Simba, Azam kazi nzito Ligi Kuu

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo watakuwa kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya kumenyana na Mbeya City katika mechi inayotarajiwa kuwa kali na ya kusisimua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Simba na Azam kupepetana ligi kuu

Baada ya Yanga kuchanja mbuga kuelekea ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara, sasa vita ni ya Simba na mabingwa watetezi, Azam FC.

 

3 years ago

Mwananchi

LIGI KUU: Azam, Simba kama fainali

>Ni vita ya kupanda ndege. Hilo, pengine ndilo jina  la pambano la leo baina ya Simba na Azam kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

3 years ago

Raia Tanzania

Simba, Azam zatofautiana na Yanga ratiba ligi Kuu

SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Uongozi wa Mabingwa wa ligi hiyo, Yanga umeibuka na kuipinga kwa madai kuwa haikuwatendea haki.

Ligi hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 12 kwa michezo saba ya ufunguzi kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tibohora, alisema kuwa wao hawajaridhika na upangaji wa ratiba hiyo, na inaonyesha wazi nia yao ni kutaka wafanye vibaya msimu...

 

3 years ago

Mwananchi

UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi

Ligi Kuu Bara inaendelea leo kwa viwanja saba kuwaka moto,  huku bingwa mtetezi, Yanga ikishuka uwanjani kuikabili Prisons, wakati Azam  ikiwa ugenini Kambarage,  Shinyanga kuumana na Stand United  huku Simba  ikitaka kuendeleza ubabe Tanga na kulipa kisasi kwa Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakani, Tanga.

 

4 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo

>Miamba ya soka nchini, Yanga na Simba baada ya kushindwa kutambiana wiki iliyopita leo itasaka ushindi wa ugenini dhidi ya Stand United na Prisons huku mabingwa watetezi Azam wakiwa nyumbani kuwavaa JKT Ruvu.

 

2 years ago

Bongo5

Ratiba Ligi kuu Tanzania Bara Azam na Simba hapatoshi wikiend hii

Mechi za VPL zina tarajia kuendelea wikiend hii kwa mechi mbali mbali huu ukiwa ni muda wa lala salama wa Ligi Kuu na kila timu kati ya tatu za juu inatafuta kushinda mechi zote, itakuwaje Jumapili kati ya Simba na Azam na huko Mwanza Yanga atakuwa mgeni wa timu ya Toto Africans ambayo inapambana isishuke daraja.

azam-simba_h8jkc0msjnl51gre2rfsuo6qy

Hii ndo ratiba za Mechi wikiendi hii

Toto Africans vs Young Africans 30-04-2016
African Sports vs Coastal Union 30-04-2016
Mwadui FC vs Stand United 30-04-2016
Mtibwa...

 

2 years ago

Channelten

Vinara wa Ligi Kuu Simba na Azam FC hakuna kulala leo Uwanja wa Taifa

Vinara wa Ligi Kuu ya Tanzania bara Simba watakuwa wenyeji dhidi ya Azam FC katika mwendelezo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania ,mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.

Wawakilishi wa vilabu hivyo ambao ndio wasemaji Jaffary Idd Maganga na Hajji Manara kila mmoja ametamba kuibuka na ushindi katika mchezo huo unatarajiwa kuwa mgumu ambapo Simba watakuwa wakitaka kiurejesha matumaini kwa mashabiki wake kufuatia kufungwa katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi...

 

2 years ago

Michuzi

SIMBA NA AZAM NI VITA KUWANIA KUSHIKA USUKANI WA LIGI KUU UWANJA WA UHURU LEO

Timu ya Azam FC "Wanalambalamba" na Wekungu wa Msimbazi Simba SC wanakutata kukipiga jioni ya leo katika mtanange wa kuwania nafasi ya kuongoza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. 
Timu hizo zinakutana leo ikiwa zote zinatiana kabali kwa kuwa na pointi na wastani wa magoli yao pia, baada ya mechi nne za awali huku kila moja ikiwa imeshinda mechi tatu na kutoa sare moja moja, hivyo ayakayefanikiwa kupata ushindi kwenye mtanange...

 

2 years ago

Bongo5

Matokeo ya ligi kuu Tanzania Bara Simba na Yanga zapata ushindi Azam ya chapwa

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) iliendelea October 12 2016 katika viwanja mbalimbali, klabu ya Simba ikicheza mchezo wake wa kwanza ugenini katika dimba la Sokoine waliibuka na ushindi mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City.

Simba walipata goli lao la kwanza kupitia kwa Ibrahim Ajibu ‘Fundi’, ambaye alipiga mpira wa adhabu na kutinga moja kwa moja wavuni, Shiza Kichuya alifunga bao la pili mnamo dakika ya 33 na kuandika bao lake la sita msimu huu akiwa ndio kinara wa mabao.

Yanga nao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani