Simba imefunika, Yanga bado

DIRISHA la usajili kwa Tanzania Bara limefunguliwa jana Alhamisi, klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Daraja la Pili, sasa zinaruhusiwa kufanya usajili wa wachezaji kwa kadiri zinavy oona inafaa. Cha muh imu vigezo na mash arti vizing atiwe.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Yanga yarudi Shamba la Bibi, Simba bado

Licha ya Yanga kuomba kutumia Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa mechi za Ligi Kuu Bara, Bodi ya Ligi (TPL-Board), imeirudisha kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ambako itaanza kuutumia kwenye mchezo wao wa Jumatano dhidi ya Mtibwa Sugar.

 

1 year ago

MwanaHALISI

Yanga yazidi kuikaribia Simba, bado tatu

YANGA imerudi nafasi ya pili baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hiyo ni kutokana na kufikisha pointi 43 baada ya kucheza mechi 20, sasa ikizidiwa pointi tatu tu na vinara, Simba SC. Katika mchezo huo uliochezeshwa na ...

 

3 years ago

Habarileo

Yanga kila siku kwao sherehe, Simba bado

YANGA jana ilizidi kuchanja mbuga kuelekea kutetea taji lake la Ligi Kuu baada ya jana kuifunga Mbeya City mabao 3-0. Ushindi huo umeifanya Yanga ifikishe pointi 33 kwenye msimamo ikiwa kileleni.

 

2 years ago

Mwanaspoti

NINACHOKIAMINI : Simba, Yanga, Azam bado safari ndefu kimataifa

WATANZANIA wanajua kila kitu, wanaweza kujadili kila kitu. Wanazungumza sana kuliko kutenda, wanaamini wanajua, lakini katika vitendo huwezi kuwaona, hubaki nyuma wakishangaa.

 

2 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwania mpira wa mshambuliaji wa Yanga Donald ngoma katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi Uwanja wa Taifa.Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa TaifaBeki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Lyon yaiduwaza Simba, Yanga yapeta Mbeya, Azam bado sana… Matokeo yote ya VPL haya hapa

Kikosi cha Simba kimepoteza kwa mara ya kwanza mchezo wake wa Ligi ya Vodacom Tanzania baada ya kufungwa na African Lyon bao 1-0 mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Kipigo hicho kimepoteza rekodi nzuri ya Simba ya kucheza mechi sita bila kufungwa.

Kufungwa kwa leo kunaifanya Simba kumuongiza gepu la pointi kutoka nane hadi kufikia tano dhidi ya bingwa mtetezi Yanga anayeshika nafasi ya pili akiwa na pointi 30.

Matokeo ya mechi zote za leo haya hapa chini

 

matokeo-vpl

msimamo-wa-vpl

The post Lyon...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Simba Pungufu yaikatalia Yanga Taifa: Ubaoni Yanga 1-1 Simba

Imewachukua Simba dakika 61 kuwarejesha mashabiki wake mchezoni kufuatia kukata tamaa baada ya Amis Tambwe kuwafungia goli Yanga dakika ya 26 goli ambalo Amis Tambwe alicheza mpira kwa mkono na baadae kufunga hali iliyoibua hasira za mashabiki wa Simba.

Shiza Ramadhan Kichuya akitambua kuwa wapo pungufu kufuatia kadi nyekundu ya nahodha Jonas Mkude na jahazi kuongozwa na Mwinyi Kazimoto alikimbilia kupiga kona iliyokwenda mojakwamoja nyavuni na kubadili matokeo, kitaaluma Kichuya alipiga In...

 

2 years ago

Michuzi

OMOG BADO YUPO SANA SIMBA, SIMBA WAKANA KUMPA MECHI TANO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Uongozi wa Simba umesema kuwa hauna mpango wa kuachana na kocha mkuu wa timu yao Mcameroon Joseph Omog kama kwenye vyoimbo vya habari na mitandao ya kijamii  walivyoandika kuwa wana mpango wa kumtema.
Akizungumzia suala hilo, Afisa habari wa Simba Hajji Manara, amesema Kamati ya utendaji ya klabu hiyo sambamba na Kaimu Rais Salim Abdallah wamezungumza na kocha Omog na kumueleza kuwa afanye anachoona kinawezekana katika kusaidia timu kufanya vizuri.
Manara...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani