wachezaji wake walicheza vizuri dhidi ya Azam FC juzi licha ya kukosa mabao mengi ya wazi yaliyowanyima ushindi na kudai kuwa timu hiyo ilitakiwa kufunga mabao manne kipindi cha kwanza.
Simba wanaoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, juzi walilazimishwa sare ya 2-2 na vinara wa ligi hiyo Azam katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwingereza huyo alisema jambo jingine...
4 years ago
Habarileo02 Oct
Semina, warsha zamkera Kinana
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehoji katazo la semina, warsha na kongamano yasiyokuwa na tija kwa watumishi wa umma, kwamba halitekelezeki kama lilivyoagizwa na viongozi waandamizi wa taifa hili.
5 years ago
Habarileo30 May
Taarifa za wahariri kununuliwa zamkera RC
SERIKALI imeelezea kusikitishwa kwake na kuwapo kwa taarifa za baadhi ya vyombo vya habari pamoja na wahariri wake kununuliwa.