Simba, Azam haponi mtu

SIMBA na Azam leo zitaumana kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar katika fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Tanzania Daima

IPTL haponi mtu

KASHFA kuchota fedha kwenye Akaunti Maalum ya Escrow zaidi ya sh bilioni 200, zilizohifadhiwa kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), itang’oa idadi kubwa ya watendaji wakuu Serikalini na wanasiasa, Tanzania...

 

2 years ago

Habarileo

Ashanti, Friends haponi mtu

WAKATI mechi za Ligi Daraja la Kwanza zikitarajiwa kuendelea leo kwenye viwanja vitano tofauti, kocha wa Ashanti United Maalim Swaleh amejigamba kuisambaratisha Friends Rangers kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Karume, Ilala Dar es Salaam.

 

4 years ago

GPL

LIGI KUU BARA INAFIKIA TAMATI LEO JUMAMOSI, HAPONI MTU

Kikosi cha Stand. NA KHADIJA MNGWAI LIGI Kuu Bara inafikia tamati leo Jumamosi kwa timu zote 14 kucheza mechi zake za mwisho. Hata hivyo, michezo mingi ya leo, itakuwa ya kukamilisha ratiba kwa upande wa kusaka ubingwa na uwakilishi wa mechi za kimataifa. Mashabiki wa timu ya Yanga SC. Tayari Yanga ni bingwa kwani ina pointi 55 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ile, wakati Azam FC ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 48...

 

1 year ago

Michuzi

AZAM WAZIKARIBISHA SIMBA NA YANGA AZAM COMPLEX

Afisa habari  wa Azam Fc Jaffar Iddy.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
UONGOZI wa Klabu ya Azam umefurahiswa na maamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kwa kuamua kutumia Uwanja wa Azam Complex kwa michezo ya nyumbani ya timu hiyo.
Hilo limekuja baada ya Bodi ya Ligi kutoa ratiba mpya na kuzitaka timu za Simba na Yanga kwenda kucheza mechi zao dhidi ya Azam katika Uwanja huo.
Akizungumza kwa niaba ya klabu ya Azam, Afisa habari Jaffar Iddy ameupongeza uongozi huo chini ya Rais mpya...

 

2 years ago

Mwananchi

Haachwi mtu Klabu ya Simba

Klabu ya Simba imesema hakuna mchezaji atakayeachwa baada ya kumalizika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simba yapiga mtu 2G Dar

POLISI Dar jana Jumapili waliingia kichwakichwa Msimbazi na kujikuta wakigongwa mabao 2-0 na Simba katika mechi ya raundi ya tano ya Kombe la FA.

 

2 years ago

Mwananchi

Simba yang’ata mtu

Kitimoto walichowekewa wachezaji wa Simba kabla ya safari ya Songea, kimejibu baada ya jana kuing’ata Majimaji ya Songea mabao 3-0, katika mchezo mkali ulifanyika kwenye Uwanja wa Majimaji.

 

4 years ago

Vijimambo

SIMBA ALIVYOWEKWA MTU KATI NA NYATI

Simba dume amejikuta katik ahali tata baada ya kutolewa mkuku na Nyati katika Hifadhi ya Kruger, nchini Afrika Kusini, walipomfumania akiwa katika mawindo yake. Gazeti la Daily Mail la Uingereza limeripoti.Hakika waswahili husema mbio za sakafuni huishia ukutani na za mwizi ni 40 siku yako ikifika hata uwe mtemi vipi watakukamata tu. Simba akitimua mbio huku akifuatwa kwa kasi na Nyati.Nyati walimfikia na kumchota mtama wa aina yake na kukaa chini.Simba alinza kula za uso kama alivyonaswa na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani