Sikumjua Nay mtu wa aina gani – Shamsa Ford

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa moja ya sababu yeye kuachana na mpenzi wake Nay wa Mitego ni kutokana na ukweli kwamba yeye hakutambua toka mwanzo kuwa msanii huyo ni mtu wa namna gani.

shamsaford23 (1)

 

Akizungumza kwenye kipindi cha Enews Shamsa Ford anasema wakati anaanza kutoka na Nay wa Mitego hakutambua ni mtu wa namna gani ndiyo maana aliweza kuanza naye mahusiano lakini kadili siku zilivyokuwa sikienda akagundua kuwa wana tofauti kubwa kwani tabia zao zilikuwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

4 years ago

GPL

SHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY

Brighton masalu
USALITI? Huenda maumivu ya mapenzi yakazidi kumuandama msanii wa muziki Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya gazeti hili kunasa picha za mchumba’ke Shamsa Ford akiwa katika mahaba mazito na msanii mwanaume mwingine aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wake, Rammy Galis, Amani lilifuatilia hatua kwa hatua. Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akipozi kimahaba na Rammy Galis. Ishu hiyo ‘ilidakwa’...

 

3 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Simtaki Nay wa Mitego!

Staa wa filamu Tanzania Shamsa Ford amesafisha hewa baada ya kuwepo kwa uvumi wa yeye na Nay wa Mitego kutamaniana kurudisha penzi lao.

SHAMSA-NA-NAY

Nay wa Mitego akiwa na muigizaji wa Bongo fleva Shamsa Ford

 

Shamsa alifunguka yote hayo baada ya vyombo kadhaa vya habari na mitandao tofauti tofuti ya kijamii kuripoti kuwa Nay katika moja ya mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni alisema kuwa anatamani kurudiana na Shamsa Ford, kisha baadae ikadaiwa kuwa Shamsa naye amesema yuko tayari kurudiana na Nay,...

 

2 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Amkana Nay wa Mitego

Malkia wa filamu Shamsa Ford amekanusha kuwepo katika show ya ‘Wapo Tour’ ya rapa Nay wa Mitego itayofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala, May 20 mwaka huu.

Malkia wa filamu Shamsa Ford

Muigizaji Shamsa Ford Rapa huyo hivi karibuni aliimbia Bongo5 kuwa muigizaji huyo ambaye kwa sasa ameolewa na mfanyabiashara Chidi Mapenzi, atakuwepo kwenye show hiyo.

Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Shamsa amedai hajui chochote kuhusu show hiyo.

“Kusema kweli sina show yoyote na mtu na wala sijazungumza...

 

4 years ago

GPL

NAY ANYANG’ANYWA SHAMSA FORD

Musa mateja Gundu? Miezi kadhaa baada ya kumwagana na mzazi mwenziye Siwema Edson baada ya kumfuma na ‘kiserengeti boy’, staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anadaiwa kunyang’anywa tena mrembo wake wa Bongo Movies, Shamsa Ford na kibabu anayedaiwa kumnunulia mwanadada huyo gari aina ya Toyota Noah.  .....Soma zaidi====>http://bit.ly/1Jb8szx ...

 

4 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford anamlea mtoto wa Nay Wa Mitego?

Picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea mtoto huyo.

Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa akiishi jijini Mwanza baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono ilisambaa kuwa msanii huyo anatoka kimapenzi na Shamsa Ford.

Hata hivyo wote wawili walikana...

 

3 years ago

Bongo Movies

Siwezi Kurudiana na Nay wa Mitego – Shamsa Ford

Ikiwa imepita siku moja toka Nay wa Mitego kupost picha ya Shamsha Ford kwenye mitandao yake ya kijamii ikiwa na ujumbe wa ‘Happy Valentine’ hususani siku ya wapendanao mwanadada Shamsha Ford amefunguka na kusema kuwa kamwe hawezi kurudiana kimapenzi na msanii huyo wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Shika Adabu yako’,

SHAMSA NA NAY

Shamsha Ford amesema kuwa kwa sasa ana maisha yake na mwanaume mwingine ambaye wanaheshimiana na anampenda hivyo kitendo cha Nay kupost ujumbe wa...

 

3 years ago

Bongo5

Mimi na Shamsa Ford tuliachana vizuri – Nay wa Mitego

Nay na Shamsha

Nay wa Mitego amezungumzia jinsi alivyoachana na aliyekuwa mpenzi wake Samsha Ford baada ya mwanadada huyo kudai hataki tena kutoka kimapenzi na mastaa.

nay-na-shamsha

Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, rapa huyo alisema licha ya kuachana na mwanadada huyo bado ni mshkaji wake na wanapiga stori kama kawaida.

“Mimi binafsi sijui alikuwa anamaanisha nini lakini kitu ambacho naweza kusema mimi na Shamsa bado ni washkaji na hatuwezi kuja kuwa maadui hata siku moja licha ya kuachana,” alisema. “Hatuna ugomvi...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mimi na Shamsa Ford Tuliachana Vizuri – Nay wa Mitego

Nay wa Mitego amezungumzia jinsi alivyoachana na aliyekuwa mpenzi wake Samsha Ford baada ya mwanadada huyo kudai hataki tena kutoka kimapenzi na mastaa.

Nay wa Mitego na Shamsa Ford Katika Pozi

Nay wa Mitego na Shamsa Ford Katika Pozi

 

Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, rapa huyo alisema licha ya kuachana na mwanadada huyo bado ni mshkaji wake na wanapiga stori kama kawaida.

“Mimi binafsi sijui alikuwa anamaanisha nini lakini kitu ambacho naweza kusema mimi na Shamsa bado ni washkaji na hatuwezi kuja kuwa maadui hata siku moja...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani