SIFA TANO ZA MWANAUME ANAYEKUTAMANI

NI Jumanne tena! Naamini wasomaji wangu wote mpo sawasawa na tayari kupokea mada mpya ya wiki hii. Habari kubwa ya kitaifa kwa sasa ni siasa, kampeni za wagombea na vishawishi vyao. Lakini najua bado hamkosi elimu ya mapenzi na maisha. Leo nataka kuwasaidia baadhi ya wanawake, hasa wasichana ambao wamejikuta wakiwa kwenye uhusiano usiodumu kwa sababu ya kuwapata wanaume wanaowatamani halafu wao kwa kutokujua, wakaamini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

SIFA 5 ZA MWANAUME ANAYEKUTAMANI-2

Ni Jumanne tena. Jumanne yenye hekaheka ya kampeni ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao. Lakini kwa wasomaji wangu naamini mnajua kutenganisha muda wa kunisoma na muda wa kushiriki kampeni ili kusikia sera za vyama vyenu. Mada yangu ya leo inatoka wiki iliyopita ambapo inasema; sifa tano za mwanaume anayekuthamini.
Wiki iliyopita niliishia pale niliposema utakuta mwanaume anakuhesabia wanawake aliyokwishalala nao; Ester tayari,...

 

5 years ago

GPL

SIFA 6 ZA MWANAUME ANAYESTAHILI KUWA MUMEO!

Wiki hii nitazungumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa lakini bado wanashindwa kutambua yupi ni sahihi na yupi si sahihi kuitwa mume. Tufahamu kwamba si kila mwanaume unayekutana naye na ukampenda anafaa kuwa mumeo. Wengine wana mapungufu makubwa ambayo bila kuyabaini na ukaingia kichwakichwa, utakutana na matatizo makubwa. Kwa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mwanaume Ukiwa na Sifa Hizi, Utampata Mwasiti

Mwanamuziki Mwasiti ambaye anafanya vizuri na wimbo wake ‘Kaa nao’ amefunguka na kuweka hadharani sifa za mwanaume ambaye anahitaji kuwa naye katika maisha yake na kusema haiwezekani hata siku moja mtu na mpenzi wake wakawasiliana mara moja kwa siku.

Mwasiti

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Mwasiti amesema kuwa angependa mume wake kwanza awe mcha Mungu na mwelewa ili wapendane na kujaliana kweli ila yote hayo yabebwe na msingi mkuu wa mapenzi ambao ni...

 

1 year ago

Bongo Movies

Wema Sepetu ataja sifa za mwanaume anayemtaka

Msanii wa filamu, Wema Sepetu ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza.

“Mimi napenda mwanaume anayejielewa,mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea,lakini si mwanamke ninayependa pesa kuliko utu na mapenzi ya kweli,”alijinadi Wema Sepetu na kuongeza;

“Unajua pesa sio kikwazo katika maisha yangu, kwa sababu najua kuitafuta hivyo siwezi kubweteka kwa kutaka mwanaume mwenye pesa, hilo kwangu...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tausi ataja sifa za mwanaume anaye mpenda

Msanii wa  filamu nchini Tausi Mgegela ameamukuweka bayana sifa za mwanaume anae faa kuwa mpenzi wake, ambapo amesema kuwa yeye hapendi mwanaume mfupi.

Muigizaji huyo amesema hayo katika segment ya Kikaangoni, EATV. Tausi ameeleza kuwa anampenda mwanaume  ambaye ni mrefu.

“Sipendi mwanaume mfupi, mfupi wa nini saa? tukiwa wote wafupi nani atazima taa, nani atafunga mlango?.” amehoji Tausi.

“Napenda mwanaume mrefu mwembamba, sio mnene.” ameongeza.

Katika hatua nyingine amesema kuwa katika...

 

3 years ago

Global Publishers

Je, unazijua sifa za mwanaume anayefaa kuwa mwenza wako?

couple85620250
Asante Mwenyezi Mungu kwa pumzi na upendo wako, nimeiona Jumatatu nyingine tena, mimi si bora kuliko waliolazwa hospitalini, waliopata vilema, waliolala njaa na kadhalika.

Mpenzi msomaji karibu kwenye safu yetu hii pendwa ya XXLove. Wiki hii mada yetu inahusu, je, unazijua sifa za mwanaume anayekufaa kuwa mwenza wako?

Hili limekuwa swali gumu kwa wanawake wengi ambao wamekuwa wakijiuliza watawezaje kuwafahamu au kumfahamu mwanaume f’lani kama ana sifa za kuwa mpenzi wake?
Mwanaume...

 

3 years ago

Global Publishers

Je, unazijua sifa za mwanaume anayefaa kuwa mwenza wako-2?

Heri ya Jumatatu ya Pasaka, tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi na upendo wake kwetu. Mpenzi msomaji wiki iliyopita nilianza kuiangalia mada hii ya Je, Unazijua Sifa za Mwanaume Anayekufaa Kuwa Mwenza Wako?’ Niliishia kwenye kipengele cha asiwe mtu wa kupayuka hasa mnapokuwa mmekosana. Busara, utulivu na kujizuia ziwe sifa za kipekee kwa mwanaume unayehitaji kuwa naye kwenye maisha haya.

MCHA MUNGU
Ukibahatika kumpata mwanaume mwenye hofu ya Mungu, mara nyingi hofu hiyo ndiyo huwa muongozo...

 

4 years ago

Bongo5

Rose Ndauka ataja sifa za mwanaume anayependa kuwa naye

Msanii wa filamu za Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. Mwigizaji huyo mrembo amevitaja vigezo vya mwanaume anayeweza kuwa naye hata kama hana uwezo wa kipesa. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa, mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea lakini si mwanamke ninayependa […]

 

4 years ago

Bongo5

Lady Jaydee azitaja sifa za mwanaume amtakaye kwa sasa

Baada ya kutangaza kuwa kwa sasa yuko single, miongoni mwa maswali ambayo Lady Jaydee amekutana nayo ni kuhusu sifa za mwanaume ambaye anamtaka awe mpenzi wake kwa sasa. Kupitia Instagram Jide aliorodhesha sifa za mwanaume amtakaye kwa sasa, soma huenda ukawa nazo (kama wewe ni mwanaume mwenye ndoto za kuwa na staa huyo). Yapo maswali […]

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani