Simba : Tumefuata taratibu zote kumsajili Mavugo

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hanspoppe amesema hawatamuachia Laudit Mavugo hata kama klabu ya Vital’O ya Burundi  inasema bado ina mkataba naye kwani wamefuata taratibu zote kwenye usajili wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akipokea pesa kutoka kwa mashabiki wa SimbaNa Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Ushindi wa bao 2-1 wa klabu ya Simba dhidi ya mahasimu wao Dar es Salaam Young Africa umeweza kuwaneemesha wafungaji wa Simba, Laudit Mavugo na Shiza kichuya.
Wachezaji hao ambao waliweza kung’ara katika mchezo huo, walijipatia fedha za kutosha kutoka kwa mashabiki wa mchezo huo ,waliokuwa wakiwatuza fedha mara baada ya mchezo huo kuisha.
Ushindi wa mchezo huo ameleta shnagwe na furaha kubwa kwa washabiki na kuamua kuwajaza manoti wachezaji hao.Mshambuliaji wa...

 

2 years ago

MillardAyo

Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)

Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]

The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Michuzi

BASATA LATAKA KUONDOLEWA/KUSITISHWA MARA MOJA KUCHEZWA KWA NYIMBO ZOTE ZENYE KUKENGEUKA MAADILI, SHERIA NA TARATIBU

PUBLIC NOTICE

BASATA LATAKA KUONDOLEWA/KUSITISHWA MARA MOJA KUCHEZWA KWA NYIMBO ZOTE ZENYE KUKENGEUKA MAADILI, SHERIA NA TARATIBU

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au kucheza nyimbo zote zenye maudhui ya kashfa, matusi, kejeli, udhalilishaji ambazo zinahatarisha kuigawa jamii ya kitanzania katika misingi yoyote hasa katika kipindi hiki...

 

2 years ago

Habarileo

Simba kumsajili Tchetche

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ivory Coast, Kipre Tchetche huenda akaichezea klabu ya Simba msimu ujao baada ya uongozi wa timu hiyo kuwa na mazungumzo ya chini kwa chini na mchezaji huyo aliyefanya vizuri katika msimu minne aliyocheza Ligi ya Tanzania Bara.

 

2 years ago

Habarileo

Mavugo, Simba mambo safi

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili wa klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe, amesema wanataka kuionesha Yanga jeuri ya fedha kwa kumsajili mkali wa mabao, Laudit Mavugo anayekipiga Vital’O ya Burundi.

 

2 years ago

Habarileo

Mavugo aota mbawa Simba

TIMU ya Simba imepoteza matumaini ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Laudit Mavugo baada ya jina la mchezaji huyo kuwemo kwenye orodha ya kikosi cha timu yake ya Vital’O kitakachoshiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo msimu ujao.

 

2 years ago

Global Publishers

Mavugo sasa anaizingua Simba

mavugo-agiye-kugaruka-muri-kiyovu-_53f3764f70777Laudit Mavugo.

Wilbert Molandi, Dar es Salaam
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hadi hivi sasa haujui hatima ya ujio wa mshambuliaji, Laudit Mavugo.
Mshambuliaji huyo, alitarajiwa kutua Jumatatu wiki hii kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara chini ya Kocha raia wa Cameroon, Joseph Omog lakini hajawasili nchini.

 
Kinachosikitisha ni kwamba, mwaka jana Simba ilimpa Mavugo Sh milioni 36 kama ada ya usajili lakini timu yake ya Vital’O ikakataa ikisema nayo ilipwe kwani...

 

2 years ago

Mtanzania

Simba yaleta mbadala wa Mavugo

Laudit Mavugo

Laudit Mavugo

WINFRIDA NGONYANI NA ADAM MKWEPU-DAR

BAADA ya kutoswa katika usajili wa mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo, uongozi wa klabu ya Simba umemleta straika mwingine raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Masoud Masanga, ili kuziba pengo hilo.

Mshambuliaji huyo aliyetua nchini juzi akiwa na mwenzake, wamekuja kwa majaribio wakitokea katika klabu ya St Eloi Lupopo FC ya Lubumbashi, tayari kujiunga na kikosi cha Simba kilichopo kambini mkoani Morogoro.

Akizungumza na MTANZANIA...

 

2 years ago

Global Publishers

Simba kumfuata Mavugo Ufaransa

mavugo-agiye-kugaruka-muri-kiyovu-_53f3764f70777Straika Laudit Mavugo.

Na Khadija Mngwai, Dar es Salaam – Championi Jumamosi

KIROHO safi Simba imekubali yaishe kwa straika Laudit Mavugo kwamba haitampata tena, lakini imeweka mkakati wa kuhakikisha inamfuata Ufaransa ili arudishe fedha zao Sh milioni 36. Mwaka jana, Simba ilimpa Mavugo kiasi hicho cha fedha lakini kumbe ilikuwa sawa na bure kwani alikuwa na mkataba na Vital’O ambayo ilidai fedha ndefu ili imwachie straika huyo. Simba haikuwa na fedha hiyo ikaamua kutulia ikiamini straika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani