Simba aua baba, mtoto

Simba amevamia nyumba ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Sitalike wilayani Mlele mkoani Katavi na kuwaua watu wawili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

Baba aua mtoto kwa makonde

Watoto wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwamo la mtoto wa miaka mitatu aliyepoteza maisha baada ya baba yake kumchakaza kwa makonde.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Baba aua mtoto kwa fimbo

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...

 

3 years ago

Global Publishers

Baba aua mtoto, mkewe kisa fedha za matunzo

memorialservice-550x330

NeShante Davis akiwa na binti yake  Chloe Davis-Green enzi za uhai wao.

MWANAMAMA mmoja huko Maryland nchini Marekani pamoja na binti yake wa miaka miwili wameuawa kwa kupigwa risasi na baba mtoto kisa kikiwa ni kuamliwa atoe fedha za matunzo ya mtoto.

NeShante Davis, 26, alikutwa amefariki nyumbani kwake jirani na alipokuwa ameegesha gari lake huku binti yake aitwaye Chloe Davis-Green, akikutwa amejeruhiwa akiwa ndani ya gari la mama yake aina ya Chevrolet.

HT_suspect_as_160203_31x13_1600

Mtuhumiwa Boswell-Johnson akiwa...

 

9 months ago

Malunde

BABA AUA MTOTO KISA KAGOMA KWENDA SHULE

Polisi katika wilaya ya Pader nchini Uganda wamemkamata mwanaume mwenye miaka 30 baada ya kumpiga mtoto wake wa miaka 7 kwa fimbo mpaka kufa kisa tu mtoto huyo amekataa kwenda shule.
Richard odokonyero mwenye miaka 7 alikuwa akisoma katika shule ya msingi Pader kabla ya uhai wake kukatishwa na baba yake Denis Omony Juni 6,2018.
Mwenyekiti wa eneo hilo Charles Otto Lalobo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa baba huyo aligeuka hayawani na kumshambulia mwanae kwa fimbo kichwani...

 

1 year ago

Malunde

Breaking : BABA AUA MTOTO WAKE MWANAFUNZI KWA KUKATISHA MASOMO KISHA KUOLEWA 'KUPULWA' SHINYANGA

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga,Simon Haule**Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Masesa Sesaguli mkazi wa kitongoji cha Mwakakongoro kijiji cha Butini kata ya Itwangi katika wilaya ya Shinyanga anadaiwa kumuua kwa kumpiga fimbo mtoto wake wa kike Nshoma Masesa (16) mwanafunzi wa shule ya Sekondari Buhongwa iliyoko mkoani Mwanza.
Mashuhuda wa tukio hilo wameiambia Malunde1 blog kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Oktoba 1,2017.
Wanaeleza kuwa mwanafunzi huyo ameacha shule...

 

1 year ago

Malunde

BABA AUA MTOTO WAKE KWA KUMCHAPA MAKONDE AKIDAI SIYO WAKE


Mtoto aitwaye Benedicto Salumu(13) mkazi wa kitongoji cha Saint Maria kata ya Matai wilayani Kalambo mkoani Rukwa ameuawa kwa kupigwa ngumi na mateke tumboni na baba yake.
Tukio hilo limetokea Januari 1,2018 majira ya saa 4 usiku ambapo Pius Salum(46) alimpiga mtoto huyo baada ya ugomvi kuzuka baina yake na mkewe Hilda Mpangamila (37).
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Kitongoji hicho Rafael Sinyangwe alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na ugomvi baina ya baba wa mtoto aitwaye Pius Salum(46) na...

 

5 years ago

Habarileo

Baba aua mwanawe chekechea

MTOTO mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.

 

5 years ago

BBCSwahili

Baba aua watoto watano-Marekani

Mwanamume mmoja raia wa Marekani anashukiwa kuwaua watoto wake watano na kuwatupa katika jimbo jingine.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Baba Mbeya aua mwanae kwa ngumi

MKAZI wa Kijiji cha Isisi, wilayani Mbarali, Patrick Njolo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwanae kwa kumpiga ngumi. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema jana kuwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani