Shule za Nyasi Kuondoka , Serikali imenuia kuhakikisha ndani ya miezi kumi na mbili ijayo

SHULE ZA NYASI

Serikali imenuia kuhakikisha kuwa ndani ya miezi kumi na mbili ijayo, shule zote zilizoezekwa kwa nyasi nchini zinaondoka,ili kuhakikisha mtoto wa kitanzania anapata elimu iliyo bora katika mazingira rafiki.

Mpango huo wa serikali umetangazwa mjini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo, wakati alipokuwa akifungua Mkutano wa wadau wa ubora wa elimu nchini.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Mkoa wa Tabora Bw. Khamis Lissu, ameshauri...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Channelten

Serikali imetoa miezi sita kuanzia sasa kwa Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari kuhakikisha hili

pic+drugs

Waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu ametoa miezi sita kuanzia sasa kwa wakuu wa shule za msing bna sekondari kuhakikisha wanaanzisha madawati ya ulinzi na usalama kwa ajili ya kuwasikiliza wanafunzi pindi wanapokuwa na shida kwa kutenga waalimu watakaoweza kuwasikiliza na kutatua changamoto zao.

Maagizo hayo ameyatoa wilayani Tarime mkoani mara wakati wa kilele cha cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani ambapo amesema mara nyingi watoto wa shule...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Serikali ya Zanzibar yaahidi kulipa madeni ya walimu ndani ya kipindi cha miezi kumi

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuyapatia ufumbuzi  matatizo yanayoikumba sekta ya elimu ikiwemo tatizo la kuchelewa kulipwa madeni yao ndani ya kipindi cha miezi  kumi ijayo.

Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri kwenye maadhimisho ya siku ya walimu duniani katika ukumbi wa  suza  mjini Unguja.

Amesema licha ya serikali kufanya marekebisho ya mishahara kwa baadhi ya walimu, lakini bado wanaendelea na hatua za kuwatafutia...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMPA WIKI MBILI MKURUGENZI WA JIJI KUHAKIKISHA WALIMU WOTE WANAODAI SERIKALI WALIOPO NDANI YA JIJI LA ARUSHA WANALIPWA FEDHA ZAO

Habari picha na Woinde Shizza,Arusha  MKUU wa mkoa Arusha Mhe Mrisho Gambo amemuagiza mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia kulipa madeni yote wanayodai walimu ya milioni 154 ndani ya wiki mbili ambayo wamekuwa wakidai serikali kuu kwa muda mrefu bila kulipwa na hivyo kusababisha walimu hao kukata tamaa ya ufundishaji wanafunzi. Mhe. Gambo alitioa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na walimu wote wa shule za msingi 48 zilizopo ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha ,waratibu...

 

2 years ago

Dewji Blog

TAMISEMI yatoa miezi 3 kwa wavamizi wa maeneo ya taasisi za serikali kuondoka

Kufuatia kukithiri kwa uvamizi wa maeneo ya taasisi za kiserikali yakiwemo ya shule za msingi na sekondari, vituo vya kutolea huduma za afya, hospitali na masoko unaofanywa na baadhi ya watu kwa kujenga nyumba za makazi na vyumba vya biashara.

Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene, leo ametoa maagizo kwa Maafisa Ardhi na Wakurugenzi walio chini ya mamlaka ya TAMISEMI kupima mipaka halisi ya maeneo ya taasisi hizo pamoja na kuwaondoa watakao...

 

8 months ago

Michuzi

MICHANGO SHULE ZA SERIKALI KUONDOKA NA MLOLONGO WA VIONGOZI


*Rais Dkt.Magufuli apiga marufuku, asema asisikie mchango wa aina yoyote shuleni
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Rais Dkt.John Magufuli kusema ni marufuku watoto walioko shuleni kuchangishwa mchango wa aina yoyote na akisikia kuna shule katika wilaya fulani ambayo watoto wanafukuzwa kwa kutochangia basi huyo Mkurugenzi ajihesabu hana kazi.
Ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMPA WIKI MBILI MKURUGENZI WA JIJI KUHAKIKISHA WALIMU WOTE WANAODAI SEREKALI WALIOPO NDANI YA JIJI LA ARUSHA WANALIPWA FEDHA ZAO


MKUU wa mkoa Arusha Mrisho Gambo amemuagiza mkurugenzi wa jiji la
Arusha, Athumani Kihamia kulipa madeni yote wanayodai walimu ya
milioni 154 ndani ya wiki mbili ambayo wamekuwa wakidai serikali
kuu kwa muda mrefu bila kulipwa na hivyo kusababisha walimu hao
kukata tamaa ya ufundishaji wanafunzi .

Gambo alitioa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na walimu wote wa
shule za msingi 48 zilizopo ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha ,waratibu elimu,wakaguzi elimu pamoja na maafisa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani