Siku moja baada ya kutolewa Kombe la Mapinduzi, Simba wameamua hivi kuhusu kocha wao Kerr …

Uongozi wa klabu ya Simba usiku wa January 11 kuingia 12 unatajwa kufanya maamuzi magumu, kutokana na mwendo wa timu yao kwa sasa, stori kutoka mtandao wa mwandishi na mchambuzi wa soka Tanzania Salehjembe.blogspot.com, umeripoti uongozi wa klabu ya Simba kuamua kumfuta kazi kocha wake wa kiingereza Dylan Kerr. Simba ambayo ilitolewa na Mtibwa Sugar […]

The post Siku moja baada ya kutolewa Kombe la Mapinduzi, Simba wameamua hivi kuhusu kocha wao Kerr … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Klabu ya Simba wameamua kumtimua kocha wao Dylan Kerr

pickerr

Uongozi wa klabu ya Simba umefikia uamuzi wa kuachana na kocha wake, Mkuu Muingereza Dylan Kerr pamoja na kocha wa makipa, Iddi Salim na sasa timu itakuwa chini ya Mganda, Jackson Mayanja.
Maamuzi hayo yamefikiwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji kilichofanyika katika makao makuu ya klabu, Msimbazi, Dar es Salaam.

pickerr

Msemaji wa Simba SC, Hajji Sunday Manara amesema kwamba, klabu imevunja mikataba yake na makocha wote, Kerr na Mkenya Iddi Salim

Manara amesema kwa sasa Mayanja atakuwa na timu,...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Baada ya Simba kutolewa Kombe la FA na Mwadui FC, huu ndio msimamo wao kwa sasa

Zacharia-Hans-Poppe

Baada ya klabu ya Simba kuondolewa katika michuano ya Kombe la FA kwa jumla ya goli 2-1 na klabu ya Coastal Union ya Tanga, mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusiana na utulivu uliokuwepo ndani ya klabu hiyo, ukweli kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya usajili Zacharia Hans Poppe ameuweka wazi kupitia Sports Extra ya Clouds FM. “Kwa […]

The post AUDIO: Baada ya Simba kutolewa Kombe la FA na Mwadui FC, huu ndio msimamo wao kwa sasa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya Brazil kwa kocha wao Dunga baada ya kutolewa Copa America

Brazili's Dunga revealing a squad of 22 players for friendlies against Colombia and Ecuador

Ni siku moja imepita toka timu ya taifa ya Brazil iondolewa katika michuano ya Copa America 2016 kwa kufungwa goli 1-0 na Peru. Brazil walifungwa goli dakika ya 75 na Raul Ruidiaz, goli ambalo linaaminika kufungwa kwa mkono kitu ambacho kilifanya refa achelewe kufanya maamuzi. Leo June 14 2016 Brazil wametangaza maamuzi mapya ya kumfuta kazi […]

The post Maamuzi ya Brazil kwa kocha wao Dunga baada ya kutolewa Copa America appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

StarTV

UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.

Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.

Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.

Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya kumfukuza Kerr, mipango ya Simba haijaishia kwa Mayanja, wanamtaka kocha huyu …

Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kutangaza kumfukuza kazi aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo muingereza Dylan Kerr na kocha wa makipa Iddi, January 18 makumu wa Rais wa klabu ya Simba Geofrey Nyange Kaburu ametangaza ni kweli wapo katika mchakato wa kuongeza nguvu katika benchi la ufundi kwa kumuongeza kocha msaidizi wa Taifa Stars […]

The post Baada ya kumfukuza Kerr, mipango ya Simba haijaishia kwa Mayanja, wanamtaka kocha huyu … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya kutolewa Mapinduzi Cup, Simba yafanikiwa kulipiza kisasi kwa Mtibwa Sugar …(+Pichaz)

Baada ya wekundu wa msimbazi Simba kutolewa katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi na Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro. January 16 katika mchezo wa Ligi Kuu walikutana tena, hiyo ilikuwa ni nafasi kwa Simba kulipa kisasi kwa Mtibwa Sugar au kuendeleza rekodi ya kupokea vipigo. Simba ambayo ilikuwa inacheza mchezo […]

The post Baada ya kutolewa Mapinduzi Cup, Simba yafanikiwa kulipiza kisasi kwa Mtibwa Sugar …(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Siku moja baada ya Antonio Conte kutangazwa kuwa kocha wa Chelsea, yameandikwa haya ya kufungiwa miezi sita

sky

Ni siku moja baada ya uongozi wa Chelsea ya Uingereza kutangaza kumpa mkataba wa miaka mitatu kocha wa timu ya taifa ya Italia Antonio Conte ambaye atajiunga na klabu yao mwishoni mwa msimu. Leo April 5 Antonio Conte ameripotiwa kuwa, huenda akafungiwa miezi sita kujihusisha na soka. Muendesha mashtaka Roberto Di Martino kutoka Italia anaripotiwa na Sky Sports […]

The post Siku moja baada ya Antonio Conte kutangazwa kuwa kocha wa Chelsea, yameandikwa haya ya kufungiwa miezi sita appeared...

 

2 years ago

MillardAyo

Siku moja baada ya Manji kumtuhumu Komba kuhujumu uchaguzi wao, Komba ametangaza maamuzi yake

YMB

Siku moja baada ya mwenyekiti wa klabu ya Yanga ambaye amechukua fomu ya kuomba nafasi hiyo ya uenyekiti wa klabu hiyo kwa mara nyingine Yusuph Manji kumtuhumu mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya TFF Aloyce Komba kupanga hujuma dhidi yake, Komba ambaye ni mwanasheria ametangaza maamuzi mapya June 3 2016. Komba ambaye alitajwa katika audio […]

The post Siku moja baada ya Manji kumtuhumu Komba kuhujumu uchaguzi wao, Komba ametangaza maamuzi yake appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

Michuzi

news alert: SIMBA YAMTIMUA KOCHA WAKE DYLAN KERRKwa masikitiko makubwa klabu ya Simba inawaarifu umma kupitia vyombo vya habari.uamuzi wake wa kuvunja mikataba yake na makocha wake  - kocha mkuu Dylan Kerr kutoka uingereza na kocha wake wa makipa Iddi Salim.Katika uamuzi wake uliofanywa mchana huu na kikao cha kamati ya utendaji, ambapo makocha hao waliitwa, klabu ya Simba na walimu hao kwa pamoja wamekubaliana kuvunja mikataba ya ajira zao kwa faida ya pande zote mbili.Kwa sasa kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja atakuwa na timu.huku...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani